Juu na chini Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. (MAELEZO) Clement Mshana akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vyakula na vifaa vya shule kwa watoto yatima wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Saint Joseph eneo la Kiseriani nje kidogo ya jiji la Arusha jana jioni. Msaada huo umetolewa na Maofisa habari wa Wizara, Taasisi na Wakala za serikali wanaohudhuria mkutano wa tano wa Maofisa habari jijini Arusha.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...