Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayajnsi na Teknolojia, Dk. Maua Daftari (kati) akiwa na ustaadh Mwakifulefule na Mwami wa Vodacom Foundation kabla ya futari hiyo jana mjini Wete
wadau wa Wete, Pemba, wakifutari na maofisa wa Vodacom Foundation mjini Wete Jana
upande wa kinamama wakati wa futari hiyo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera sheikh Issa Mufti wa UK tunakumiss.

    ReplyDelete
  2. Ki-historia kuna sababau yake: teknolojia ya jangwani, mahemani sio vizuri kuwa na meza, kama tulivyokuwa pia hatuna meza.

    Lakini leo hii kwani ni lazima wakae chini majamvini?

    ReplyDelete
  3. ustaadh mwakifulefule rudi darasani ukajifunze mkao!

    ReplyDelete
  4. Voda mmezidi huduma mnapeleka kwa viongozi kutafuta sympathy zao, juzi bagamoyo jana pemba kwa daftari. embu siku nyingine futulisheni sokoni kariakoo, ebo

    ReplyDelete
  5. VodaCom kama mmeamua kufuturisha kweli na si kutafuta soko, wafuturishe wasiojiweza achana na hao wenye uwezo!!

    ReplyDelete
  6. mdau wa 10:02 am umenena kweli kama wanataka kufuturisha wafuturishe na maskini sio hao ambao wana mihela mpaka wanataka kutapika.

    ReplyDelete
  7. ni kweli futurisheni wasiojiweza alaa kila kukicha mnatafuta so called "masoko mwanya" wa wakubwa

    ila duh mwala na mkono??adi raha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...