Amani Wetu


WAKALI WA ZOUK TANZANIA MPO TAYARI? Msanii mpya wa mahadhi ya ZOUK anayekuja juu kwa kasi ya ajabu zaidi ya kimbunga cha TSUNAMI,ni zao jipya kutoka Nyanda Za Juu Kusini a.k.a wilaya ya Njombe ndani ya mkoa wa IRINGA ni msanii anayejulikana kwa jina la kisanii AMANIWETU ambapo jina lake halisi ni AMANI SAID KILLO.


AmaniWetu anaingia kwenye ulingo waZouk akijitambulisha na wimbo wake mpya uitwao 'MAPENZI NI ZAWADI' ikiwa ndio maandalizi ya Album yake ya kwanza itakayo kwenda kwa jinala MOYO FICHO LA SIRI.


mpaka sasa amesharekodi nyimbo nne katika studio ya SOUND POWER chini ya Producer B jayzee(THE PROVIDER) studio hiyo ipo Njombe mjini.


Mpaka sasa kazi ambazo amesharekodi ni pamoja naMAPENZI NI ZAWADI,RAFIKI,MOYO FICHO LA SIRI na WAUZA SURA na kazinyingine mpya inayopikwa jikoni kwa sasainaitwaNIMEMPATA.


AmaniWetu anawaambia wapenzi wa muziki wa Zouk wakae tayari kwani mwanzoni mwa mwaka 2010 album yake itakuwa sokoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...