















Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Great moment for Youssouor Nd'our, he is such a great musician. Music is great weapon in bringing peace and harmony in our world, but only if its taken seriously with serious artist like Youssour Nd'our. Music bring together enemies and get moment to shake hands, and forgets their differences. Bush can shake hand with Osama. Its time now for our brothers and sisters who call themselves musician to think global, get inspired by Youssour success and his vision for his country and Africa.
ReplyDeleteYOU KNOW THE MEANING OF BIRD'S EYE VIEW????? OR YOU JUST WANNA SEEN AS IF YOU KNOW. NI KWAMBE MAONO YA NDEGE NI PICHA ILYOPIGWA TO KA JUU NA KUANGALIA CHINI MSEMO HUO UMEKUJA KWA KUMUONA NDEGE AKIWA JUU ANATAZAMA CHINI, SASA HIYO PICHA YAKO SI BIRD'S EYE VIEW HUJAPIGA UKIWA ANGANI/JUU UKIANGALIA CHINI, TAFADHALI USIPOTOSHE WATU.
ReplyDeletemichuzi waahabarishe waungwana kua
ReplyDeleteMo Ibrahim is the richest man from Africa continent , ni mzaliwa wa Sudan lakini kwa sasa anaishi UK,
Kila mwaka hutoa zawadi ya US$1 M kwa kiongozi bora wa Africa,
this mo ibrahim ange vizuri zaidi kama angesaidia maskini kuliko mafisadi
ReplyDeletehivi huyo bodigadi kuaribu shughuli ya watu na migwanda yake ndo nini kwani angepiga suti then awe benet na mkuu isingewezekana?? labda sielewi lakini haina mvuto dizain kuogopesha watu
ReplyDeleteKila mtu ni tajiri kwa namna moja au nyingine. Utajiri sio lazima uwe wa pesa tuu, hata hekima, busara, utu,upendo na amani ni utajiri mkubwa ajabu. Mo Ibrahim pesa ni zako na familia yako. Nikisifia utajiri wako nafaidi nini? Sisi wabongo tutumie akili zenu kuzalisha chakula cha kutosha na kuuza nje. Sijapenda sana kumwona rais wangu anashiriki kwenye ka-shughuli kama haka ka Mo Ibrahim. sio saizi yake kabisa. Next time watu wa protocol angalieni hili pliiiz. Vipi Nyerere ingeweza kuwa anga hizo kama angekuwa bado hai??
ReplyDeleteNAKUBALIANA NA ANON Sun Nov 15, 05:49:00 PM, HIYO SLIDE YA TISA SI BIRD'S EYE VIEW BALI NI ONE POINT PERSPECTIVE VIEW KWA SABABU KUNA VARNISHING POINT MOJA. BIRD'S EYE VIEW ISHAELEZEWA NA MDAU HAPO JUU, NA KWA JINA JINGINE INAITWA AERIAL VIEW
ReplyDeleteMdau Chiggs, deslam
Watu kama akina MO tunawahitaji sana AFrica sio kwa ajili ya pesa zao lakini amechukua hatua kukuza Demkrasia na utawala bora. Unajua mwaka huu hawajampa mtu hiyo award kutokana na kuwa mwaka jana hakukuwa na rais wa Africa aliyemaliza muda wake wa utumishi na ameonyesha kufanya vizuri. Naisifu hii kamati ya MO kwani wanaonekana wapo makini kuzingatia vigezo vyao, Mkapa hawezi kuqualify, wala Obasanjo unaona jinsi wanavyoangalia kwa makini?
ReplyDeletewe unaelalamika ati hujapenda raisi kuwapo hiyo sehemu hata na yeye ni binadamu kwani kosa liko wapi hapo mwache ajiachie maisha mafupi kama nyerere asingeweza kwenda hapo yeye kaenda vidole vilingani
ReplyDeleteOk, Mo kaenda kucheza uwanja usio na refa wala sheria. Huyu jamaa simzimii hata kidogo. Aliyoyafanya TTCL na hao wajumbe wake wa Bodi Ya Wakurugenzi kina Salim Ahmed Salim, Joseph Warioba, Pius Msekwa, Omar Issa na wengineo hastahili hata kidogo kutoa tuzo yoyote inayohusu maadili au uadilifu.
ReplyDeleteNCHI YETU INGEJARIBU KUBADILISHA MFUMO WA ULINZI WA RAIS KWANI NI KUJIAIBISHA
ReplyDeleteKWA SASA INGEFAA MLINZI WA RAIS AVAE VAZI LA KAWAIDA AU SUTI NA AWE NA REDIO KWENYE MASKIO KAMA INAVYOTUMIKA KOTE DUNIANI
HAYO MAMBO YA KUVAA MAGWANDA YAMEPITWA NA WAKATI TENA YANAHARIBU SHUGHULI ZA KIHESHIMA
SEHEMU KAMA HIYO WENGI WALIOFIKA HAPO NI WAKUU LAKINI UTAKUTA KUNA MTU AMEVAA MAGWANDA KUMLINDA RAIS
SASA KWANZA KWA UPANDE WANGU NIJUAVYO MIMI MLINZI WA RAIS ANATAKIWA AVAE SUTI AKAE KAMA KAWAIDA ILI ASIJULIKANE SANA YUPI ANAEMLINDA
SASA KWA HUKO KWETU MLINZI WA RAIS KAVAA MAGWANDA NA SAA ZOTE KAKAMAA NYUMA YA RAIS
HEBU WADAU ANGALIENI HIZO PICHA UTAMUONA JAMAA NA MAGWANDA YAKE UTASEMA WAPO KAMBI ZA JESHI
WATANZANIA TUNAJICHELEWESHA WENYEWE KWENYE MIFUMO MIPYA YA MAENDELEO ALAFU TUNALALAMIKA OOOH BADO TUPO NYUMA SANA VITU KAMA HIVYO INAFAA KUFANYA MABADILIKO HARAKA
Kwa mtazamo wangu suala hilo la mlinzi kuvaa magwanda linafanywa zaidi ili kutoa picha kwamba Jeshi la Tanzania linamuunga mkono Raisi (ukizingatia mapinduzi ambayo yanatokea mpaka leo Africa, nadhani hiyo wanaona ni muhimu). Ni kweli hamna nchi nyingine ninayojua wanafanya hivyo, lakini viongozi wetu wanafikiria hatua 3 mbele zaidi yetu, muwaogope!
ReplyDelete