Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Unaona pesa niyokula Oman, kwa kufundisha Kiswahili tu, ambacho sijasomea.
ReplyDeletewabeba mabox changameni! kununu vitu TZ chance never comes twice
ReplyDeleteNAOMBA KUULIZA..HIVI MFANO MIMI NINAENDA NA DOLA ZANGU DAR DUREAU DE CHANGE NATAKA WANIBADILISHIE WANIPE SHILINGI..SASA RATE INAYONIHUSU HAPO NI BUY AU SALE..PIZ MSINIUE KUULIZA SI UJINGA BALI NATAKA KUTOA UJINGA WA KUTOJUA.
ReplyDeletemdau hapo juu kwanza elewa wao wanauza na kununua hivyo na wewe utakuwa unawauzia. so remember they buy from u.u,re in buying category.
ReplyDeleteUNAYEULIZA RATE GANI INAKUHUSU NI HIVI WEWE UKIENDA KUBADILSHA PESA UNACHOFANYA NI KUWA UNANUNUWA, HU-UZI NA BIASHARA ZA PESA HUWA WANAKUUZIA KWA BEI NDOGO SO YOUR RATE IS BUYING, NA UKIENDA KUTAKA PESA YA KIGENI SEMA DOLLAR UNACHOFANYA NI SELLING, UNAUZA MADAFU YAKO KWA DOLLAR SASA UTAPATA DOOLAR KWA BEI YA JUU ILI MWENYE DUKA APATE FAIDA YAANI ATANUNUWA DOLLAR KWA MTU MWINGINE KWA BEI POA NA ATAKUUZIA WEWE KWA BEI MBAYA NA ILI TOFAUTI NDO FAIDA YAKE. SO HIZO TERM BUYING AND SELLING ZINA M-REFER MWENYE DUKA SI WEWE. KWAMBA ANA-BUY CHEAP NA ANAUZA GHALI TOFAUTI NDO CHA JUU CHAKE. JUST POP IN ONE OF THE BANKS THERE IN TANZANIA OR ANYWHERE YOU ARE AND ASK THEM THEY WILL NARRATE IF VERY SIMPLY TO UNDERSTAND. THANK YEAH.
ReplyDeleteAnony wa 11.44 PM kama una dola na unataka pesa ya kitanzania au madafu utakuwa unatumia rate ya kuuza(selling)
ReplyDeletekwa maana nyingine wewe unawauzia dola zako za kubeba box hao wenye hilo duka lakubadilishia pesa.na kama utakuwa na madafu na unataka kupata dola basi utakuwa unanua dola na utatumia buying rare.
mtushukuru sana wabeba box kwani ndio tunaopatia tanzania pesa za kigeni kwani bongo kwa sasa hakuna kitu chochote cha ku export maana kila kitu mna import toka CHINA
ReplyDeleteNdugu uliyeuliza swali hapo juu, ukienda kwenye BUREAU DECHANGE na dola zako, RATE yako ni ile ya "BUYING". SELLING na BUYING inafanywa na wenye dechange. Buying=wananunua dola zako. SELLING=wanauza dola zao walizonazo/walizokusanya.
ReplyDeleteASANTE
yaani huko bongo baba yangu anaponitumia fedha analia thamani ya dola imepanda na mimi huku nikipokea ninalia thamani ya dola inazidi kushuka
ReplyDeletekaka michuzi mm kama mdau wa blog yetu hii inayotupa mambo mbali mbali ya bongo na popote pale wanapoishi wabongo.. ningependa kuona kila siku hizi rates za kupanda na kushuka kwa pesa yetu ktk blog yetu hii. ahsante
ReplyDeleteASANTENI SAANA WAPENZI KWA KUNIJIBU KWANI SASA NIMEELEWA KUHUSU BUYING AND SELLNING.MUNGU AWABARIKI WOTE.KWELI HUMU KUNA WATU WANA ROHO SAFI ZA KUSAIDIA.MBARIKIWE.
ReplyDelete