Goooooooooooooooooo.......Mussa Hassan Mgosi amliza kipa wa Yanga dakika ya 26
Kipa wa Yanga Obrien ausindikiza mpira golini
simba washangilia bao lao
wafadhili na promo yao ya cheka time
upande wa yanga uwanja umenuna
MPIRA UMEISHA NA SIMBA SC. WANAONDOKA NA POINTI ZOTE 3 NA GOLI MOJA MBELE YA YANGA FC. KATIKA MCHEZO WA WATANI WA JADI WA LIGI KUU YA VODACOM WANJA LA NESHNO JIPYA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 35 mpaka sasa

  1. SIMBA SAFI SAFI SAFI SANA,
    JUU JUU ZAIDI!
    thanks michuzi, ngoja nilale sasa.
    ila next time tutafute mbinu za kutangaza mtandaoni, hii ni moja ya njia za kukuja uzalendo wa soka la nyumbani kwa watanzania walio nje ya nchi.
    Phiri is a great coach, ameipika timu hadi inavutia kuiangalia.

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana Simba. Huu ni mwaka wenu naona Yanga wanalia tuu, hali yao mbaya. Nawaomba watani wetu wa Jangwani wasihuzunike bali waanze maandalizi ya mwakani, huu mwaka ni wa mnyama wakuu. Hureee hureee Simba.

    ReplyDelete
  3. Simba Simba.Mwaka huu balaa,yani tumecheza pungufu na bado tumewafunga.Kwi kwi,ila kama mithupu inaonyesha kama hauna raha

    ReplyDelete
  4. Mbona hii habari umeindika kiunyongeee sana, mbona hakuanza na BREAKINGGGGGGGGGGGGG NEWSSSSSSSSSSS, Kama kawa mnyama kamchinjia mtu baharini

    ReplyDelete
  5. Tunasubiri hizo snepu ustaadhi kama bwana harusi amngojeavyo mwali

    ReplyDelete
  6. Simba wamenguruma Kimoja tu kimetosha

    YANGA refa wenu mmekuja naye Penalt Mbili za Mwanzo kabeba kipindi cha pili Simba walikuwa wapate Penalt tena kabeba.

    Simba, Mrwanda katolewa kweli nizamu muhimu ana haki kupigwa Nyekundu

    Yanga- vipi hamjaweza kurudisha na Simba walikuwa watu 10.

    Yanga sasa Subirini Bakora Jangwani kwakwakwa heheehe hahaahahah. Simba Taifa Kubwa. Manchester United wakijitahidi wanaweza kuwa na Mpira kama Simba ila bado sana Simba tunatisha hata Real madrid na Man united hawana Skill tuliokuwa nayo sasa. Majid.

    ReplyDelete
  7. Hakuna tatizo kabisa ndugu yangu, hawa jamaa budget kidogo kazi kubwa. Nawatakia kila la heri.

    ReplyDelete
  8. Yanga hata Cheka Time hamcheki? kwakwakwakwa Simba kweli mbabe.

    ReplyDelete
  9. Yanga bwana kweli ni matambara. Refa wao na wachezaji wao 11, lakini Mgoshi wa ndima haelewi somo. Ni mbao tuu. Mcheki Mserbia akitanuka mbavu, huwajui simba nini wewe, papic aka clinton karibu Bongoland baba.

    ReplyDelete
  10. Simba hoyeeeee!
    Hiyo picha ya kwanza inafaa sana kwenye lile gazeti lililokuwa linatoa shindano la, 'onyesha mpira ulipo'.
    Yanga leo wamekimbizwa na kandambili zao za njano mkononi teh teh teh!

    ReplyDelete
  11. simba ameunguruma.....

