

Tanzania’s Elizabeth was evicted from the BIG BROTHER REVOLUTION during Sunday’s ninth live Eviction Show, leaving just 8 housemates in the running for the massive USD200 000 prize.
After Angolan hip hop star Big Nelo kicked off the show with his hit “Karga”, viewers saw some highlights of the week that was and were given a glimpse of Jeremy’s first day outside the house, it was time to get down to the serious business at hand.
IK took the continent inside the house, for Head of House Edward to reveal who he had saved from possible eviction and who he had replaced them with. Getting straight to the point, Edward told the housemates that he had saved “the only person I get along with, the only person who is cool with me, my little sister Mzamo”. He went on to reveal who he had switched her with: “I changed her with Elizabeth because she took out my twin brother and I miss my brother like nobody’s business”. Big Brother gave Elizabeth 5 minutes to pack her bag and she duly headed upstairs with a few housemates in tow, with Kevin helping her pack her bags.
After a few more inserts, one of which introduced Geraldine’s much-talked-about twin sister Jacqueline to the continent, Big Nelo told viewers he was completely behind Emma before performing another of his hits – “Eu Quero Mais Karga”.
IK then called the Alexander Forbes representative on stage to hand over the dreaded envelope and confirm that the name it contained was indeed the correct one. Having done so, it was time to reveal the news to the housemates and the continent. “The next housemate to leave the Big Brother house is…” said IK. “Elizabeth”.
After sharing a long hug with Kevin and greeting the other housemates for the last time, she headed out of the door in the garden and joined IK on stage.
Elizabeth revealed that she wasn’t shocked at being evicted because of her role in ending Edward’s twin brother Erastus home. “Twin power, you know? It’s only a game and you have a good chance of being up for eviction,” she said. “You either get evicted or you win!”
IK asked her about the most difficult part of being in the BIG BROTHER REVOLUTION house, to which she replied “I don’t want to say – it’s really personal, but I will say that I’ve learnt a lot about myself in the house and I know my mom is proud of me,” she said. She felt that her time in the house had taught her to “let things go” and that it was possible to make really good friends in a very short time.
IK’s line of questioning then turned to the thing everyone on the continent wanted to know about – her relationship with Kevin. “What’s going on?” he asked her. “Just because I have a man doesn’t mean I have to be mean,” said the Tanzanian. “I have a man out there and I put myself in so much danger by getting close to Kevin. Kevin is one of the greatest people I have ever met and he knows things about me that not even my best friends know.” “Naija boy, I love you!” she shouted. “That’s all I’ll say – he’s my best friend”.
Then it was Molotov Cocktail time, with IK promising it was the worst one of the game so far. “It’s a blessing for most and a curse for one,” he read. “All housemates may receive a message from a loved one, except one.” Leaving Elizabeth to make that choice, after a long pause, she named Kevin. “Kevin, I know I’m going to get a message to your loved ones and I know you’ll be there ‘til the end. I’ll deliver a message to your sisters coz you know I have their numbers,” she assured her visibly-upset friend.
Moving on to his final questions, IK asked Elizabeth about the screaming match she had with Itai, in which he had called her “psycho”. “Don’t get into my business if I don’t let you in. It’s mine,” she replied. Asked about her ‘beef’ with Nkenna, Elizabeth declared that it wasn’t a beef and that she just couldn’t relate to the Nigerian. “She tried to be friends with me but it was fake,” she said. After viewing her highlights, IK asked her what she would miss most about the Big Brother house. “I’m gonna miss Kevin,” she told him. With that, it was time for Elizabeth to depart, with IK reminding her that she left with USD 2809 in her money pot.
Here’s how the continent voted: Elizabeth was the least popular in Angola, Botswana, Ghana, Malawi, Namibia, Uganda, Zimbabwe and Zambia. Her fellow nominees Emma and Nkenna were least popular in Ethiopia, Mozambique, Nigeria and Rest of Africa and Kenya, South Africa and Tanzania respectively, splitting the vote 8-4-3.
