Home
Unlabelled
libeneke la zebongo.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi naomba uwakumbushe wadau kumpigia kura dada Elizabeth. Hapa South Africa watu wanampigia sana jamaa wao pamoja na dada wa kutoka Zimbabwe, nadhani dada yetu anaweza kuwa kwenye hot soup kwa kipindi hiki. Wadau waliopo njea wenye access ya computer kwa urahisi wanaweza kumpigia kutumia mtandao, na wanaweza kumpigia kila baada ya saa moja kwa kutumia email address moja, kama unazo nyingi ni advantage pia. Wadau waliopo nyumbani wenye uwezo wanaweza kumpigia kwa SMS au kupitia njia ya mtandao. Tumpigie kwa wingi.
ReplyDeleteMdau,
atajiju kama kutoka si atoke tuu kutuma meseji si bure ni gharama kishenzi huko mgao wa umeme una drive watu crazy kuna mishumaa ya kununua mkaa mafuta ya taa ambayo ni ghaliii anaboa watu ndo mana wanampigia kura za kutoka na pia gharama za internet ni ghali hivyo aombe mungu nchi nyingine zimuokoe kama last time wabongo wanapigika saa hii na makali ya umeme we unasema ati?? wakati yeye yupo kwenye full kiyoyoyzi
ReplyDeleteNimeipenda design ya website.
ReplyDeleteKitu imeenda shule sana!!
Hongera ZeBongo.COM
jee tufahamishe vipi tutaweza kumpigia kwa nyia ya Net kwani tuko teyari kufanya hivyo tupe maelezo kwa ujumla thank u
ReplyDeleteSasa hapa ZeBongo.COM inahusiana vipi na BigBraza??
ReplyDeleteAu ndio hiyo bigbraza ndani ya ZeBongo??
Naombeni ufafanuzi wadau!!
Hivi huko kwenye Bigbrother wanashindana vipi mbona mimi sielewi. Mshindi anakuwa ameshinda wengine kwa utaalamu gani mbona havieleweki kabisa. Na Tanzania inapata sifa za kuwa na mtu mwenye ujuzi wa nini kushinda nchi nyingine?
ReplyDelete