    ReplyDelete
  12. Michuzi usisahau kuangalia kwenye uwanja wa cottage fulham anavyokula mdogo mdogo....haaaa

    ReplyDelete
  13. fanya juhudi kama za simba kaka Michu, simba 10 imeishinda yanga 12( plus refa) na wewe ingewa teknolojia ngumu, jitutumue walau upate motion pictures utuwekee, itanoga zaidi.- Kilakshari

    ReplyDelete
  14. TUWEKEE NA MATOKEO YA BWAWA LA MAPAFU! USISAHAU NA MAPICHA YA KUMWAGA

    ReplyDelete
  15. jamani cku zote nlikua cjajuaga ze mifupa ni jangwani damu!!lol

    ReplyDelete
  16. Nimefurahi na ushindi wa Mnyama leo. Nakuomba uniwekee histori ya SIMBA na YANGA washacheza mara ngapi na wamefungana mara ngapi. Shukrani, Michu

    ReplyDelete
  17. YANGA mupira amujui mgeuza jengo la Jangwani liwe la kina mama mtilie ili wa2 wa gomigo na kigogo 2we 2nakuja kula chakula cha mchana pale. Simba kumfunga yanga ni kama m2 anapoketi valandani kwae yaani ni kawaida 2.

    ReplyDelete
  18. Mnyama noma!

    ReplyDelete
  19. bwawa la nyongo vipi mbona sioni matokeo......???????????

    fulham..... !!!!!!!!!! 555555555555

    ReplyDelete
  20. Yanga mbovu? kwa bahatisha moja!!!

    ReplyDelete
  21. Michuzi kufa kama mwanaume bwana!!!!! yaaani yanga inyukwe!! Liverpool inyukwe!! ha,ha,ha,ha,,Mbona hatuoni matangazo ya mchezo wa maini ya rafael benitezzz na flham???? Tangaza tu Liverpool 1- Fulham 3 taarifa ipo www.viwanja.blogspot.com

    ReplyDelete
  22. La, la ,la, ni goli wasikilizaji, Mwenye uwezo wa kucheza mpira kacheza, mwenye uwezo wa kufunga kafunga na dhaifu kamuachia pionti mwenye nguvu. Simba bwana hata huruma hawana? Jaribu kumfikiria Shabiki wa Yanga ambaye anaipenda Liverpool.

    ReplyDelete
  23. NINA FURAHA MBILI LEO!
    HAPA UKEREWE TUMEMZABA TOTTENHAM RUNGU TATU KWA NUNGE!
    NA HUKO NAKO TUMEMLIZA KANDAMBILI!
    SI BORA TU WATUTAWAZE UBINGWA?
    NANI ATASUBUTU KUTUKARIBIA SASA?
    WANA MSIMBAZI MMENIKOSHA SANA LEO, MNANIKUMBUSHA LILE TUPSI LILILOTOKA BRAZILI NA MITINDO YA DAYOGNA NA SAMBA.
    KIP IT AP VIJANA!
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  24. Haya tena,

    Michuzi ongoza watu wako mrudi Jangwani.Tena mpitie bibi titi,mkunje morogoro ndo muipate Jangwani kwa sababu pale msimbazi patakua pamefungwa tunajinafasi.

    ReplyDelete
  25. Angurumapo Simba mcheza ........?

    ReplyDelete
  26. poleni bwawa la ,maini mmeachwa tene solemba loe! chels ROCKS1

    ReplyDelete
  27. Uwanja umeshona si mchezo. Sasa tuanze utaratibu wa kuwa tunaenda na waifu zetu kwenye michezo. Siyo tu itaongeza mapato lakini itapendezesha vilevile mandhari ya kwenye mechi. Wadau mnasemaje?

    ReplyDelete
  28. aungurumapo simba mcheza nani?

    ReplyDelete
  29. Angurumapo Simba mcheza nani???? Nguruma x 10.

