Mkuu heshima yako,kwa heshima na

taadhima naomba uwajulishe wadau kuhusu hii.


Habari Wadau, Napenda kuwatambulisha kwenu Obama mtoto amekuja na blogu yake ambayo itakuwa ikiwahabarisha mambo yote huko ughaibuni.Na pia hata pia kwa habri zinazotokea kule nyumbani (Tanzania). inakwenda kwa jina
www.obamamtoto.blogspot.com
Natumai kupata ushirikiano tosha toka kila kona.Ntanguliza shukrani zangu za dhati kwa wadu wooote!
ahsante!
haji boston(Obama mtoto)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Huu ujinga wa kuiga tunaomba msituwekee hapa globuni (michu usiniweke kapuni). mpaka lini mtaiga obama mtoto, obama mzee ndio nini kama huwezi kuanzisha lako usitumie migongo ya wenzako kutaka kujipatia umaarufu usio wako..huna lolote zaidi ya pumba, kukenua meno njeee ndio kuwa obama basi kila mtu angefuga nywele ndefu akajiita yesu. au akafuga ndevu akajiita osama.

    ReplyDelete
  2. Michuzi toa uchafu huo....

    washington.

    ReplyDelete
  3. Muhidini hii siyo blog ya kutuwekea takataka kama hizi.

    ReplyDelete
  4. chakubanga mtoto.

    ReplyDelete
  5. wewe bwana mdogo unayejiita obama mtoto ngoja nikuonyeshe matatizo yako:-
    1. inawezekana una psychiatric problem,maana kuna baadhi ya wagonjwa wa akili ambao huwa wanaamini kutokana na kufanana kisura au sauti na mtu fulani maarufu,na hivyo huamini asilimia 100% kwamba wao wamezaliwa(wana uhusiano wa damu)na mtu huyo maarufu,na wazazi wao huwachukulia kama niwakufikia tu na ilifanywa siri ili isijulikane kuwa wamezaliwa na huyo mtu maarufu. hata ukiwathibitishia kwa DNA test kuwa sio kweli wao huendelea na msimamo wao maana ni wagonjwa wa akili.
    2. unaonekana kweli bado ni mtoto hujakuwa kiakili,au huenda ni mtoto kivile(nadhani unaelewa namaanisha nini!!!)
    3.unasema utajukisha watu habari ZOTE zinazojiri UGHAIBUNI! hapa unadhihirisha huelewi maana ya neno ughaibuni,unalichukulia kwamba ughaibuni ni marekani tu uliko,maana upeo wako wa kuelewa haukupi kufahamu kuwa hungary,vietnum,tibet,estonia,macedonia pia ni ughaibuni in relation to tanzania.je unaposema habari ZOTE unacoverege kiasi gani au unatufanya watu mazezeta?
    4.unajiita obama mtoto, ungekuwa unabusara ungejiita jina la baba yako au babu yako kisha ukaongezea neno JUNIOUR!!
    5.umejitambulisha kwa jina la haji boston?? unamaanisha nini,yaani haji anaye ishi boston au haji mtoto wa boston,hii yote ni kujionyesha unataka sifa tu,angalia sana kijana!watu hatufagilii kuwa uko boston au uko kigoma,tunafagilia what are you and what are you doing!! wewe endekeza ujinga tu,sikuhizi wabongo wamezinduka sio wajinga tena.unaweza ukawa uko boston umevaa suti na meno 32 yote nje lakini unachofanya hakina future.
    USHAURI: get back to the track and be focused.
    mdau.

    ReplyDelete
  6. Huu sasa chuki na wivu binafsi ingekuwa hiyo sura ya anayetokea Ulaya au North america au south america mngeanza Kumsifu kafanana kweli na Obama. Tanzania tupunguze chuki binafsi kwa wananchi wenzetu wenyewe mpeni tafu mwenzenu. Pazi.

    ReplyDelete
  7. hahaha!hapa utaishia kuwapata mademu tu tena wale ambao hawajekwenda shule,lakini kwa kujitangaza kwa style hii humpati mtu mwenye akili zake timamu na anayeona mbali.too childish

    ReplyDelete
  8. US-Blogger)

    pelekea pumba zako huko, lione. sasa ukishajiita obama mtoto wataalamu kama wakina mashaka john, steve kanumba, hileband shayo na wengine watajiita nini?

    jiite bonifas charles
    au bakari mwidini, lione meno utafikiri bandia heti obama mtoto,
    kuiga hakuwatoshi? haya basi kabandike meno yako kwenye globu yako huyo, kwikwi

    Nitakupa vekesheni kwenye pent house yanguya Dubai ukapate upepo ukishapata matusi ya kutosha kwa kuiga mweu weeee

    US-Blogger

    ReplyDelete
  9. kafanana zaidi na maxio maximo kuliko obama

    ReplyDelete
  10. Ebwana acheni kumsema mshkaji..kuna show moja hapa marekani(imeshaisha lakini) inaitwa America's Got talent ambayo ilikuwa inaendeshwa na nick cannon..ilikuwa inaonyeshwa NBC kama sijakosea..jamaa alipata umaarufu na kufika karibu na fainali kwasababu ya ku-pose kama Obama..alikuwa anauigiza obama..sasa na huyo tumsemaje? mwacheni jamaa afanye anachofanya..when you grindin'.. u gotta do whatchu gotta do to be on top of ur game..do whatchu do dawg!!

