MAHAFALI YA 13 YA CHUO KIKUU CHA TUMAINI KAMPASI YA ARUSHA,JAJI MKUU AWAPA SOMO WAHITIMU!
WADAU WA TUMAINI WALIOTUNUKIWA NONDO ZAO

MH.JAJI MKUU WA TANZANIA .AUGUSTNE RAMADHANI AKITOA HOTUBA KWA WAHITIMU wa chuo kikuu cha Tumaini katika shahada za SAYANSI YA JAMII,SHERIA NA THEOLOGIA katika mahafali hiyo iliyofanyika leo tarehe 21.11.2009 mheshimiwa jaji mkuu wa Tanzania amewaasa wahitimu kwenda kufanyia kazi yale waliyo fundishwa.
amewambia kuwa " WANAOTAFUTA HAKI NI WENGI ILA WATENDA HAKI NI WACHACHE "--
BAADHI YA WADAU WA TUMAINI WALIOTUNUKIWA NONDO ZAO



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka "Mithupu", huyo Mhitimu wa Chuo wa pili kutoka kushoto mwenye Shavu lenye shimo, anaisumbua sana roho yangu.

    Hata hivyo nampongeza kwa kile alichokipata, na nampongeza mkaka aliye na bahati ya kuwa na kimwana kama huyo.

    Sisi wengine tulie tu. Ngoja nikavute shuka langu nilale.

    This Is Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  2. Karibuni kwenye changamoto za kijamiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...