sehemu ya hiyo barabara mpya inayokatiza jangwani kupitia kigogo, mburahati, mabibo na hatimaye ubungo maziwa katika ujenzi leo. barabara hii, ambayo itajengwa kwa kiwango cha lami, ni mojawapo ya mikakati ya kupunguza msogamano na foleni kwenye barabara ya ngama ya morogoro rodi ambayo magari yote hutumia kwa sasa.
mdau akikatiza jangwani kunakojengwa barabara mpya karibu na klabu ya yanga
sehemu za shule ya loyola tayari tambarare



lakini sasa ikinyesha mvua si matope tuu jamani...kwani lami hawajawahi kusikia???
ReplyDeleteAfadhali,iwe barabara kweli basi!good idea.
ReplyDeleteWakandarasi wa waweke alama za tahadari has kwa sababu kuna nguzo za umeme kwenye eno la barabara ambazo hazijasogezwa; na katika madaraja hasa lile baada ya kupita shule ya loyola ukiwa unaelekea kigogo. Kazi nzuri sasn hii baraba ikikamilika
ReplyDeletehuyu anon wa kwanza inaonekana anapenda kuongea tu bila point yoyote! Kwani haujasoma hapo mwanzo kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami? Barabara bado inajengwa, huwezi ukamwaga tu lami bila kutengeneza chini vizuri. Watu wengine wajinga kweli!!!!
ReplyDeleteTHIS IS GOOD START. DAR NEEDS MORE ROADS. I HOPE SEE MORE ROADS IN DAR IN A NEAR FUTURE.
ReplyDeleteCONGRATS
Excellent ! This is a good start ! Now, we need to speed up tackling our problems with deeds, not merely words !
ReplyDeleteThis is good idea.kwa sasa serikali inabidi hiongeze fungu la fedha zaidi ili hi barabara enjengwe (two ways) mbili zenakwenda na mbili zinarundi
ReplyDeleteHii barabara itafika mpaka external au inaishia ubungo maziwa tuuu? na je vipi barabara ya kigogo - tabata dampo nayo inajengwa lini?
ReplyDeletemwanzo mzuri hiyo barabara ingekuwa vizuri ingejengwa kwa njia tatu au mbili na kujenga kituo kikubwa cha mabasi kama ubungo hapo jangwani.tunapongeza vitu vifanywe kwa nia ya uzalendo si kutafutia kura ,thanx
ReplyDeleteSo watu wamelipwa mapesa ya nyumba zao zitakazobomolewa?
ReplyDeletehapo piga hua. baada ya kumaliza ujenzi wa barabara. eneo lote lilobaki la jangwani hapo wa jenge (puplic park)sun city dar.kama ya sauzi(anko michuzi)au vipi?
ReplyDeleteafadhali angalau
ReplyDeletebut more roads more vehicles in dar
kazi lwelikweli
dar is my fav place nikozaliwa,but now sipendi ata kwenda toka nihame kwa foleni za kifo wal'hai