Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Ni huyo aliye na kitovu, sasa kuvaa t-shirt ya jora ya kitambaa cha mradi wa chandarua wa kupambana na mbu ndio nini? Si anapunguza kasi ya kutokomeza malaria?!.

    ReplyDelete
  2. him with a red t-shirt

    ReplyDelete
  3. ewe bulakii ngingii ichoo??

    ReplyDelete
  4. Gerald Hando alikurupuka akaja kwenye mahojiano bila shati. Ikabidi mzee mzima amsetiri kwa kumpatia t-shirt yake avae na yeye mwenyewe kubaki na 'grinivesti' nyeusi....lol

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  5. Ebwana usanii kazi, sasa mtu mzima kutuachia kitovu wazi ndo nini, kaaazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  6. Ebwana Mopao utampotea vipi?? M Mopao huwezi mfananisha na mtu mwingine yeyote yule..
    I hope hapo mumenielewa kuwa namaanisha nini...
    The one holding his waste is the real MM...na hakuna mpinzani.

    Je kuna swali???

    ReplyDelete
  7. Kweli anahujumu kampeni ya kutokomeza MALARIA kama mtukufu madau wa hapo alivyosema. "Baba zima tovu nje nje lioneee!

    ReplyDelete
  8. Michuzi naomba na picha ya suruali yake kama nayo ni malaria style !!

    ReplyDelete
  9. HIVYO NDIVYO MA STARS WANAVYO VAA. KAMA WEWE UWEZI KUVAA HIVYO JINYAMAZIE NA USHAMBA WAKO.

    ReplyDelete
  10. Hiyo t-shirt inaitwa "anti-malaria" tshirt.

    Mkulima-kijijini Gezaulole

    ReplyDelete
  11. Ww anon 06:05 Eti wasanii ndio mnavyovaa ala! Yaani mtoke nje ya maadili tuwaache kisa nyie wasaniii........?

    ReplyDelete
  12. kama USA mavazi hayo MTOTO.Chumba bule

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...