Baba T na anko wakipiga konozzzz. Baba T ni msanii na pia mtangazji wa East Africa Radio kipindi cha Reggae. Kaja bongo long time ago na yeye ndiye mmoja wa wakaziw watatu wa mwanzo wa maeneo ya tegeta walioanza kujenga huko miaka ya 80

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi tunamhitaji yule mzee anayechambua mechi bwana !!mbona kama hizi mechi simba na yanga au man united na the blue,au yale maini ya benitez,hizi zoote ni habali tunazohitaji yule babu aje hapa kwenye blog atuchambulie habali.Michuzi fanya nguvu tumuone bwana.Mdau wa sous korea.

    ReplyDelete
  2. Michuzi mkanda umeongeza tobo,Usibishe.

    ReplyDelete
  3. Michuzi bin masalo nakuona umesimama na mzee banny spear au ni macho yangu tuu yamekosa mawani yangu leo nimeipeleka kwa fundi?

    ReplyDelete
  4. kaka mich mfanye utaratibu wa hizo curtains basi,mwambie boss mnunue zile official-one hizo za vitambaa zitolewe siku nyingi sasa imetosha ona zinaanguka sasa.Ni mimi mwana TSN-Salma.

    ReplyDelete
  5. WALIKUJA WAKATI MWALIMU NYERERE NI RAIS WETU ALWAPATIA MAKAZI YAO PALE MBEZI BEACH KWA MSOMALI WA INTERNET NYUMBA YA MAKONDE UPANDE WA KULIWA WAKATI HUO HAKUKUWA NA BARABARA YA LAMI NA LILIKUWA PORI TU NYUMBA ZILIISHIA MWENGE BUS STAND TU BAADA YA NI LUGALO THEN PORI TU NA BARABARA MBAYA SANA, MAENEO YOTE HAYO YA MBEZI WATU WALIKUWA WANALIMA MPUNGA NA MIHIGO TU

    ReplyDelete
  6. Michuzi, ilo pazia ukutani lahitaji marekebisho kidogo. Ebu waeleze wahusika kama hawalioni.

    ReplyDelete
  7. huyujamaa anaongea kiingereza cha kijamaika, nalikuwa namsikia enzi zile akiwa RTD external service na mziki yake ya reggae. ukisikia ma rasta ndo huyu orijino. mbogamboga tu na vitu simpo, hana makuu na mtu, nilipita kwake tukanyw maji bombani (ya moto utadhani yametoka kwenye birika) hakukuwa na umeme enzi zile huko tegeta kwa hiyo hakuna friji. jama alitukaribisha kama anatujua vile, baada ya dk chache tukasonga mbele (braza wangu alikuwaga anasaka kiwanja cha kujenga huko minazini kwa wamakonde

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...