Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania (TBF), Richard Kasesela 'Bibo' akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ofisi za Baraza la michezo Tanzania (BMT), kuhusu uchaguzi Mkuu wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Desemba 19 mwaka huu. Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa BMT, Mohamed Kiganja. Picha na Francis Dande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Magazeti-PatrickNovember 26, 2009

    Sasa "Bibo" utagombea tena kiti chako. Sisi tunakutakia heri na ushindi ukitaka kuendelea na kiti cha Urais.Magazeti-Pat, Columbia, South Carolina.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...