NDUGU ZETU,

Tunapenda kuwajulisha kwamba kutakuwa na kumbukumbu ya kumuaga Marehemu, Mzee Robert Lugarema Feruzi, kabla ya kusafirisha kwenda nyumbani Tanzania, itakayofanyika Jumamosi, tarehe 21 November, 2009.

Mahali:
Faggas Funeral Home, 551 Mt. Auburn St, Watertown, MA 02472
Toll Free 1-800-222-2586 or 617-926-2163

Muda:
3pm to 5pm (Tisa mchana mpaka kumi na moja jioni) - tafadhalini tuzingatie muda.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Bw. Innocent E. Lugumamu 978 996 7690
Bw. Steven Buberwa Mutasa 603 320 3220
Bw. Crispine Kahabuka 603 261 0802

Kwa maelezo zaidi pia, tembelea
www.faggas.com.

Ratiba itasambazwa siku hiyo ya "WAKE"
Tunatanguliza Shukrani zetu.
Steven Mutasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...