belinda mlingo akionesha mali mpya ambazo kampuni yake ya Somo Moto imefyatua kuadhimisha miaka 10 ya kifo cha mwalimu, ikiwa ni toleo la pili baada ya khanga za Obama ambazo zimepenya hadi Hollywood.
belinda na msaidizi wake wakionesha khanga mpya za Somo Moto
anko naye kajipatia shati lililodizainiwa na Khadija Mwanamboka kwa kutumia khanga za somo Moto zinazokwenda kwa jina la Histori kali.
picha za Mwalimu pamoja na wimbo wa 'Tanzania, Tanzania, nakupenda Tanzania...' ndio nakshi za khanga hizo
mashujaa kibao wanaenziwa na khanga za Somo Moto, si Obama na Mwalimu pekee. Kuna za Malcom X, Mandela na viongozi wengine kadhaa wa dunia.Somo Moto wanapatikana kwa simu namba
+255 773 975 445
ama
+255 787 267 307
Email yao ni:


AHAAAA! BELINDA SAFI SANA, LETE ODA ZINGINE WASHINGTON.
ReplyDeleteasante.
Mwakipesile
USA.
mie nataka tu ya mandela full stop
ReplyDeleteBelinda, macho unayo! Hongera kwa kuwa na kipaji cha "kudizaini" kwenye kanga, lakini maandishi mengi namna hiyo kwani hiyo ni karatasi?? Kaka Michu hapo mikonoz ilishindikana au umekatazwa?
ReplyDeleteMashaallah, huyu dada Belinda jamani hazeeki!!!. Miaka nenda rudi namuona yuko vile vile.
ReplyDeleteJamani mie ningependa kupata a pair of each colour je kuna duka maalum au napataje?
ReplyDeleteMie nataka za Mobutu na Bokassa kama anazo
ReplyDeleteKazi nzuri hasaa. Hongera sana dada una kipaji kizuri mno. Mungu ajalie utoe na vazi la Taifa
ReplyDeleteBelinda vipi ile Kampuni yetu ya TMPCP pale Kijiji cha Makumbusho na wakina Mama Bishanga imeishia wapi jamani?
ReplyDeleteTuifufueni basi? BRELA si watakuwa wameishaifuta? Maana ni siku nyingi kweli! Sidhani kama imeshalipiwa Anyo Ritans hata mwaka mmoja!
sister belinda ningependa kupata ur phone number coz nina mpz wangu anapenda sana mambo ya fashion km vp nipige tafu basi ili kipaji chake kisipotee
ReplyDeleteHongera dada khanga nzuri sana ila maneno yamezidi sana. Huo wimbo wa Taifa unfanya khanga iwe giza. Ungeweka maneno machache tu kama MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MUNGU IBARIKI AFRIKA fullstop. Hata hivyo ningependa kuzinunua tena kila rangi.
ReplyDeletekeep it up belinda basi tunaomba na khanga zenye picture ya makkah na madinah sisi wateja wako wa saudia arabia tuletee ili tuuzie mahujaji huku jeddah.
ReplyDeleteBEINDA ANMUENZI MWENYEKITI WA KWANZA WA CCM NA SI BABA WA TAIFA KWANI NGUO ZAKE HAZIONESHI UTAIFA WOWOTE BALI ZINAONESHA UCCM.
ReplyDeleteMimi nataka ya Gaddafi na Iddi Amin tafadhali sana.
ReplyDeleteUS Blogger