Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, Ephraim Mafuru (kushoto)akifafanua jambo kwa wanahabari juu ya ushirikiano wa kampuni yake na Benki ya Azania katika utoaji wa huduma ya M-Pesa.
Sasa wateja wa benki ya Azania wataweza kutuma pesa zao kwa njia ya simu wakitumia M-Pesa. Kati ni Mkurugenzi wa huduma za kibenki wa Benki ya Azania, Togolani Mramba, akimsikikliza kw makini wakati wa hafla iliyofanyika katika ofisi za Benki hiyo sasa hivi. Kulia ni Meneja wa tawi la Azania Harun Mushi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...