Elizabeth is hot no matter wat i love gal u rock ,kevin for money
ReplyDeleteHaende zake na inferiority complex zake za kusema hajawai date blacks.I wonder,ndo mana anapenda kumfananisha Yakob wa Ethiopia na baba yake,yote hasionekane kama yeye ni Mtanzania,ila ana muethiopia. Hii sijui itaisha lini,anway kwa kuwa anapenda coloureds na wazungu,nampa offer ya kwenda Manenberg,Hannover park,Mitchells Plain(Cape Flats) akachague wala wivijiwe coloreds.
ReplyDeleteKanitia aibu kweli mbele za watu,watanzania wote tunaoneka tuna inferior minds kwa ujinga wa dada yetu. wengine wanasema ndo mana tunapenda kuweka coloreds mana wenyewe tunajidhalau.
Tutatoka lini katika ili?
Jamani wewe mdau wa juu,she is just 22,kwa hiyo hana experience kihivyo na wanaume kama unavyofikiri wewe,kwa umri alionao kawai kudate pointi 5 tu.sasa akifika na umri kama wako atakusimulia kama kashakutana na black kama akiachana na mchanganyiko alionao sasa.
ReplyDeletepia alisema kuwa alishawahi kutongozwa na blacks but akijaribu kumchunguza kuku anakuta amekula au anakula vya jalalani,so bado anakamua na mchanganyiko wake.
Na amesema kama siku za mbeleni ikitokea ameachana na boifrendi wake mchanganyiko,na akakutana na mwanaume mweusi mwenye tabia kama ya Kelvin hata sita hata kidogo kudate naye.
HONGERA MDOGO WANGU> UMEJITAHIDI. GAME SIO RAHISI. POLE PIA MAANA KIUKWELI NIMEKUONEA HURUMA MAANA NIMEONA HAIKUWA RAHISI KWAKUWA HUKUWA NOMINATED. NA MIE SIKUMBUKI KUONA MTU ANAYEKUWA REPLACED ANATOKA... NI AFADHALI UNGEKUWA NOMINATED UNGEJIANDAA KISAIKOLOJIA. UMEKUWA EVICTED KIKATILI MNO. MIE NIMEUMIA KULIKO KEVIN.. NASHINDWA HANA KUFANYA KAZI LEO. POLE NA HONGERA MAMII. UR GOOD!! USISIKILIZE WACHIMBA CHUMVI. ILA NAKUSHAURI KEVIN IS SOO SPECIAL USIMUACHE. HUYO MZUNGU WAKO KAMA BADO ATAONYESHA KING'ANG'ANIZI... MZULIE SABABU AISHIE ZAKE.!!
ReplyDeleteJamani mtu anaweza kuwa ana boyfriend wake toka utotoni na hawezi kumuacha,sasa labda uyo mpenziye ni mweupe sasa hawezi kumuacha kwa sababu awalidhishe kaka zetu weusi.
ReplyDeletesamahani sana,
mimi mwenyewe i am married na Chotara man ndoa yangu ina miaka 2 na tulidate kwa miaka 10.so sijawahi kuwa na Muafrika 100%,
Na mtu akiniuliza je umewahi kutoka na Black kabisa 100% nitasema NO.na kweli ni BIG NO maana siijui ladha na mweusi mwenzangu.
Na sio kwamba nabagua,ila enzi hizo uyo ndo mwanaume wa kwanza kunifuatilia vizuri na mimi nikadondokea kwake hadi leo.Na sitarajii kumuacha wala yeye hatarajii kuniacha hadi hapo Mwenyezi atakapo tutenganisha.
Nawasilisha
tena koma angekua dada yako ungesema hayo we vipi dada yetu kajitahidi sana angekua dada yako au mkeo ange gawa kama pipi huyu amejitunza mpaka mwisho unaona wivu ndio nyinyi mnaokosoa kila mtu kama kanumba na wengine ndio maana hatuendelei hii ni gem tunatakiwa kufuta mabaya kupata sifa za nchi yetu hayo mengine hayahusiani na maisha yako au yake tena wewe ndio tuna kutafuta mchafuzi wa nchi yetu,tena jirekebishe nchi inajengwa na watanzania wenyewe kama dubai imejengwa na wao wenyewe usitegemee raisi au wamarekani ni wewe kama ndio unawaona wenzio wanafanya mambo vibaya unakosoa tutafika wapi?tena usizoee kukosoa wenzio wanapojitoa kwenye vitu vinavyoleta heshima nchi yetu unajua katumia garama gani kufika hapo alipo.
