Home
Unlabelled
chocolate princess atua na mali mpya toka italy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli biashara matangazo!
ReplyDeleteSafi sana, aminia...
ReplyDeleteHongera Michuzi kwa kuwapa 'tafu' wajasiliamali kwa kuwabandikia matangazo yao katika Blog hii maarufu. Na wao wawe wanakumbuka kuinakshi blog kwa anagalau kumzawadia mdau wa milioni 8!!. Hatuna shaka na wale wa minuso, maana huwa tunaona anagalau vipapatio unaambulia!!
ReplyDeleteduh,"duka lipo kwenye jengo la talk of the town,kwa nyuma"wow,i think there is a need for postal codes and addresses.shame on you GOv.
ReplyDeleteKWELI HUYU DADA CHOCOLATE PRINCESS.
ReplyDeleteLAZIMA NIMTAFUTE
Je na mambo ya kina mama hana au ndio anawauzia waume za watu tu
ReplyDelete.....Mhhh kweli MBONI siku hizi katulia.Mungu akubariki uzidi kupata.
ReplyDeleteKifua kimetulia dada yangu. Hongera. Wateja lazima watakuja tu kukuona
ReplyDeleteSi wa-Italia walitungea kiwanda cha viatu hapo Morogoro...na kuviza viatu vyetu huko kwao na kwingineko duniani wakati sisi tunazidi kupekua!
ReplyDeleteHivi hao mafundi wetu wa wakati huo hawakuweza kuiba hiyo teknolojia, kama walivyofanya wa-Japani na wa-China?
Sasa tumebaki mawakala wa Italia tu, kama hizo picha!
Tutengeneze viatu vyetu na tuachane na uwakala, kama tunataka kuendelea!
I hate importation. kila kitu tunaagiza na kusifia vitu vya watu. Vingekuwa vimetengenezwa na viwanda vyetu vya home ningekusifia lakini kwa kusifia cha wazungu, huna jipya. Kalaghabaho !!
ReplyDeleteOnyesha vya wanawake basi au ana pea moja tu aliyoivaa
ReplyDeleteNa talk of town ndio nini? Hao waliolipa hilo jengo jina basi wangesema talk of the town...agh!
ReplyDeleteduka ni maalum kwa wanaume kama yy alivo maalum kwa wanaume
ReplyDeletetutakuja tu mtoto chocolate
Tatizo hapo kcc tunabei zetu? au ndio bei za mafisadi tu.
ReplyDeleteNGALAWA ZIMETULIA KINOMA..KUHUSU BEI USIWE NA WASIWASI KWANI HUNA MACHO?!!...BUY ONE ...AND GET ONE FREE....!
ReplyDeleteLA, HIZO CHOKOLETI ZAKE KIFUANI ZIMEIVA KWELIKWELI.
ReplyDeleteMashallah hii kitu Mboni lazima itakuwa Tanga line.
ReplyDeleteJamani hili duka ni kwa ajili yetu Mapedeshee. Pea moja ni kuanzia Tshs. 120,000/=. Mliozoea viatu vya elfu 20 na elfu 30 nendeni Kariakoo na Manzese.
Acheni kumtukana dada wa watu mimi mbona nimeona mikoba ya kike na viatu katika shelf ya juu kabisa katika picha ya kwanza ?
ReplyDelete...nimechanganyikiwa na kifua. Naomba dawa na simu sista.
ReplyDeleteKWELI BIASHARA NI MATANGAZO HAYA BIDHAA ZOTE TUMEZIONA NI NZURI KUANZIA HUYO MWENYE MALI MPAKA BIDHAA ZAKE VYOTE VINALIPA
ReplyDeleteTUTAKUJA KUWEKEZA USIJALI.