THE LOOK ni duka jipya la mavazi, hasa "hasa ya kinamama na watoto, ambalo limejizolea sifa kedekede kwa ubora na upekee wa mavazi yake ambayo ukivaa hamna mambo ya sare sare maua. Lipo Mwananyamala jijini Dar usoni pa jengo la Biashara Complex na jirani ya kituo cha Komakoma kwa Bitebo mdogo na Sofia Productions. Habari zaidi:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. KWA VILE UKO HUKO PORINI UNGEKUWA HUKU UGHAIBUNI UNGEKIONA CHA MOTO KWANI KWENYE UWANJA WA SHERIA KWANI JINA HILO TAYARI LIPO NA A BIG STORE CHAIN SELLING THE SAME STUFF.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...