wadau wa kampuni kongwe ya uchapaji vitabu ya macmillan wakiweka mambo sawa kabla ya ufunguzi rasmi wa wiki ya vitabu na maonesho ya vitabu katika ukumbi wa ubungo plaza jijini dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kilimilimi Kithathatha, SpainOctober 14, 2009

    Je ni kweli kuwa hawa jamaa wanauza vitabu vyao kwa kuwahonga na kuwapa rushwa maafisa elimu wa wilaya mbalimbali huko Bongo???

    ReplyDelete
  2. Ukweli ni kwamba Bongo yote yanawezekana cha msingi vitabu viwafikie walengwa.

    Ukitaka proof ya hilo itabidi iundwe tume ambayo itatumia hela zaidi ........ blabla etc.

    K.O.R.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...