ReplyDeletekuuliza si ujinga huyu Eliza anasema haja wahi kudate na mtu mweusi kwani yeye ni nani ??? na hiyo ndo mistake yake kubwa hata tanzania hawajampigia kura mbona mshamba sana wa mawazo huyu dada vp mzima kweli safari nyengine kabla hamjaleta mtu huku mumueleze mambo ya kuongea sio utumbo utumbo tu aibu sana viumbe kama hawa huyu inabidi akaishi Kayelisha sio plain
ReplyDeleteKWA UMRI WANGU WA MIAKA 50 NILIKUWA NAFUATILIA SANA HUU MCHEZO LAKINI JANA NILIISHIWA NGUVU KABISA NA KILICHONIUMA ALIKUWA NA BAHATI NA WAPENZI WENGI LAKINI KILICHOMHARIBIA TANGU PALE ALIPOSEMA KUWA YEYE ANADATE NA WEUPE TU SI WEUSI,YEYE ALICHOTAKIWA KUSEMA SORRY KEVIN NINA MPENZI WANGU KWISHA KABISA SIYO KUANZA KUELEZA KINGINE SITAANGALIA TENA BIG BROTHER JANA MWISHO AFADHALI NI NGAANGALIA CHELSEA WAKIVUNA POINT TATU
ReplyDeleteKweli kabisa huyu Elizabeth nilimfagilia sana alipo kua Miss na pia alipo ingia Big Brother , lakini kipindi kama cha week moja tuu kabla hajatoka nilikuwa niemsha m acha kama supporter wake.
ReplyDeleteKwanza huyu dada anaonekana mgomvi, aliweza kujicontrol tuu kwa muda na ilianza kumshinda hapo mwishoni akaanza kuachia uhalisia wake nakuonyesha ni kwamba hana class na mkorofi kabisa.
Pili siku walipo kutanishwa na wanaume , alikutana na mshiriki wa Kenya ambaye ni Jeremy ,alipo ambiwa na Jeremy kwamba "she look Tanzanian" , yeye akaona kama ni ameshushwa hadhi na Jerremy na kumjibu " But im Mixed" kuoneysha kwamba eti yeye hafanani na watanzania.
Tatu kitendo chake cha kusema eti hajawahi date Mwafrica, akidhani yeye anaonekana Mzungu au mhindi, wakati hajui akiwa nje ya Tanzania katika wazungu yeye ni mwafrica tuu , huu ni ushamba wa kuto jitambua .
Nne siku wameingia ndani ya room akiwa pamoja na Mshiriki wa Uganda , waliongea kiswahili huku wakingalia kcamera na kuanz akutukana maneno ya matusi ya nguoni kumsema mtu ambaye yey Alizabeth alisema kuwa alimbania asifike hapo, na kutukana kwa kutoa mesege za matusi kwa kiswahili live kwenye show.
Huyu dada ni Limbukeni tuu na bora ametoka.
duuuu noma sasa!yaani ngozi hii nyeusio imebarikiwa na mungu ngozi haipati kansa wala nini na hua inaeza kukabiliana na hali yeyote ile ya hewa.barido au joto bila kupaka cream ya kuzuia mwili kuwashaa.na wala ngozi yetu hii haina shida kabisa na maji i,m mean bafu na kadhalika ni hayo tu.mungu wabaaliki weusi
ReplyDeleteAlianza vizuri Eliza lakin baadae akaanza kuharibu na visirani vyake na kugombana na watu na kujiona yeye ni mzuri kuliko wote mule ndani masikin jana kuwa overexited ni kuchanganyikiwa kutoka kwani hakutegemea kama yeye na nkenna yeye anaweza kutoka maana alikuwa anaropoka tu bt i luv gal u rock
ReplyDeleteYaani we acha tu, Elizabeth anahitaji kuonana na pyschologist. Kaka Michu msaidieni kuna kitu kina mtatiza. Hata hivyo nnampongeza kufika hapo alipofika manake wametolewa watu 17 kabla yake.
