
King blaze akionyesho CD na DVD ya abamu ya Side Mirror wakati wa uzinduzi huo.

Baadhi ya wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ wakisindikiza uzinduzi wa albamu binafsi ya msanii mwenzao, Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ iitwayo ‘Side Mirror’ katika ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam juzi. Uzinduzi huo ilidhaminiwa na Tigo. Kutoka kushoto ni Stefania Machuda, Aaliyah Moses na Lily Mkwajuni.

Baadhi ya wasanii wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ wakisindikiza uzinduzi wa albamu binafsi ya msanii mwenzao

Mwanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ akihudumiwa kama mfalme katika onyesho la uzinduzi rasmi wa albamu yake binafsi iitwayo ‘Side Mirror’ katika ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam juzi. Uzinduzi huo ilidhaminiwa na Tigo.

Mwanamuziki wa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ akiangalia burudani ya wacheza

Baadhi ya umati wa wapenzi wa burudani wakiselebuka katika uzinduzi wa albamu binafsi ya mwanamuziki wa bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kingombe Muhamed ‘King Blaize’ iitwayo ‘Side Mirror’ katika ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam juzi. Uzinduzi huo ilidhaminiwa na Tigo.
Side Mirror au Sight mirror?
ReplyDeleteSIDE MIRROR NA SIGHT MIRROR VYOTE NI SAHIHI KABISA INATEGEMEA MAHALI GANI, CHUMBANI AU KWENYE GARI. WEE KANUMBA KAJIFUNZE KIINGEREZA.
ReplyDeleteANONY WED SEP 23 09:20
ReplyDeleteNI WEE KANUMBA KAJIFUNZE... AU WEWE KANUMBA KAJIFUNZE....? MWENZIO KAULIZA WEWE UNAROPOKA OVYO. SASA HAPO UMEELIMISHA NINI?
mbona kaka muchuzi hukutuwekea machozi bendi bwana? hebu tudondoshee picha za machozi bendi jinsi walivyokamua kwennye iddi au ndio mpaka upate mshiko??? hata usipotoa jide yuko juu na bendi yake hata ukiwabania haijalishi
ReplyDelete