Kikosi cha timu ya Namanga kwenye bonanza la miaka 10 ya kifo cha mwalimu leo katika viwanja vya leaders club jijini
Timu ya Ukonga kwenye bonanza hiyo
patron wa break point alison mutembei (shoto) na katibu mipango na maadili papa muddy pizarro na vijana wao wa break point
kikosi cha namanga




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. This is all good but I wish you guys were celebrating his birthday instead of celebrating his death, labda kama munafurahia kufa kwake!

    ReplyDelete
  2. It's called celebrating his life.

    ReplyDelete
  3. Why not celebrate his life on his birthday?? I gues that was Kaka Trio's question.

    ReplyDelete
  4. Binafsi nimemuenzi JKN kwa kufanya shughuli zangu binafsi za kilimo, ili kuienzi falsafa yake ya Ujamaa na Kujitegemea.

    Hii siku imekuwa kama siku ya michezo ya kuigiza, UNAFIKI mtupu, watu kumuenzi Mwl kwa matembezi, kucheza, mapunziko ya kikazi, maandamano, kufanya usafi n.k. Lakini kwa wale wanaojua maana Kumuezi Mwl ni zaidi ya haya yote. Ni mambo gani ya msingi Mwl alituachia? Tunapata nafasi ya kutafakari kula mtu binafsi anavyoyatekeleza yote? Ujamaa+Kujitegemea+Leaders accountability+Usawa wa binadamu+ n.k. tunayatekeleza je kila siku? Sio swala la kuadhimisha siku moja, ni continous process. Ni aibu tupu na unafiki kwa mtu au chama chochote au kikundi chochote cha watu kisichofuata falsafa ya Mwl kwa vitendo kila siku kufanya matembezi, kucheza, maandamano, kufanya usafi kwa siku moja n.k. Angalikuwepo Nyerere nadhani kuna watu angewafukuza wasifanye haya maigizo wakitumia jina lake.

    ReplyDelete
  5. Kaka trio hapo juu, shughuli hii inaitwa "kuadhimisha" sio kusherehekea au kufurahia kama unavyosema. Kumbukumbu ya kifo haisherehekewi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...