ReplyDeleteWe anony TANZANIA tulimpigia kura sana hujui kusoma nini zile ni least contries alizopata kura ni anaonekana ana inferiority complex ndio maana alianza kuharibu
ReplyDeleteHuwa ni either 'black' or 'white'. Huwa hakuna sijui mix, or half cast sijui bla bla gani. kazae na mzungu uone jinsi mwanao watakavyomwita, unadhani ataitwa half cast? no way!!! Ataitwa Black!!!! Obama si ni halfcast? Mbona anaitwa black???
ReplyDeletewabongo bwana,yani katoka mnaanza kumsakama,angeendelea kuwepo wanamsifu,kazi kwelikweli
ReplyDeleteKevin really liked Liz. Na kama he is faking, but msemo wa Eliza kuwa black man are psychos will deffenitly be true.
ReplyDeleteShe sounded kama racist, yaani aliambiwa she look tanzanian akasema but i am mixed shame on you. You are black mifano kakupa ano.04:28:00 PM na unajua hilo fika. ulimbukeni hamnjui kujipanga level ya game ndogo. Ulificha makucha kumbe mshari kinoma damn harsh. Haya na usd 2000 yako hata spacio aitoshi mjini hapa uta....
ReplyDeleteHIYO NI BEING SHOWN THE DOOR AU BEING SHOW THE DOOR??????
ReplyDeleteHongera Elizabeth, maana hata mimi ulini fool , nilidhani kwamba ur the sweetest girl in the house ,kumbe loh!
ReplyDeleteTataizo ulienda pale ukiwa too fake , kiasi muda ulipo anza kusonga ukashindwa kuficha makucha yako na Africa waka kugundua na ndio maana ukawa voted out .
Imeniuma sana umetoka ,ila kwakweli huku stahili kushinda maana ur were too fake and muda tuu tukaona the real u.
Nadhani the girl with class ni Geraldene na sijui nani ashinde kwa sasa maana fav wangu alikua Elizabeth and that chick from Zambia Maggie (the tall one)
04:28:pm GRADE ZA RANGI NI MAAMUZI TU YA KUBAGUANA NDIYO SABABU WAZUNGU WA AFRICA KUSINI WALIKUWA NA WHITES, COLOURED NA BLACKS, SERA YA UBAGUZI WA MAREKANI HAINA COLOREDS BALI INA WHITES NA NIGERS (NEGROES) NA HII YOTE SI SHERIA. WAINGEREZA WAO WALIKUWA NA HALFCAST HIVYO HIVYO WAASIA NA WAARABU WAMO KUNDI LA WATU WENYE RANGI YA MANJANO! (YELLOW) SIJUI KAMA KWELI DUNIANI KUNA BINAADAMU MWENYE RANGI HIYO: ILA TUU KWENYE JICHO LA MBAGUZI RANGI HIYO IPO NA INAONEKANA NA HIVYOHIVYO NDIVYO LIZ ANAVYOIONA RANGI YA NGOZI YAKE NA SISI WETE HATUWEZI KUMBADILISHA DADA HUYU.
ReplyDeleteHellow that was a fake eviction, elizabeth is in the palace now playing with rubby,
ReplyDeletehongera Elizabeth, nilikuwa nafuatilia BBA Revolution ila tangu umetoka siangalii tena.
ReplyDeleteumefanya uwezavyo hao wanaosema sijui nini, waende wao sasa, hivi kwanini tusimsifie kwanza kukaa eneo moja kwa muda mrefu na watu hao hao ni kazi sana? tena huku ukiwa unafuatiliwa na watu usiowaona, dada umejitahidi hongera, nimepiga kura sana nadhani ni wengi tumekupigia, usikate tamaa umejifunza mengi nadhani endelea na maisha yako dada,
- jamani sijafanya 'lisechi' lakini hebu niambieni wadau, naona kama vile hili jambo la inferiority complex ya hawa .5 wa kwetu lipo sana kwa wenye nasaba ya kidosi (kujipeleka kwa wadosi wenzao ama weupe; u-strict, ukali, u-psycho)..japo tazama Richard na Mwisho kulikuwa hamna hilo (Richard hadi kucheka anacheka kizaramo na 'hakua apologetic' kwa hilo). Mi m'bongo kwa hiyo nitamuunga mkono m'bongo, hata pange-gharikishwa!..hata hivyo kuna mafunzo kuhusu hii ya Eliza: "mudomo uliponza kichwa" - nafikiri bado hajafikia uwezo wa kujidhibiti kichwa na ulimi na kucheza 'game' ya vichwa zaidi ya hapo alipoondolewa - alifikia ukomo..wote waliobaki wanamzidi kwa hilo. huu mchezo ni taswira na kipande cha mchezo wa maisha..kung'ang'ania kuucheza kihalisia ni kupoteza gemu ama kuotea kuwa wimbi la bahati litakubeba..ingawa huwezi tabiri 100%, angetumia vizuri 'mahaba' (game) na Naija Boy ingempeleka mbali..na ilikuwa wazi kuwa anampenda, lakini mbinu zero?.
