the kilimanjaro band a.k.a 'wananjenje' iddi mosi wamezindua kiota chao kipya cha kuduarika cha klabu ya salender bridge kwa kishindo ambapo mamia ya wadau walifurika hapo na kusherehekea idd el fitri kwa raha zao. baada ya kuondoka msasani club, wadau wameeleza kwamba safari hii njenje wamepata kiota muafaka kwa wapenzi wao kwani pamoja a ulinzi wao na mali zao, libeneke la njenje sehemu hii inanoga kuliko kawaida...
Home
Unlabelled
salender bridge club kumekucha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
inaonekana show ilikua nzuri sana,lakini mbona hukutuonyesha sehemu hiyo ya umati wa watu walioudhuria onyesho hilo wewe umedili na stage tu?
ReplyDeleteClip ni chini kabisa ya kiwango hivyo inaweza hata kudhuru tangazo hili likafukuza wateja kabisa huko njenje. Watumie fedha kupata fedha!
ReplyDeleteHawa ni wataalam na wakongwe wa kutoa burudani ya muziki. Nyimbo zao ni hazichoshi kuzisikiliza.
ReplyDeleteNi jambo jema kupiga muziki ktk sehemu yenye usalama wa hali ya juu na parking ya kutosha.
Michuzi wewe Michuzi, hizi nyimbo zinaumiza roho. Wengine tuko mbali na mambo haya. Ila asante kwa kutuonjesha angalao Eid Mubarak
ReplyDeleteEti na tigo pia mmmh wewe mithupu unavijimambo.
ReplyDeleteSasa dada yetu jaffary yuko wapi? maana tunamuona jide yupo vekesheni kama yako huko kusini mwa bara letu lakini yupo na my hausbendi wake kaptaiiiin lakini hapo san diego hatumuoni jafaryhmes
ReplyDeleteHome sweet home...nakumbuka enzi zangu...si mchezoooo.
ReplyDeletehaya na nyie kila siku nyimbo moja tu kutumechoka tafuteni nyimbo mpya tangu mwanangu ana miaka mitatu mpaka sasa ana miaka kumi na tano kutia nazi kunoga inatosha mmefuria.
ReplyDeleteSAAFII SANA NJENJE, ENDLEENI KUILINDA BURUDANI HALI YA BONGO.
ReplyDeleteLINI MTAFANYA ZIARA ZA UGHAIBUNI?
Old is Gold inanikumbusha mbalii jamani na pia inanikumbusha home thank u bro michuzi.
ReplyDelete