mbunifu wa mitindo anayekuja juu kwa kasi Kemi (kati) akiwa na wasanii carol (shoto) na enika kwenye shoo yake wikiendi hii iliyofanyika malaika club jijini dar na kufana sana
mmoja wa mamodo akiwa katika mtindo wa khanga wa Kemi
modo ndani ya kitenge
carol na enika wakiwakilisha
wadau kibao walihudhuria shoo ya kemi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...