ReplyDeleteHahahahaha, mdau uliesema kuwa Eliza anacheza na Ruby na kuwa ni fake eviction! That was funny but Elizabeth's stay in the big brother house is over. Mwache arudi zake huku, anajiona sana eti mimi beautiful, I like myself. Kama si wazimu ni nini.
ReplyDeleteKiukweli jamani niliumia sana, me ni fan wake vibaya sana, ujue jamani huwezi kuuficha uhalisia wako maisha yako yote, elizabeth najijua na hata alipoulizwa na IK alisema hawezi kukaa na kitu moyoni, yeye ndo Elizabeth sasa, ndo alivyo jamani, tuliheshimu hilo, na kuhusu kudate whites ujue tuko wa aina nyingi, wengine wanapenda wanaume weusi kama mkaa, wengine weupe sio lazima hata wawe wazungu/arabs au wahindi, jamani mie mwenzenu mwanaume wa kibongo siwapendi wenye rangi nyeupe, napenda weusi, kila mtu na jinsi anavyopenda, wengine bila muarabu hawezi kuishi, wengine bila mzungu haiwezekani, sasa yeye ndo apendacho jamani tuliheshimu hilo..hata hivyo me nampongeza mno!! Vote shem Kelvin pls...
ReplyDeleteKiukweli Kelvin anampenda Eliz, yani wewe Eliza usije ukampoteza, kama vipi huyo mzungu mpotezee, yani juzi hata me machozi yalinitoka, kuhusu Eliz jamani ile ni game, hata hivyo, angeyafanya aliyofanya Mzamo si msingemtoa hata kwenye magazeti kwa aibu? kiboko yenu alikuwaga Latoya tu..ha ha ha ha haaaaaaaa
ReplyDeletehahahahahahah kwi kwi kwihahaahaa
ReplyDeleteyani nimecheka adi mbavu zimechomoka leo uwiii
uyo annon "KANUMBA" 07:08:00 pm
watu mna viroja humu?
she is a racist, afadhali katoka,me ni mtanzania halisi aliniboa kusema hajawahi kudate black it sound like our blak brothers hawafai sijui nisemeje bt alinibore enewei huwezi kujua labda hajawahi kutakwa na mahandsome wetu wakiblak na kev ndio wakwanza sasa hakawa anahaha, sasa mnafikiri tusemaje, psycho elizabeth
ReplyDeleteanon wa Tue Nov 10, 11:20:00 AM wee utakuwa malaya, sio lazima akubali wanaume wote ili mradi tu wanamtongoza, yani wewe kwa vile unakubali kila mwanaume usidhani ni wote, basi ungeenda wewe nadhani ungekuwa shoga'ake mzamo na ungekilengesha kwa wanaume wote mle ndani weusi kasoro Quin tu..aibu yako, muache kabisa mtoto wa watu na mzungu wake.. Vote Kelvin, Ruby out...
ReplyDeleteelizabeth jina zuri mie ulinibore siku ya kila mtu alipoambiwa avae mavazi ya Nchi yao bwana Jeremy toka Kenya alipiga pamba za kimasai lo uliza dada etu alivaa nini kama hujaona Kidosi nilishangaa Bora alivopigwa buti na ushmaba wake na siku moja ana mwabia jeremy is better this time they send you here from kenya bcoz kenyani they dont say naomba they said Nipatie u know what i mean ushamba ushamba tu
ReplyDeleteWA TZ NI WABAYA SANA, HUYU ANGEPATA HAYO MADOLA WATU WANGEMSHALIA SANA LKN KULA WARIKUA WAGUMU KUMPIGIA NDIO BASI TENA.
