Mke wa Hayati Baba wa Taifa , Mama Maria Nyerere ( kulia) akipokea cheti maalumu cha kutambua mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyarere tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ( SUA) toka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Teknolijia , Dk Frolence Turuka .
Mke wa Hayati Baba wa Taifa , Mama Maria Nyerere ( kulia) akionyesha juu tuzo ya nishani ya fedha iliyotolewa na SUA kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyarere katika kutabua mchango wake muhimu tangu kuanzishwa kwa kwa Chuo Kikuu hicho kwenye maadhimisho ya miaka 25, mbali na Mwalimu wahadhiri na watumishi wengine 21 walitunukuwa (kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Teknolijia , Dk Frolence Turuka
Mke wa Hayati Baba wa Taifa , Mama Maria Nyerere ( wapili kulia) akitoa hotuba fupi mbele ya wahadhiri, wanafunzi na wageni wengine ( hawapo pichani) baada ya kutunukiwa tuzo ya nishani ya fedha kwa ajili ya Baba wa Taifa katika kutambua mchango wakuanzishwa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ( SUA) wakati wa maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa mbali na Mwalimu wengine 21 walitunukuwa
Mke wa Hayati Baba wa Taifa , Mama Maria Nyerere ( wapili kulia) akitabasamu baada ya kuelezwa jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano , Sayansi na Teknolijia , Dk Frolence Turuka ( kushoto) mara baada ya kutolewa tuzo ya nishani ya fedha na SUA kwa Baba wa Taifa katika kutambua mchango wake muhimu tangu kuanzishwa kwa kwa Chuo Kikuu hicho wakati wa maadhimisho ya miaka 25, mbali na Mwalimu wahadhiri na watumishi wengine 21 walitunukuwa. Picha na Mdau John Nditi.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...