Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad akimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Amani Abeid Karume kwa kutunukiwa nondozzz ya heshima ya Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki Memorial University viwanja vya Karimjee jijini Dar. Maalim Seif na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba walikuwepo kushuhudia tukio hilo ikiwa nji mwendelezo wa kuendeleza muafaka uliofikiwa karibuni huko visiwani ambapo sasa CUF wanamtambua rasmi Mh. Karume kuwa Rais wa ZanzibarHabari kamili


Hivi Dr Kairuki alishafariki kumbe. That's new... Nilikua sifahamu jamani
ReplyDeleteMshanifahamu sasa??? wakimbizi wa CUF ughaibuni mpo?? Watu ndio wamepatana. Safi sana.
ReplyDeleteWafuasi halisi wa Nyerere ni Hamad na Karume katika top brass ya uongozi wa nchi hii kwa sasa. Wengine wote wababaishaji tuu. Wasomi hebu jaribuni kutoa dira ya nchi kutoka kwenye mfano huu mahiri ya wazanzibari hawa?
ReplyDeletePhD ya kuiba kura hiyo.
ReplyDeletemdau wa 06.24,acha choyo,ukimbizi ughaibuni ulikwisha zamani na watu wana vitabu vyekundu kazi kwako wewe unae endelea kuchagua mafisadi huku haupo na kule haupo,CCM Chukua Chapo Maapema,ishi kivyako na wacha watu waishi kivyao,pole sana roho mbaya haijengi,
ReplyDelete