
hasheem thabeet akiwa na madojo na domo kaya katika onesho la muziki bustani ya mnazi mmoja garden jijini dar miaka kadhaa ilopita. pamoja na kucheza mpira wa kapu hasheem pia ni mpenzi wa muziki ambapo alikuwa anaonekana kwenye matamasha mengi kama mshiriki na vikundi vya wanamuziki wa kizazi kipya


bustani itakuwaje garden tena!!!!eti anko nanihii haya mambo ya kusema barabara ya morogoro road yanatokea wapi tena!
ReplyDeleteHuyu sio Hasheem Thabeet bali ni Edgar Mwakipesile.Sio kila mtu mrefu ni Hasheem.
ReplyDelete