Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi,
    Asante sana kwa information hii. Tunaomba uwe unatu-update mara kwa mara.

    ReplyDelete
  2. Hivi zimbabwe dollar 1 ni shilingi ngapi? maana niko zimbabwe ninataka kuja bongo nina dola milioni 790.
    Ahsante,
    Mdau Kalu

    ReplyDelete
  3. TUACHE KUPIGA DOMO NI AIBU PESA YETU NA YA KENYA ILIKUWA MOJA LAKINI YETU INAENDELEA KUSHUKA! TUSITEGEMEE KUUZA DOMO KWENYE SOKO LA PAMOJA.

    ReplyDelete
  4. Aksante sana kwa kutuletea tena makala hii haswa kwa ukweli wa hapo nyumbani.kama itawezekana iwe hivi kila siku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...