ReplyDeleteMhindi koko afadhali katoka maana huo uhindi hata akiiapa hakuna atakae kubali nafuu hata Emma angesema muhindi mweusi kila mmoja angeamin.nywele kipilipili au kafuwata kwa bibi mzaa mama nini?Bushoke tupe jibu
ReplyDeleteDADANGU POLE SANA KWA HILO KWANI POPOTE UTAKAPOENDA WEWE NI MWEUSI TU HAKIKA HUJATEMBEA. MIE NAISHI UK NA KUNA WENGI WAMECHANGANYA RANGI LAKINI BADO WANAITWA WEUSI PIA UBAGUZI HUKU NI SUMU. PIA KUMBUKA WATANZANIA HATUNA UBAGUZI REKEBISHA MSEMO WAKO NA WAOMBE WATANZANIA MSAMAHA KWA HILO. SIE TUNAISHI HUKU ULAYA NA BADO TUNAJIVUNIA SANA KUWA NA WEUSI WENZETU
ReplyDeletejamani wadau,mambo haya hayakuanzia kwa huyo Liz,mambo haya watanzania ni wengi wetu tunapenda sana kuyaendekeza,kwa mfano utaona mtu anamwambia mwenzake ,acha uswahili wewe kuwa kama mzungu,wakati anamuona kabisa yule anayemwambia ni mswahili na ngozi yake ni nyeusi
ReplyDeleteangalia pia hawa ndugu zetu wanamuziki yaani aibu tupu wanajichubua weee mpaka mishipa ya damu inaonekana,na hiyo yote wanataka waonekane kama wazungu,aibu sana ,mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,makosa kwa wazazi wake.na jamii iliyomzunguka
kwakweli Elizabet tunakupa pole sana kwa kutolewa,ila ujue kuwa wabongo walio wengi uliwaboa kwa kukakataa uhalisia wako ulio kuweka kwenye jumba,nivigumu kumshawishi mtu kukupigia kura kwa staili hiyo ulio tuonyesha,Hii inadhihirisha dhahiri watanzania tunavyo chemsha kwa kila jambo From 'Kanumba 2 Elizabert' Kweli tuna udhika sana,Hata hivyo hongera kukaa kwenye jumba mpaka muda ial ulikuwa na uwezowa kuka mpaka mwisho wewe tu na mashauzi yako.KARIBU HOME TUPO KAM ULIVYOTUACHA.
ReplyDeleteBoring!!! She really deserved exit. Haikuiwakilisha Tanzania for sure, alijiwakilisha yeye mwenyewe.
ReplyDeleteKweli huyu limbukeni, sasa alifikiri akisema mixed(utafikiri kemikali) ndo angewarusha robo watu. Ushamba tu. Watu kibao wamekueleza na kukupasha kuhusu weupe wanavyotuona, hawajalishi hiyo chemical composition yako ni 60% kwa 40% au 50/50. Nakuomba jitambue acha kasumba. Sijui white-minded African generation itaisha lini!!. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania. Asanteni.
ReplyDeleteElizabeth ulianza vizuri sana na ulipata fans wengi kila kona, wiki ya pili ukabadilika kabisa,ukawa na mood swings! kwenye reality show unanuna siku nzima!! mkali,mgomvi,hukuonyesha ukarimu wetu kabisa kama wenzio waliopita!Ukapoteza fans wengi sana kwa ghafla na ndio maana ulitoka jumapili, otherwise nnkena ndioe aliyetakiwa kutoka lakini mdomo wako ndio uliokuponza Africa ikakugeuzia kibao.