    ReplyDelete
  30. Nyomi tumeliona wote na pia kulanguliwa tumelamguliwa sana tiketi ya sh.5000 na sh.7000 watu tumeuziwa sh.12000 hadi 14000, ya sh.10,000 tumeuziwa sh.15,000 hadi sh.17,000.Utaratibu mbovu wa kuingia uwanjani ati mdhibiti mapato sasa subiria mapato utaambiwa zimepatikana sh. milioni 300 tu!halafu mengineyo yanatengewa mil 40! mgao wa timu utaambiwa mil 40 tu.
    Yote kwa yote Simba wanatisha Yanga was a second team before Mrwanda dismisal.Michuzi unasema alichupa ili kupata penati ila kumbuka he was clean through on goal with a keeper to beat, how can a striker dive in that scenario? na Maftah alishabaki nyuma. Anyway tunazungumzia ushindi kwa Simba lakini refa wa namna ile anaweza sababisha kuchafuka kwa amani kwani alikua akionesha upendeleo wa dhahili kwa Yanga yeye pamoja na linesmen wake hasa yule aliyekua upande wa jukwaa kubwa ambaye alikua akibabaika sana hata kwa mipira ya kurushwa alikua hajui iende upande gani, faulo nyigi za Maftah ambaye ni alikua na bahati kumaliza dk tisini akiwa uwanjani kutokana na faulo zake japo kwa jana alicheza vizuri sana kwa upande wa Yanga. TFF iwaangalie maefa hawa. Michu ni nadra sana kwa Phiri kucomment vibaya kuhusu waamuzi lakini jana alifanya hivyo kuonesha kwamba hakuridhika na uamuzi wa mwamuzi hasa kwa vitendo vyake vya kutopuliza filimbi kwa wakati pindi wachezaji wa simba wanapofanyiwa faulo na madhala yake ni mfanyiwa faulo kurudishia. Any way SIMBA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
    FULHAM MMHHHHH?

    ReplyDelete
  31. Treni hilo breki zimefeli jamani stay alert Mtibwa! tunahitaji spiderman kulizuia!phiriton ni kali sana kwa Yanga ni mwaka jana tu walinusurika na kujikuta washabiki wao wakishangilia goli mbagala wengine wakiwa karume! shukrani kwa additional time ya dk 7!

    ReplyDelete
  32. Simba sio mchezo.Maana Yanga walikuwa wanaomba mpira uishe kwani vijana walikuwa wanateleza kama nini?.Pongezi sana kwa Makocha,wachezaji,viongozi,friends of simba kwa mshikamano wenu,wadau ndio tunapoataka hapo tu.
    Number unayopiga sasaa haipatikani???
    Kuna mnazi mzungu anaitwa tko mb huyu jamaa amesaidia sana sie simba kuwazima yanga kimya kama awapo.Madega nenda kuwania ubunge yanga mhnn-na huyo mzungu nadhani hana muda hapo yanga.
    mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.

    ReplyDelete
  33. mbona matokeo ya liverpool hamna

    ReplyDelete
  34. dah simba mnachonga sijapata kuona mh! nyie hamchoki la kusingizia jamani mwaka jana mmefungwa na yanga ohooo refa amewabeba, juzi eti refa alikuwa wa yanga,mlivyotika droo eti mmeongezewa dakika lol! sijapata kuona watu walalamishi kama simba, jamani acheni hizo simba mnatia aibu.mimi sina timu lakini nhuwa nafuatilia sana mabo ya simba na yanga,naona kama simba full fujo na wanaopenda kulalamika wakati yanga wanapenda kukata rufaa,hivi soka la Tanzania litaendelea kweli bora niendelee kushangilia tu CHELSEA MIE.simba fujoooooo na kulalamika, yanga kukata rufaaaa.

    ReplyDelete
  35. Koku tuachie simba yetu. wewe na wanayanga wenzio mwaka huu sio wenu. Sasa kama mnabebwa msiambiwe?!!!!. Koku na wenzio acheni kuwashambulia simba (waacheni washangilie ushindi wao) nyie fanyeni usajili mzuri panapo majaaliwa mtaifunga simba. Kila la heri simba (Taifa Kubwa) mwaka huu Kombe mali yenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...