Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akizindua Program ya Miaka Mitano ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi inayoratibiwa na Vyuo vikuu vya Sokoine, Dar es Salaam na Ardhi kwa kushirikiana na Chuo cha Life Sciences cha Norway.kulia Prof Idris Mshoro, Prof Y Mgaya, Prof Geraid Monella na Balozi wa Royal Norwegian Bw Jon Lomoy Leo Huko Ubungo Plaza jijini Dar leo. Picha na Ali Meja
Home
Unlabelled
dk. buriani azindua programu ya kukabiliana na tabianchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
tabia nchi tafsiri yake kwa kiinglishi ni ipi?? ni country characteristics au ni country behaviors?? lipi katika haya ni sahihi?. nisaidieni wadau manake nataka kuvamia fani ya mazingira sasa striiti kumekuwa kugumu!!!
ReplyDeletemkosa kazi, manzase, dsm.
Tabia nchi=Climate
ReplyDeleteMabadiliko ya Tabia nchi=Climate Change.
Haya majina huwa yanatungwa na nani? Huwa wanatoan "Press Release" kuwa wametunga jina jipya?
ReplyDeleteHapo naona ma profesa na ma dokta, ila kuna dokta mmoja simuoni, naye ni 'Dr. US Blogger'-hahaha
ReplyDelete(US Blogger)
Dr. Buriani unapendezaga sana Mash Allah, keep it up
ReplyDelete