Home
Unlabelled
haya ndio maneshno sita kombe la dunia 2010 litachezewa sauzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbombela stadium kama mkwakwani stadium tanga bwana
ReplyDeleteKaka MICHUZI South Africa wako juu hebu cheki viwanja vilivyotulia.Ngoja nichukue holiday japo mwakani nije niambulie kuangalia mechi kadhaa hapo kwa MADIBA.
ReplyDeleteMdau-Ukerewe!
Mdau wa kwanza unaonekana nafsi yako inaelement za chuki, uwanja haujakamilika huo kama unavyoonekena ujenzi unaendelea, subiri ukamilike ndipo utoke roho vizuri. S.Africa kuandaa fainali za kombe la dunia nifahali ya Africa kwa ujumla.
ReplyDeleteHii mimi nadhani ni westage ya resources wa nchi ndogo kama SA. Ndiyo maana umoja wa Afrika ni muhimu, hivi viwanja vingespread nchi 3-4 tofauti ingemake sense. Hata nchi zilizoendelea kama Marekani kuna majimbo mengi hayana professional sports arena nyingi hivyo. It's just common sense. Ni mawazo yangu tu.
ReplyDeleteanon wa kwanza ure sick or having poisonous personality unaona kabisa kiwanja bado hakija isha unaanza kukosoa eti ooh kama mkwakwani kwa kweli wasouth wamejitahidi na wanastahili pongezi,nchi yao nzuri na ukiangalia ndio source ya maendeleo hata bongo mambo mengi ya modern world kama shopping mall bank za uhakika,madstv hayo na project nyingi na ajira nyingi na huduma.kwa kweli wanastahili pongezi waafrica wenzetu japo wengine ni wazungu wasiojua chembe hata moja ya umaskini,and the whole thing of being an african
ReplyDeleteIngekuwa Bongo hivo viwanja vyoote vingeitwa Nyerere stedium..Kwakupenda viongozi nadhani tunaongoza,japo mapenzi haya tungekuwa tunapendana wenyewe leo hii tungekuwa mbali lakini wapi!!!
ReplyDeleteAnon wa 01:48,
ReplyDeleteMimi nadhani wewe ndio huelewi kuwa SA sio nchi ndogo.Na kwa kukuelewesha tu Marekani kwa sababu mpira wa miguu sio mchezo popular sana ndio maana unasema hivyo.Lakini mbona basketball teams zina sports arena zao??Huu ni ujinga kusema kuwa hii ni wastage of resources.The last time I checked all tickets online zipo sold out already,sasa huo sio utalii utakaokuwa na mafanikio?Unaelewa kuwa pamoja na kuwa almost all tickets zimeshakwisha sasa hivi bado watu wengi tu ambao hawana tickets bado watakwenda SA for the sake of just being there??Wake up na sio kuosha kinywa tu just because wewe upo Marekani.Afrika haitaendelea kama watu wake hawatabadilika kuwa na positive thinkers.
TUBADILIKE.
Anon wa kwanza pole sana macho yako mabovu mkwakwani ooh tunashindwa ku host hata African cup of nation hivi viwanja usipime kabisa na vitakuwa na Glass roof hio Soccer city au Fnb stadium ndo Itakuwa Fainali zitafanyika hapo na ndugu uliesema south nchi ndogo lakini inauwezo kufanya mambo yote pekee na ni sekta binafsi zinazofanya serikali inachangia kidogo tu na tatizo linakuja nchi zote za jirani masikini mnoo mfano zimbabwe hawanauwezo hata wakuwalipa wachezaji wao itakuaje waweze kujenga viwanja kama hivi au zambia stadia yao kama ya karume enzi zile bongo. wee wape hongera tu hawa mabwana wametutoa aibu Africa na pia watakaokuja ktk miji yote inayofanyika mipambano hawataweza kuamini miji na barabara jinsi ilivo sawa na Eu tu kwani wengi wao wakija Africa wanafikiri watakutana na SIMBA mitaani kumbe FULL SKY SCRAPPERS kumbuka CAPE TOWN ilikuwa ktk miji yenye nafasi kubwa ya ku Host Olimpic ikashindwa in final stage hii nchi ipo mbali sana ukilinganisha na nchi zengine za africa na imesha host Alots of World compition eg Rugby world cup cricket world cup na mashindano mengi mnoo viva madiba viva Amaandlaa aweetu MDAU TOKA CHUMBAGENI FLAT
ReplyDeleteInapendeza kwamba SA wameweza kuwa na viwanja sita vyenye hadhi. Tz tuna kimoja. Tufanye jitihada tuongezeeongezee japo vifike vitatu. Mikoa ya Mwanza na Arusha ina uchumi wa kuridhisha, pangeni mikakati.
