
Substitute Ryan Babel had put the Reds ahead late on with a 25-yard thunderbolt into the top corner.
But some sloppy defending allowed Lisandro through on goal and he calmly dinked a shot over Reds keeper Pepe Reina to dramatically equalise.
for more from BBC SPORT
RESULTRS TONIGHT
Arsenal 4-1 AZ Alkmaar
Dynamo Kiev 1-2 Inter Milan
Fiorentina 5-2 Debrecen
Lyon 1-1 Liverpool
Rubin Kazan 0-0 Barcelona
Sevilla 1-1 VfB Stuttgart
Standard Liege 2-0 Olympiakos
Unirea Urziceni 1-1 Rangers
Dynamo Kiev 1-2 Inter Milan
Fiorentina 5-2 Debrecen
Lyon 1-1 Liverpool
Rubin Kazan 0-0 Barcelona
Sevilla 1-1 VfB Stuttgart
Standard Liege 2-0 Olympiakos
Unirea Urziceni 1-1 Rangers
Naona michuzi siku hizi mnahitimisha tu. Poleni sana.
ReplyDeleteMdau True Blue Helsinki.
mwaka wa taabu ehhhh ehh. inawezekana Ali Choki aliwaimbia Liverpool
ReplyDeleteUshauri wa Bure: Nimegundua kwamba Ze Fulanaz yako ina bahati sana ya vijivekesheni kibao, unaonaje ukishauri Bwawa la Maini waisajiri iwe Jezi ya Timu, labda mnaweza kuanza kushinda tena.
ReplyDeleteBwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha The LiverFools bana wameshindikana, siku hizi They Always Walk Alone ... sijui ni safari ya kwenda wapi maana hata direction ya wanakoelekea haijulikani, lakini labda Mdau Nambari Wani Rafa Bana Matezi anaweza kuwa anafahamu Liver wanakwenda wapi.
Michuzi ulishangilia juzi baada ya hapo ni kilio mwaka mzima, hakuna kombe la mchangani wala la mbuzi, hakuna Premier wala CL. Subiri uanze kushangilia timu za wanaume kama washika bunduki, wazee wa kazi wa darajani na vijana wa SAF. Jide amesema amekukatia kadi ya The Blues kama huta-mind atakugea bure kabisa ili angalau na wewe uwe unapata timu ya kushangilia, hapendi kukuona umenuna kila siku, mwisho utaacha kwenda kwenye shoo zake kwa sababu ya hasira ya kufungwa kila siku.
Nina mashaka wewe ndo umeitia nuksi hiyo timu. Kwanini imeanza kufanya vibaya baada ya wewe kufungua tawi hapa Bongo? Sijakusikia tena kwenye hizo harakati, naomba kadi tafadhali na jezi yenye jina Mdau Namba Zero, maana nitakuwa sina akili kujiunga na timu inayofungwa kila siku!!!!
du liverpool ishatoka
ReplyDelete...I have never been a Liverpool fan, but for once last night I felt low as Lissandro broke the hearts of many. There I sat, after the final whistle, wondering what might have been. In Benitez' shoes I could feel the stress and the frustration but as I jumped back into mine I realised that the feelings hadn't gone. For a non-Liverpool fan to feel like that it was hard to imagine what the likes of Michuzi could have been going through...
ReplyDeleteArsenal tunaendelea kutoa dozi.Ukiwa unasumbuliwa na mafua tunakupa dozi ya Malaria.Mwaka huu ni wetu mtake msitake.
ReplyDelete"annus horribilis"..alisema Mama wa Uingereza..Lakini "Siku hazigandi Michuzi",..vumilia, switch-off hadi msimu ujao..
ReplyDeletearsenal nao wana fujo,mwisho wa ligi hawana kombe lolote kabatini!
ReplyDeleteWachezaji Wanahama Timu Sembuse Washabiki!!! Hama Timu Michuziiii
ReplyDelete