Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la simu Tanzania TTCL,Said Amir Said,(kulia) akimkabidhi sehemu ya chakula cha msaada Mkurugenzi Mkuu Delesdit Mitanto, (katikati) wa Msongola Orphanage Trust fund ya Mbagala Delesdit Mitanto Mbagala pamoja na baadhi ya yatima wa kituo hicho kwa ajili ya kusherehekua sikukuu ya Idd el Fitr jijini Dar. TTCL imetoa misaada kama hiyo kwa vituo kadhaa vya kulelea watoto walio katika hali ngumu yenye thamani ya shilingi milioni sita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...