ReplyDeletekwa kipendi chote cha kombe la dunia SA,hiyo faida itakayopatikana hapo itakua inauwezo wa kujenga viwanja vingine kama hivyo.Ku host hii kitu sio mchezo.
ReplyDeleteHayo yote ni 'matunda' mazuri ya siasa za makaburu na ubaguzi wa rangi.Kamwe nisidhani kama Afrika kusini ingeota kuwa na viwanja na maendeleo kama hayo kama kusingekuwa na watu weupe huko.Ni kama Australia sijui kama Aboriginal wangeleta maendeleo kiasi hicho au Maori kwa New-Zealand.Kwa nini nchi nyingi zenye weusi maendeleao yako duni?Je Marekani ingefikia kiwango kile cha maendeleo kama wale wamerekani weusi waliochukuliwa utumwani wangebwagwa Marekani na kuachwa peke yao? Kuna muda nahisi weusi uwa tunajitukia vitu vyote kwa asilimia 99.999% amegundua na ametengeneza mtu weupe au mjapani mmh sisis tunaletewa teknologi ana misaada inasikitisha sana huu ukweli.Mimi nawaza tu na kuota ota kwa haya maswali.Ndoto ya mchana Sweden.
ReplyDeleteHiyo miji mizuri kama Cape town ina miundo mbinu mizuri ni kazi ya makaburu;na hiyo daima itawafanya wakumbukwe:na tuone baada ya miaka kadhaa inyokuja kama nchi haitakuwa uozo na siasa za Zuma na ANC
ReplyDeletenadhani picha hizi zitamfungua akili mwandishi mmja wa habari aliyemkariri vibaya JK kuhusu uwanja wetu mpya kwa kusema kuwa hakina kiwanja kitakachoweza kuupita uwaja wetu hata vya afrika ya kusini vikiisha.
ReplyDeleteEbwanaaeee...hii baab kubwa, kwa kusahihisha tu Anon wa kwanza watu wote mmemuelewa vibaya, au ndio kusema hamjamuelewa...amemaanisha kama Uwanja wa Mkwakwani Tanga yani kwa sifa, anasifia uwanja wa Mkwakwani...kusema ukweli uwanja wa mkwakwani Tanga hauna running trucks za riadha, ni uwanja wa Soka, mimi nafikiri ndio alikuwa akimaanisha hivyo.
ReplyDeleteAlafu pia World Cup ya 2010 inaonekana itachukuliwa na nchi za kwenye baridi, yaani mataifa ya wenzetu...Afrika tunaenda kusindikiza tu, kipindi hicho World Cup ikichezwa, nina uhakika South Africa itakuwa katika kipindi chake cha Winter...twenzetuni South nshaweka wese katika ndinga, tunapitia Maputo.
mdau
Ashkmatiiiit
anonymous wa Tarehe Thu Oct 15, 04:22:00 PM, najua SA ni nchi kubwa kwa size, lakini maana yangu ni kwamba baada ya WC, ukiwa na infrastructure nzuri, ambayo wanayo, uniahitaji labda nusu tu ya hivyo viwanja. Kwa mfano hicho kiwanja kipya cha Dar, kwa usafiri mzuri hata watu wa sehemu kama Kibaha na Morogoro wangekuwa wanaweza kuhudhuria mechi bila matatizo, bila kuonekana kwamba 'wamesafiri' kufika Dar, that was my point. Simahanishi Morogoro kusiwe na uwanja lakini sidhani kama unataka kila mkoa wa Tanzania uwe na uwanja kama huo mpya wa Dar, again, it's just common sense.
ReplyDeleteHuwa naavoid kutoa mifano specific kwa sababu mtu mwingine anaweza kuuchukulia literally, kwa hiyo nilijikwaa kwa kutoa mfano wa marekani. Ni watu wachache ninaowajua ambao wana positive thinking kuhusu africa kama mimi.