Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Hahahahhaha sikujua kwamba Yanga wamefulia kiasi hiki.....Na bado kipigo kinawasubir uwanja mpya tarehe 31st Oct.....Nahisi Yanga watatoa timu half-time kama kawaida yao!

    ReplyDelete
  2. Simba au Liverpool????

    ReplyDelete
  3. hii ni document ya kuchonga..msitutishe

    ReplyDelete
  4. Tatoo nimekupata, siyo kivile lakini base iko correct - michezo iliyochezwa na wingi wa points bila kujali ubora ligi. Inakujakuja hivi, nimeipenda.

    ReplyDelete
  5. mkuu michuzi liverpool ya ngapi, sijaona sawasawa na hiyo karatasi ingepigwa picha ya karibu zadi isomeke

    ReplyDelete
  6. sasa nimeamini sio kila anae tembea barabarani mzima... wewe uliyetuma hako ka video show board kako itabidi upimwe akili... sio kila mtu anashinda kuangalia video huko uswahilini... au unamaanisha vingine na sio "simba sc yaongoza kwa ubora duniani" manake zamani mlikuwa mnaandika sijui "leo usiku wali kuku" kumbe mnaonyesha kale kamchezo sasa sirikali ikawashitukia... usione aibu sema tu kama utaonyesha kale kamchezo

    ReplyDelete
  7. Alieichonga/iandaa hii ni SIMBA, ila kibao kikibadilika asisahau kutengeneza nyingine. Ligi zote bado changa naona keshajipa ushindi. Hahahahahahaah

    ReplyDelete
  8. Mtu unakaa chumbani kwako kukiwa na giza nene baada ya mgawo kuchukua nafasi yake, then unafikiria jinsi unavyoipenda timu yako mbovu ya Simba. Kesho yake asubuhi unakimbilia internet cafe' halafu unachapisha mawazo yako na kuombea umeme usikatike kabla huja-print. Baadaye unakimbilia kwa braza Michuzi na kumwomba aweke mawazo yako kwenye globu yake. Ama kweli wabongo ni wabunifu. Tunahitaji mtu kama wewe kusaidia kupata ufumbuzi wa matatizo yanayoifanya nchi yetu kuwa maskini mpaka leo hii. Ha ha ha....

    ReplyDelete
  9. Aaaahh...Tottenham Hotspur ya nane..imemfunika hata mtani wetu wa jadi, the gooners (sorry, the gunners)
    Simba bado tunatisha, tumemfunika hata Manure (Sorry, Man U)

    ReplyDelete
  10. HATUDANGANYIKI

    ReplyDelete
  11. Timu kubwa haina hata kiwanja cha mazoezi!

    ReplyDelete
  12. KWA LIGI ANAYOCHEZA SIMBA ILITALIWA AWE NA POINT ZAIDI YA 100 HADI HAPO HALIPO.KULINGANA NA NCHI ZINGINE DUNIANI.
    MDAU MONEY UK.

    ReplyDelete
  13. hahhahahah safi sana mdau Simba Oyeeee wenye wivu wajidhuru

    ReplyDelete
  14. ukisikia mapepe ndiyo haya. simba katwaa ubingwa oktoba? toba!
    lakini jamaa kafikiri saana mpaka akaibuka nii. siyo siri mpira unapendwa ila timu zetu bongo ndo zinatuangusha.

    ReplyDelete
  15. hiyo ni sawa na kuweka vichuguu na mlima kilimanjoro na kuvilinganisha.acha utoto

    ReplyDelete
  16. Aungurumapo SIMBA HUCHEZA NANI? anguruma, anguruma nguruma, .......
    Simba oyeeeeeeeeeeeeee. yote tisa kumi YANGA Mmefulia haijalishi kulinganisha mlima kilimanjaro na vichuguu kilichopo ni kwamba haijafungwa toka msimu uanze. atakaekasirika na akasirike ila huo ndo ukweli. eeeee kidedea, titititiiitii, eee kidedea.

    ReplyDelete
  17. Tarehe 31/10/2009

    YANGA 3 SIMBA 0

    inawezekani hiyo chati ikawa ni ya kweli kwa sababu katika nchi ya vipofu mwenye jicho moja ni MFALME.

    YANGA MPO JUUU!!!!!!!!1

    ReplyDelete
  18. HII NI BABU KUBWA NIMEIKUBALI, TUNATAKA UBUNIFU KAMA HUU, NAKUFAGILIA ULIYETUMA HII WAAAAAA, SIMBA NDIO PEKEE AMBAYO HAIJAPOTEZA GEMU KWEMYE LEAGUE ZOTE HAPA DUNIANI KWA MSIMU WA 2009/2010, MWENYE WIVU ALE GOGO LAKE MWENYEWE

    ReplyDelete
  19. ....Hee hivi siku ya wajinga duniani imehamishiwa October? M.T.

    ReplyDelete
  20. hata kama kuna kaubunifu alichokifanya mdau, lakini ukweli una baki palepale kuwa simba ndio timu pekee ambayo aijafugwa mpaka sasa katika ligi zote muhimu hapa duniani. sasa kama una wivu nenda kajinyonge lakini ukweli ndio huo.

    ReplyDelete
  21. Japo mimi ni Simba lakini niseme haya matatizo ya umeme yanatupeleka pabaya sasa. Ukiileta Manchester United icheze na Simba tutatafutana, Simba itapata droo tu.

    ReplyDelete
  22. Duh! ka ni hivo, then timu yetu ya Mishkaki FC inaongoza duniani maana ina point 30 kwa michezo kumi iliyocheza(( hahaahahahahaaaa!!!

    ReplyDelete
  23. Wewe unayesema timu yenu ya Mishkaki imeshinda mechi 10, Hiyo timu ipo daraja la ngapi kwani hizi timu zilizotajwa hapo juu nadhani unazielewa zinacheza daraja la kwanza kwa kila nchi. Na leo tena Simba kashinda hivyo ni 27 point

    ReplyDelete
  24. mkuu fanya ku-update apo juu......LEO wamebamiza mtu tena.....9*3=27!!!!aiseeeeee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...