JK akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya pamoja na Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya muda mfupi baada ya kuwahutubia wananchi wa Lufilyo,Rungwe wakati wa uwekaji jiwe la Msingi katika jingo la taasisi hiyo uliofanyika jana.Taasisi ya lucy Hope inawahudumia watoto Yatima
JK akiwa na mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya na Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya wakishangalia wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi katika jingo la taasisi hiyo iliyofanyika huko Lufilyo,Rungwe, mkoani Mbeya jana jioni.Taasisi ya Lucy Hope inawahudumia watoto Yatima kwa kuwalea na kuwapa elikmu katika ngazi mbalimbali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Lucy Hope Centre Bi.Lucy Mwandosya na Mumwewe Profesa Mark Mwandosya wakimkabidhi JK picha iliyochorwa na Bi.Lucy mwandosya inayoonesha ngoma ya utamaduni ya Rungwe ijulikanayo kama " Ndingala" wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la taasisi hiyo huko Lufilyo Rungwe jana jioni.
Picha na mdau wa Ikulu Freddy Maro




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nimeitamani picha ya ndani ya picha ya picha ya tatu (inset). imenikumbusha migombani. kumbe mke wa profesa ni mchoraji!

    ReplyDelete
  2. Good work Mrs Mwandosya! ugonile,
    Picha nzuri sana uliyoichora, may i giv u some advice, picha kama hiyo chora tena then ufanye auction ukirudi dar es salaam waalike wanyakyusa wote wenye pesa hapo wako wengi sana, weka na dina mbaraga wachaji elfu hamsini sahani, at the end of it all utatoka na hela nyingi sana na utawasaidia sana hao wanao ambao wanahitaji sana msaada wako. Just an idea frm me think about it!
    And thank you for what u hav already done so far.
    Mdau in NY

    ReplyDelete
  3. Na wwew mdau wa NY ,utachangia nini?tuma hela za ujira wa kubeba mabokisi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...