Mkuu wa Libeneke na nanihii,
Nakupa pole kwa kwikwi lililong'ang'ania mithili ya nanihii bwawani kwenye Premier. Sio mbaya kubadilisha biashara. Tafadhali, usiwabanie wadau wa Anfiled, wajulishe kwamba huku Wamenyakua Ubingwa!!

http://www.superleagueformula.com/

Mdau MCL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HII KWA RAISI KIWETE NA RAISI AMANI KARUME. kwa heshima zangu zote naomba kwa umoja wenu munisikilize .Kwanza kuhusu pasport iwe kama zamani kwa wazanzibar tu unguja na pemba.Iwe kama zamani huwezi kuingia ndani ya kisiwa cha zanzibar bila ya pasport ya kizanzibar.wabongo watanganyika wakitaka kuingia zanzibar wawe na pasport yao .japo mtasema tunarudisha nyuma maendeleo lakini kwasababu ughalifu umekuwa mwingi.mtu kwao mwenyeo unaogopa kutoka nje kwa ughalifu umekuwa mwingi na wengi wao waghalifu kutoka tanganyika.si kama hatutuutaki muuungano tunataka usalama wetu kama zamani.La pili tunataka meli zifunge gati zanzibar kama zamani .nakama zanzibar ni sehemu haizalishi kwa mapato yoyote kwanini hamuitengezi ikawa nzuri kwa taliii msitufahamu vibaya hatuja lewa wala hatujavuta bangi tunavyo hisi sisi kwenye nyoyo zetu zanzibar munatudidimiza .zamani zanzibar kulikuwa na machangu dowa lakini wanajificha na kujiheshimu. lakini sasa wanajionyesha kwahiyo tunakuombeni sie tunatak usalama .tunafurahi sana kuwa na pamoj na watanganyika lani tunaomba zanzibar iwe kama zamani hatutaki tena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...