libeneke kama kawa...
mnuso wa kibo palace balaa...


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Kaka MICHUZI uko juu hiyo laptop yako mhhhh imetulia mambo ya APPLE sio?!!!haya kaka usijisahu na vakesheni ukashindwa kutuletea habari nyepesi nyepesi za kila siku.MDAU-UKEREWE!!!

    ReplyDelete
  2. Habari kaka Michuzi...
    Ramadhan imekwisha naona upo kwenye ufisadi wa vekeshen hongera.
    Naona umepozi na mambo ya Apple, na tangazo letu la ndovu limerudi siramadhani imekwisha kaka michuzi!!!

    Safi sana, tukitangaza misikiti je tungepata Apple?

    Amasivyo??

    ReplyDelete
  3. Yaani anko naninyo hizo suti za kibunge za mikono mifupi zinani-bore sana, mnaharibu heshima ya suti

    ReplyDelete
  4. mkuu wa wilaya tafadhari ukija States usivae hicho kikaunda suit...yaani hakifai ni kama cha miaka ya sitini!

    ReplyDelete
  5. Hapo umetoka pina na nyerere suti! unanikumbusha baba wa taifa kwa kutinga suti hiyo alikuachia urithi nini bro. mathupu? Angalau hapo mzee wa jamii unatuwakilisha kwenye minuso. Hapo ni wapi that is my home town unanikumbusha mbali mathupu!
    Mdau USA

    ReplyDelete
  6. oya vipi hapo waosha vinywa? mmemwona anko alivyopendeza? leo nahisi midomo itawasha coz you will have nothing to comment on the fulanazzz.if i may ask those who are always conserned with michuzi's T-shirt dont you have something better to comment on,be brave,mithupu just tend to play with your minds so that you keep on talking.sasa kwa akili zenu mtu kama yeye anaweza akawa na hako ka T-shirt mnakokalalamikia tu.think big people.

    ReplyDelete
  7. Ya Ye Yaaaa!!!!
    Congratulations Mithupu!!
    T shirts kwishney!!!!

    ReplyDelete
  8. Sio tu habari za libeneke, weka matokeo ya mechi za jana tuone! timu chokest!

    ReplyDelete
  9. Michuzi vakesheni kila siku?? Wacha bwana au unafuatilia mkutano wa CPA?(Commonwealth Parliamentarian Association). Maana nasikia mji wangu wa Arusha umechafuka kwa uwingi wa wageni. Wabunge 800 na ukiongezea wahudumu kama madereva na akina nyie watumia kalamu na kamera si ndiyo uchumi wa Arusha unakwenda juu. Naomba njimpongeze Mheshimiwa Spika Sita kwa kutuletea mkutano maana kicuhumi kila mdau hapo Arusha ananeemeka ukianzia, wenye taxi, tours, hoteli, mabar kama akina Matongee, wenyeji ambao wanamarafiki miongoni mwa wageni wetu na bila ya kuisahau sekta isiyo rasmi ya machangu doa. Kwa kweli ndani ya juma moja mambo swaafi. Sita oyee!!!

    ReplyDelete
  10. Nasikia Anko nanihii, upo Arusha Kikazi kwenye Mkutano wa Wabunge wa Jumuiya ya Madola ( CAP )

    ReplyDelete
  11. Uko kwa bwana Swai

    ReplyDelete
  12. Naona baada ya trip ya silcon valley uliporudi tu ukaitupa toshiba laptop yako na ukarudi na apple note book ehhh, ufisadi huo michuzi

    ReplyDelete
  13. Suti za design hiyo na rangi hiyo huwa wanavaa wale wakali-lakini-wakimya wenye ofisi pale nyuma ya nanihii...

    ReplyDelete
  14. Kaka michuzi hivi watu wakiwa kazini vekesheni uenda mara ngapi kwa mwaka?,manake kwako haipiti miezi miwili unaenda vekesheni,uwo si ufisadi kha!

    ReplyDelete
  15. unatisha mkuu wa libeneke, upo juu sana. naona umevumbua vazi rasmila minuso, safi sana Kaka Michuzi, sisi wanalibeneke tunakupenda saaaaaaaaaaana.yani mimi binafsi ikipita siku sijaangalia Blog yako, naona kama nimemiss kitu fulani, na sijisikii furaha kabisa.nakutakia kila la heri Mkuu na mafanikio.

    ReplyDelete
  16. Tanzania itajengwa na wenye moyo, Vakesheni uko karibu na pool halafu umevaa kaunda suti na upo pembeni na laptop!!! Wee upo kazini mzee. Au Technology inakuzingua? Pumzika bwana achana na laptop na Camera kwa muda relax your mind and appreciate beauty, nature,life, and mostly your wife. Kama vakasheni ungekuwa na kibukta halafu kitumbo wazi na umetulia na mamaaa au familia! Nashanga sana una laptop kamera na kaunda suti ya nguvu juu yake. Umetoka pina.KWeli wee ni bonge la ZeKomedian unaleta burudani na utata katika life style yako.MDAU,Martha's Vineyard, Massachusetts.

    ReplyDelete
  17. Michu picha zako nyingi mbona za kwenye misosi. Halafu hii picha inaonyesha una usongo sana na huo msosi.

    Piga msosi mzee, si unajua mwili haujengwi kwa matofali

    ReplyDelete
  18. Michuzi upo vekesheni au kazini? Weka sawa...Halafu michuzi kwa mambo ya kupiga mpunga hujambo...manake picha zako nyingi unazotoa ni kwenye kupiga mpunga..!!

    ReplyDelete
  19. Watanzania mjifunze lugha ya tafasida kwani matupu kuwa vakesheni hana maana hiyo kusafiri kikazi kwake ni vakesheni kwani anatoka nje ya mji wake kubadilisha mazingira ya kikazi na kukutana na watu tofauti na aliowazoea. Kwahiyo neno vakesheni lisiwasumbue "That is the Figure of Speech" Hamaanishi the real vacation! Tupo hapo watanzania wenzangu!
    Mdau USA

    ReplyDelete
  20. anonymous Wed Sep 30, 06:07:00 PM aka mdau usa, tafsida maana yake ni kupunguza ukali wa neno (mfano kujisaidia badala ya kunya). tafadhali usiwafelishe watahiniwa wa sekondari. lugha ya picha (figure of speech) na tafsida kamwe havishabiani.

    ReplyDelete
  21. MICHU UNA APPLE COMPUTER....MAMBO YAKO MSWANO

    ReplyDelete
  22. sasa unafanya kazi saa ipi iwapo kila wakati uko vakesheni, au uko sehemu sio rechabo, au uko sehemu umeenea na zefulanaz na saa ingine unakula dinna la lanchi.....na nani hii au na maiwaifu...wako. Nimejarobu kugawanya siku yenye masaa 8 nikaona unabaki na dakika tano tu za kufanya kazi...labda ndio maana hatupati habari za kutosha hapa...unataka kufukuzwa kazi nini....Michu....ninaomba kutoa hoja mdogo wangu...na mimi nilipotea kidogo nilienda vakesheni...

    ReplyDelete
  23. Du kaka Michu kiboko yaani unakaa poolside jua limewaka huku umevaa kaunda suti kama za usalama wa taifa :-)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...