Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Samuel Sitta, (kushoto) akihudhuria mkutano wa 121 wa Umoja wa mabunge Duniani (IPU) unaofanyika mjini Geneva, Uswisi, kulia ni Mhe. Nigel Evans toka Bunge la Uingereza picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Great shot.
    Nimependa composition na mwanga

    ReplyDelete
  2. SITA,KIPENZ CHETU,SAUTI YA WANYONGE
    WE UNDERSTAND U,WE GOT YOUR BACK.DONT TURN BACK MUNGU NA WATANZANIA TUKO PAMOJA NA WEWE.GOD BLESS YOU AND PROTECT U AGAIST ALL EVILS..

    ReplyDelete
  3. Mzeehuyu anajua vema kazi yake, ila wakuu wake na baadhi ya mamluki ndo wanamkatisha tamaa na ndoto yao ni kuona anaangukia pua. MUNGU yupo abakulinda mzee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...