mwigizaji claude na mai waifu wake wakiingia ukumbini msasani beach club jijini
wafanyakazi wenzie na claude wakila pozi na maharusi
wazaa chema (mke) wakitambulishwa
waigizaji wa bongo dar es salaam walikuwepo
MC alikuwa Dk. Cheni
wazaa chema
meza kuu upande wa bwana harusi
TID alitumbuiza
kanumba na ray walicheza shoo



















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. jamani maharusi wamependeza sana yani sana kupita maelezo. nawapa hongera sana na mwenyezi mungu awape watoto wazuri na wenye afya bora na ndoa yao idumu inshaallah.
    kwa upande wa wageni waalikwa jamani wamependeza sana. akiongoza dr cheni mc wao. jamani wadau nisaidieni hapo kwa kaka yetu KANUMBA !!!!!ninini hicho kituko alichotuvalia.....!!!anafikiri bado yupo uk huko anatengeneza film!!!!amechemsha sana. samahani hilo ni wazo langu tu.
    wote mlipendeza jamani .
    mkereketwa grace uk

    ReplyDelete
  2. Issa Mussa aka Cloud....Pole Kaka Umeshakua Muimba kwaya Sasa!...Badili Jina uitwe John!

    ReplyDelete
  3. Vazi la Kanumba lintangaza Movie yake mpya ya Village pastor jamani. Na hilo vazi halivaliwi kwenye baridi tu, angalia DIVA255 aliwajibu mnaosema ni vazi la baridi.

    ReplyDelete
  4. waambie wachee kujichumbua watafuta kwa kuoza ngozi!!!!watafute hela watapendwa tu au waende DRC

    ReplyDelete
  5. Hiyo fashion Kaka Kanumba tushaisahau huku kwa wabebba mabox mwenzetu ndio imekukuna kila mahali duh!This is too much now kirudishe hicho kilemba cha Yasser Arafat kabatini sasa ibaki souvenir sasa duh!

    ReplyDelete
  6. vazi la Kefiyeh ama Kufiyah asili yake ni mashariki ya kati ambako wote tunafahamu kuwa muda mwingi huwa kuna joto sana, na huwa linavaliwa hasa na Wapalestina na jamii nyingine za waarabu; hivyo sio vazi la baridi kama mnavyodai

    ReplyDelete
  7. dotnata ndo mama wa bwana harusi ama???

    ReplyDelete
  8. Sasa huyo KANUMBA hiyo HIJABU ya nini sasa?

    ReplyDelete
  9. JAMANI MIMI NAKWAZIKA NA HILI JAMBO!! IWEJE MTU UVAE SUTI HALAFU BADO UMEACHA KILE KILEBO MKONONI , JE TUJUE NI USHAMBA AU NDIO KUTOKUJUA MAANA YA ILE LEBO.

    KWA UFUPI HIZI LEBO ZINA MAANA YA KWAMBA UKIWA KNY MALL UNANUNUA SUTI KWA KUZIGUNDUA NI DESIGNER GANI UNAANGALIA KNY MIKONO ILI IWE RAHISI KWAKO KUTAMBUA, SASA HUKU MNATUTIA AIBU JAMA, KWANZA SUTI YENYEWE YA CHINA HATA IKIANDIKWA BOSS HAINA MAANA NA HAKUNA MTU ATAKAEGUNDUA UMEVAA SUTI YA BEI MBAYA MAANA ZOTE KARIBIA BEI MOJA TUU, NAOMBA TUIPE HESHIMA LEBO MAANA WENGINE TUNAJISIKIA AIBU MBELE ZENU HASA TENA UKIWA KAMA MSANII AU MTU ULIWAHI KWENDA HATA VIWANJA. TUJIFUNZE JAMA NIMEKASIRIKA SANA KUWAONA TENA HIGH TABLE . USHAMBA GANI HUU .
    KAMA UMECHUKUA DUKANI MTAZIRUDI VAENI NA LEBO ZA BEI BASI MBONA HIZO MNAFICHA.

    WENDAWAZIMU HUO JAMA.

    ReplyDelete
  10. wee Annon Wed Sep 02 04:54:00 unaesema cloud kawa muimba kwaya ulikuwa unamaana gani? cjui unaweza kufafanua? Acha udini, una matatizo wewe! mapenzi hayachagui dini wala kabila wala rangi, kupenda ameshapenda sasa wewe kinakuwasha nini? kwani wakristo siyo watu? ata akiitwa John au Erick ni sawa, wewe tatizo lako nini? mapenzi ni yawatu wawili wanaoingilia navimaneno vya chokochoko watu km nyinyi ndio mapepo "NIMESEMA PEPO TOKAAAA! NA USHINDWE NA ULEGEE KM MLENDA!" Yakwenu yamewashinda kazi kukoment pointless, tafuta wako aliyekamilika. Hongera Cloud umepata mke mzuri, mwerevu, mstaarabu, mnyenyekevu,mwenye akili na busara, shule ameenda, kwakweli anasifa za kuitwa mke,mwenye wivu ameze wembe ajifie aache mle raha kwani kina Ashura ukuwaona? yote mipango ya Mungu "Cloud ndio ameshaoa na ndoa yao itadumu kwani tunamwamini Mungu atawajalia watoto wazuri "HONGERENI SANAAAAAAAAAAAA"

    ReplyDelete
  11. ASANTE SANA ANON WA 10:23...YAANI HAWA NDUGU ZETU SIJUI VIPI...?MAMBO GANI HAYA YA KISHAMBA!!!LABEL UNAIACHA ILI IWEJE...KAMA UMEVAA SUIT YA BEI MBAYA/AMA ND'O QUALITY NJEMA...JINA...WHATEVER...WENYE KUJUA DESIGNER SUITS WATAIJUA TU BILA YA WEWE KUIACHA LABEL INANING'IA!Pyuuu!aibu...

    ReplyDelete
  12. Issue ya lebo nimeona wako wengi na ndo hao huko bongo wanajiona wajanja, kumbe ovyoooooooo, na kanumba sijui anavaa nini? na hayo matambaa kayapata kwenye sale some where but ile buy 1 get 4 for free jamaa akasagula sagula

    ReplyDelete
  13. kanumba na wewe huachiiii kutwa nzima na vitambaa tu eboh tunajua unavyo na wewe fasheni haijakupita lol hadi arusini halafu kibayaaaa na hao wavaa suti na lebo ni full ushamba au ndo tujue hamkutungua? ushamba mwingine bwana
    miss michuzi

    ReplyDelete
  14. iyo nini ww?sikia hii...tena mtu anashona kabisaaa na anabandika LEBO ktk mkono

    wanaboa kishenzyyy sijui ndo nn

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...