Wadau mlio New York Mnakaribishwa na
Flaviana kuchangia katika hafla hii.
habari kamili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. You go girl! One of the very few Tanzanian pageant contestants that's actually STUNNING- with or without hair.
    She looks more like a model than someone that belongs in a beauty pageant. Major difference between those two.
    She has a very bright future ahead of her.
    Best of luck!

    ReplyDelete
  2. Hongera Flavian- Naona hii itakuwa safi hapo Steak House downtown, New York 5th Ave. By 27th &28th street. Hii ni hotel Jack & Ben Sinanaj. Tena na Mzee Trump atkuwepo basi ni shughuli nzito, pia kufunguka kwa kazi zaidi za Flavian. Karibu New York

    ReplyDelete
  3. ukweli ni kwamba flaviana matata una kila kitu cha kuweza kuwa supermodel,kinachokuangusha ni kuwa bongo tuu,bora uingie zako states itakuwa rahisi kwako kupata kazi na usichelewe sana maana sioni kama umri unakupa muda mrefu...ila kweli unafaa na quality zote za models unazo ila bongo mhhh.

    ReplyDelete
  4. go girl,keep it up darling!!

    ReplyDelete
  5. fraviana matata toto la kiafrika ama kweli unatisha si mchezo wewe ni model na ungekuwa miss tanzania wa kweli sio hao eti miss utalii sijui wamechaguliwa na vipofu gani!!!! go go girl.....

    ReplyDelete
  6. Can I publish this tangazo on my blog? I could score some college students here but I think this event will be to much for them with Rusell Simon in the house. It will be out of reach for frugal but they would be just as happy to a stunning Tanzania model

    ReplyDelete
  7. Heheh haloooo.Big up Flavie.
    Muone Wema Sepetu anavyo tokomea.
    Uzuri hana tena. Shule in mkongoli.
    Go girl...

    ReplyDelete
  8. hongera mama jitahidi ufike mbali umodel unalipa hasa huko majuu ambapo wanathamini sana hii shughuli na hivi una mvuto nyota yako ndo itazidi kumeremeta ila usilewe misifa ya kijinga ukaangukia pua kama miriam odemba nidhamu itakusaidia utavuna pesa kama naomi campbell kwani wao waweze wana nini hata wewe ushindwe una nini?? rizki ya mbwa iko miguuni mwake na wewe chacharika na ma cat walk utaona faida yake

    ReplyDelete
  9. safi sana flavi uko mzuri binti unavutia your a black beauty.well! kaza mwendo

    ReplyDelete
  10. That is so cool. Umepiga na nguo za sherri hill.Huyu yaani hapigi nguo zake na mamodo weusi...She must saw something about you

    ReplyDelete
  11. Beautiful! and all the best Flaviana, kumbuka nidhamu na heshima ndivyo vitakufanya uzidi kusonga mbele, kila la kheri.

    ReplyDelete
  12. Flavia, wewe mtoto ni matata kama jina lako, yani namaanisha wewe ni noma uko bomba yani unapendeza uko juu mwanawane, kazia humo humo si mchezo kina dada wa kibongo siku hizi full kujisgughulisha mpk itatia moyo.. yani kaza buti dada achana na maneno ya watu najua wako wenye roho mbaya wanaosema. ila nakuomba kitu kimoja, mshauri basi na Wema Sepetu nae jamani mrembo yule mi naona kama anapotea...matendo yake kwa kweli si mazuri. mshauri mwenzio afate nyayo zako azawaizi dogo tutampoteza.

    ReplyDelete
  13. kuhusu wema msijali akikua ataacha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...