ni katika mazishi ya dada yetu witto shelukindo mziray jana kwenye makaburi ya kinondoni jijini dar yakiyohudhuriwa na kadamnasi kubwa ya waombolezaji ikiwa ni pamoja na spika Mh. Samwel Sitta aliyeongoza wabunge kadhaa kwenye msiba wa binti wa mbunge mwenzao mh. William Shelukindo (mwenye bizbo) ambaye ni mbunge wa Bumbuli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Rest In Peace !!!!My Ex Skul mate Forodhani Primary alikuwa B jamani Mungu ailaze Roho yake pema Peponi jamani nimeumia mno......Mungu awape nguvu wafiwa naona she waz Mrs Mziray na shemeji na kidos kam mungu alimapa......Bado kijana jamni Mungu kakupenda zaidi ulale pema peponi......

    ReplyDelete
  2. Victoria MakeneNovember 09, 2009

    Mungu wangu, maskini Witto rafiki yangu mpendwa nimesoma naye kifungilo, leo hauko tena maskini duh siamini, mara ya mwisho mwezi wa nane tulikuwa pamoja duh plz kaka michuzi naomba uniambie sababu za kifo chake tafadhali duh, natoa pole sana kwa familia yake ndugu na marafiki wote, isis wote hiyo ndio njia yetu, R.I.P WITTO SHELUKINDO ,AMEN. vICTORIA MAKENE uk.

    ReplyDelete
  3. RIP..YOU WILL BE MISSED DEARLY.
    (IRENE KAY)

    ReplyDelete
  4. Siaka Pole sana kwa msiba ndugu yangu.

    ReplyDelete
  5. Poleni sana familia ya Shelukindo na Mziray. Mungu ailaze pema roho yake!

    ReplyDelete
  6. Nimeshtushwa na habari hii. I rememmber Witto back from the days at Forodhani Pr. She was in class B and I was in A but I remember we would play together during break time mabembea, ready, etc.. Maisha mafupi jamani. Ee Mungu amjalie apumzike kwa Amani na awape familia faraja kubwa wakati wa msiba mzito

    ReplyDelete
  7. bizbo ndo nini??

    pole mbunge

    ReplyDelete
  8. So young yet gone, RIP.

    ReplyDelete
  9. Ooooho rest in peace my skul mate at Forodhani Primary Skul those days 198'z nimekumbuka back dayz with your friend Leyla,RIP Norma Mushema and you RIP Witto " 3 dadaz" maana nyie ndo mlikuwa na maumbo makubwa.Mungu akulaze mahali pema peponi,Poleh Lulu Shelukindo

    ReplyDelete
  10. R.I.P Witto,yaani inasikitisha sana kuona hii taarifa.Ukizingatia last time tuliachana Forodhani.anonymous hapo juu umenikumbusha mengi,hata Norma naye alitangulia mbele ya haki..she was too young jamani.Witto naye ndo huyoo hatunae.Bwana Ametoa na Bwana ametwaa ,jina lake Libarikiwe.Amen

    ReplyDelete
  11. Witto dear RIP. Nawatakia familia faraja wakati huu mgumu. Mdau hapo juu from Forodhani unasema Leyla na Norma walifariki pia? Wote ni class mates walikuwa. Inasikitisha kwa kweli sikujua hilo. Jamani tuombe Mungu atubariki na kila siku tukumbuke kuwajulisha tuwapendao kuwa tunawapenda kwa matendo na maneno kwani atujuhi lini ni siku ya mwisho.

    ReplyDelete
  12. Nono jamani I said RIP Norma Mushema alitutangulia tukiwa Form two'z yeye Norma waz in Kisutu Galz,Leyla cna habari zake koz nakumbuka mara ya mwisho walikuwa Mwanza babake alikuwa Mkuu wa mkoa huko.Mimi nilimaliza Primary xkul nao but me waz in A jamni wao walikuwa B.

    ReplyDelete
  13. Jamani wenzangu mliokuwa A ni kina nani maana kila mtu alikuwa A,,,,,,,,,,,,,,ni kweli marehemu Witto alikuwa B.Kwakweli muda umepita sana,miaka 21 iliyopita si mchezo.Namkumbuka pia mwl Julius(JJ Masiga)alitutesa sana kipindi kile na bakora zake za hapo kwahapo.Tukumbushane basi wengine wako wapi??A kulikuwa na kina anonita msangi,irene noah,bhoke matiku,judith chacha,mary ntukamazina,albogasst njuu,edward chelangwa,lenguyana leandry na wegine wengi.Duh!siku zimeenda sana

    ReplyDelete
  14. Jamani nakumbuka she was just a little cutie girl enzi hizo tunkaa Sea-view. I'm really shocked. Poleni kina Baraka na all the shelukindo's we are all together kumuombea mdogo wetu aliyetutangulia. My god! Mdau wa Sea-vie enzi hizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...