    ReplyDelete
  11. Mbavu sina, for sure! Next time u better act like u know.Watu wazima tonacheck blog ya michuzi, ok.Do what took u there then then u can hit he road!!
    "Chakubanga mtoto" tehtehteh!

    ReplyDelete
  12. wewe chakubanga mtoto, umaarufu haupatikani hivyo. nenda shule kwanza alafu utaona mambo mswano. hivi unavokurupuka na boxi ikikuchanganya akili, utalizwa sasa hivi....

    ReplyDelete
  13. chakubanga, ukitaka umaarufu wa wakina kanumba na wakina mashaka, lazima upigike. wale wamepigika heti, matusi na makombora wanayorushiwa na kazi wanazozifanya ni tofauti, wanatumia majina yao wakati wewe unatumia majina ya watu. Tumia chakubanga original uone kama hautakuwa maarufu, hiyo ndo dawa mkuu, pole sana

    ReplyDelete
  14. kijana anapenda sifa huyu

    ReplyDelete
  15. MICHUZI NAOMBA NAMBA ZA SIMU ZA HUYU DOGO KUNA TUSI MOJA BAYA SANA NATAKA NIMTAMKIE KWA SAUTI. USINIBANIE TAFADHARI AMENIHARIBIA SIKU YANGU NA NITAPONA IWAPO TU NITAFANIKIWA KUMTAMKIA HILO TUSI. NI ZITO KIDOGO

    ReplyDelete
  16. nyie kweli mechanganyikiwa mbona kuna mtu alijiita jesu na mwingine nyerere sasa huyu kufanya hivi kuona donge baaaa cheeeee basi mi nkapa

    ReplyDelete
  17. We dogo hatujakusahau kwa taarifa yako kumbukumbu zako tunazo.Ulishawahi kujifotoshop kwa picha ya Lloyd Banks hapahapa bloguni kwa michuzi “Friday, October 12, 2007 headline Kansas” (wadau kama naongopa chekini kumbukumbu on the right side tarehe hizo) na pia “Thursday, October 11, 2007 headline Boston” ukajifanya sijui karani wa Wall street na gazeti kwapani.Sasa swali ni kwamba we hujipendi au hujiamini? Mbona unapenda identity za watu wengine? Sasa tattoo ulizozuga ziko wapi? This is the lesson that you lie doesn’t pay. Believe in yourself and be a man stop being fake okay?
    Mtunza kumbukumbu

    ReplyDelete
  18. Wala si uongo huyu ni Chakubanga mtoto haswa...!"Obama mtoto" atawahi...!!Itabidi akafanye marekebisho kibao..!!!!

    ReplyDelete
  19. anony unaye mtetea huyu dogo hapo juu ngoja nikueleweshe jambo, unajua mtu anapokua ni mwanavichekesho(comedian) ni jambo moja,na anapokuwa na tabia ya kujifananisha tu na watu wengine kwakuwa anahisi anauwezo kama wao na kufanana nao hilo ni jambo jingine kabisa,na hilo linamuweka moja kwa moja ktk kundi la watu wenye matatizo fulani ya kiakili. kama ndivyo kwa kumsaidia mapema tu kabla hali haijawa tete namshauri akaonane na daktari wa magonjwa ya akili asijifanye kubisha sana. kama daktari asipopata hitilafu nitafute nikupe zawadi!!!

    ReplyDelete
  20. mtunza kumbukumbu mimi nimekukubali. hii mutu nataka pelekea dokta yeye. akili mukichwa iko pungua. au iko nataka maombi ya kakobe. kichaa inakusaanza mukichwa yake.(porojo hivi)

    unajua mtunza kumbukumbu umenisaidia kitu. nimepekua kule koote na kusoma comments zoote kwenye post zote mbili. jambo moja nililogundua kuna mtu alimpa kichwa huyu jamaaa kwa kumfananisha na obama kwenye post ya october 11 2007.

    pili nimegundua huyu Haji anahitaji maombezi ili awe yeye. ana mapepo ya kujifananisha na watu wenye mafanikio. ni mapepo tu. nadhani akichukua kioo anakaa nacho masaa matatu. badala ya kujifananisha na obama kwenye ubongo anajifananisha na obama kwenye ngozi na sura huku akisahau sura yake is closer to chakubanga both genetically and historically than it is to obama.

    ReplyDelete
  21. Ili muhakikishe dogo anapenda MISIFA tafadhali someni post yake hii kwenye blogu yake. link hi hii hapa

    http://obamamtoto.blogspot.com/2009/09/madokta-wengine-bwana_08.html

    ReplyDelete
  22. Mtunza kumbukumbu kula 10.Uko makini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...