ReplyDeleteHukuutukuza utanzania kama wenzio waliopita, uliuweka uhindi mbele hata juzi dakika chache kabla ya kuoka ulipojua uko nominated ukataka ubadili nguo uvae kihindi, wenzio wakakuambia uko poa tu.
hukuongelea uzuri wowote na vivutio vya Tanzania kama wenzio waliopita uliongelea mapungufu yaliyopo kama wachawi, kesi ya jamaa aliyekuwa na post nzito serikalini,aliyetumia fedha zake kuwanunulia kina dada magari mekundu, Je ulitumwa ukaeleze yote hayo? mbona wenzako hawakuongelea mabaya ya nchi zao ina maana kwao hakuna maovu? yapo ila ni wazalendo!
Ulimnyanyasa sana kevin pamoja na kuwa alikupenda! wengi walisema uko fake kwa ajili ya camera, otherwise usingekuwa mkatili vile kwake,mbona Geraldine alikataa 2 guys na akawa rafiki mzuri sana kwao, hukuwa mstaarabu kabisa, kwenye maisha ya kawaida wanaume hawakatiliwi hivyo uli over do, wewe ulidhani changamoto ya BBA ni ngono tu, kumbe ni zaidi ya hivyo! Ndio maana Mzamo bado yuko she's real pamoja na kufanya ngono ana fans wengi tu.
unahitaji msaada wa kisaikolojia kwanza ili utambue kuwa wewe ni mweusi na si mhindi! kwenye community za kuhindi hutambuliwi kabisa!
Mwisho na Richard pamoja na uasilia wa mmoja wa wazazi wao, hawakuwa na complex kabisa, wao walijua kuwa ni watanzania ambacho ndicho kitu cha msingi, mie sikumbuki uasilia wa hata mmoja wa wazazi wao maana kawakuutangaza kama wewe ulivyofanya.Tena cha ajabu hufanani kabisa na wahindi sana sana ni jina la baba yako tu.
Latoya, hakuwa hata siku moja hakusema yeye ni mchaga mle ndani alisema ni mtanzania.sababu ya uzalendo.
Elizabeth ulidiriki hata kuwasema marafiki za babako tena kwa majina yao vibaya sana imagine kwenye TV!! you went to far!!
Kevin ni kijana mzuri sana,na anastahili ushindi. nawaomba watanzania wenzangu tum support pamoja na yote ambayo Elizabeth aliyomfanyia, bado alisimama naye mpaka mwisho na kumlilia usiku kucha.
Elizabeth ulijiharibia mwenye kwa kuwa jai badala ya mchezaji, ulisema utaona kuwa uko kwenye wrong show kama nnkena atabaki wewe utatoka, Africa ikakupa ulichokitaka.ulijafanya mjuaji hata kudiriki kuwasema washiriki wenzio waliopita mapungufu yao, kweli huna uzalendo mbona wenzio hawakuwwazungumzia wa kwao? Bora Richard alikuja na Dau Nono!
ReplyDeleteulipotoka ndipo ulipoprove kuwa una tatizo ulipokuwa unajibu interview yako kibabe! wenzako wote wametoka kwa heshima sana. ulinishangaza ulipoonyeshwa highlights zako ukawa unapiga makelele "I'm beautiful" what was that for? and so what?? Latoya was the most beautiful girl in the house last year!
You said hujadate black? is it true?? what about yule mume wa mtu uliyetuambia ukiwa mle ndani kuwa ulimdate then ndio ukajua kuwa ameoa. was he white? or Indian?just curious??
Does she relate to oliva Gupta,aliyesomaga msalato girls, but oliva was soo cool and beautifully,than this chick eliza anayejisikia with no reasons.
ReplyDeleteMPENI MPENI HUYO MUHINDI NUSU. VIDONGE VYAKE. MAANA AMETUBOA SANA SISI WOTE WATANZANIA. KWA HIZO INFERIORTY COMPEX ZAKE.
ReplyDeleteMungu wangu, Sunche mbona ulichokoza nyuki!!!, hapa kila rangi utaona, chezea wengine siyo Waafrika. Unaona umekumbushia apartheid, xenophobia, racism achilia mbali colonialism!..kudadadeki sasa utashaa. Hata hivyo nakushukuru kwani umesaidia KAMPENI ZA KUAMSHA HISIA ZA KIZALENDO manake kwa hili Afrika kama si TANZANIA tumeungana. TUMSAMEHE amejifunza na watakaofua hilo ni onyo.
ReplyDelete