anko nanihii leo kapata heshima kubwa kwa kutembelewa na profesa joseph mbele kutoka katika chuo kikuu cha St. Olaf College katika jimbo la minnesota, marekani. profesa pia anaendeleza libeneke lake kupitia:Kesho Jumamosi Profesa atakuwa Grand Hotel Magomeni MwembeChai kuendesha warsha ya Utamaduni na Utandawazi kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 10 jioni.
Taarifa zaidi nenda


Kilichobakia tu hapo ni Professor na yeye akuwekee mkonoz halafu mfunge ndoa! Can you imagine itakuwaje at the same time Prof aweke mkno kama wewe. Nadhani hiyo siyo tabia ya kiungwana kuwawekea watu wazima konoz.
ReplyDeleteProf. Habari yako? Naona hapo umesahau kuchana nywele leo au? Michuzi hebu mpeleke Prof. kwa Bitebo
ReplyDeleteMichu naona upo na Profesa J
ReplyDeleteSwaum njema
Mdau Davey
Je na huyu bwana ni profesa kama maprofesa wetu weeeengi kina profesa vulata,profesa ndumilakuwili,profesa kababayee(mazingaombwe)profesa maji marefu bila kumsahau dokta remmy ongala
ReplyDeletePROFFESOR JAY ORIGINAL. LINI UTATOA SINGLE NYINGINE?
ReplyDeleteMichuzi..,ushauri wa bure anza kuhudhuria gym.
ReplyDeleteHUYU NI PROFESSOR WA USOMI SI WA JUJU, UNAFUNDISHA ENGLISH AMESOMA DEGREE ZA LUGHA NI MSOMI KWELI SI MCHEZO
ReplyDeletekwa kweli maprofesa wengi wako wako tu utadhani hata hawajaonja darasa wengine wachafuchafu walevi kupindukia nywele kuchana ndo kama hivyo kifupi hawajipendi nafikiri kitabu pia kianawachanganya hadi wanasahau kujiluv
ReplyDelete