BONGODJS PROUDLY
PRESENTS TANZANIA
PRE-INDEPENDENCE CELEBRATION
ON SAT 5TH DECEMBER 2009
@PRESTIGEOUS LA ROYALE BANQUENTING SUITES
819-821 HIGH ROAD
TOTTENHAM
LONDON N17 8ER
FRM7PM-3AM
FOR ONLY£15
COME AND ENJOY
LIVE BAND BONGODJS ON THE MIX,P
S PASS THE MESSAGE AROUND!
SPECIAL NITE NOT TO BE MISSED!!!
SPONSORED BY SWIFT FREIGHTS UK,TZUK.
BONGOTIMES

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. ziwa viktoria na ziwa tanganyika yako wapi kwenye hiyo ramani?

    ReplyDelete
  2. Hili suala la sherehe za uhuru liwe linawekwa wazi
    kuepusha kuchanganya mambo na hata kuwababaisha wengine..Ni Independence day ya TANGANYIKA...

    ReplyDelete
  3. Hivi kwani Tanzania ilipewa uhuru au ni TANGANYIKA ndio ilipewa UHURU haifai kusema uongo watu wazima watoto wetu wakitusia na wao watakuwa na tabia kama hiyo.

    ReplyDelete
  4. Enzi za mwalimu huyu aliyechora hiyo ramani angekwenda jela na viboko juu,mwalimu alikua hataki mchezo.

    ReplyDelete
  5. Mbona wabongo kila kukicha tunawaza masherehe tu hivi tutaendelea kweli? mbona wazungu hawana mpango na mambo ya masherehe? is just wasting of time and money. watanzania wapo tayari kuchangia mapesa mengi kwenye sherehe zisizokuwa na mpango na tena inachukua masaa kadhaa tu. tubadilike tujaribu kufikiria maendeleo zaidi kuliko Masherehe tu kila kukicha na mapombe. ndio mana hatuendelei yani 2 steps forward 3 steps backward, then tunasema tunaendelea. hata mtu akichukia atakuwa na upeo mdogo wa kufikiria. huu ni ukweli mtupu.

    ReplyDelete
  6. bado ya kuwa na celebration tu..watanzania na wasomi wa kada mbalimbali tunatakiwa katika kipindi hiki cha kutimiza miaka 48 ya uhuru kujadili ni wapi tanzania ilipo na inaelekea wapi na si kuwa na celebration wakati kuna watanzania wengi hawajui hata hayo matunda ya uhuru...huu ni wakati wa kuanzia mijadala mbambali juu ya muelekeo wa Tanzani

    ReplyDelete
  7. Mbona mnatuchanganya waliotowa uhuru wanasema hivi ifuatavyo viongozi.
    Tanganyika Independence Act 1961




    Tanganyika Independence Act 1961
    1961 CHAPTER 1 10_and_11_Eliz_2

    An Act to make provision for, and in connection with, the attainment by Tanganyika of fully responsible status within the Commonwealth.

    [22nd November 1961]
    Annotations:
    Modifications etc. (not altering text)

    C1Power to repeal Act (except s. 1) given by Tanzania Act 1969 (c. 29), s. 5
    1 Fully responsible status of Tanganyika

    (1)On the ninth day of December, nineteen hundred and sixty-one (in this Act referred to as the appointed day) Tanganyika (the limits of which are defined in Article 1 of the Tanganyika Order in[S.R. & O. 1920 No. 1583.] Council, 1920) shall become part of Her Majesty’s dominions under the name of Tanganyika and as from that day Her Majesty’s Government in the United Kingdom shall have no responsibility for the government of Tanganyika.

    (2)No Act of the Parliament of the United Kingdom passed on or after the appointed day shall extend, or be deemed to extend, to Tanganyika as part of the law thereof, and the provisions of the First Schedule to this Act shall have effect as from that day with respect to the legislative powers of Tanganyika.

    (3)Subsection (1) of this section shall not affect the operation in Tanganyika of any enactment, or any other instrument having the effect of law, passed or made before the appointed day, or be taken to extend any such enactment or instrument to Tanganyika as part of the law thereof.

    ReplyDelete
  8. YATAWASHINDA KHA!KUTWA KUKAAA NA
    VIROO VYA KWANINI!!WATANZANIA HATUPENDANI HATUWEZI ENDELEA KAMA
    SISI WENYEWE HATUPENDANI,,,UNLIKE
    OTHER PEOPLE TAKE A GOOD LOOK
    AT OTHER CULTURES YOU WILL SEE A
    BIG DIFFERENCE BUT TANZANIAS???
    HYPOCRISM AND HATRED SHOULD STOP
    AMONGST OURSELVES!THERE IS A GOOD
    OLD SAY CHARITY STARTS AT HOME
    IF U DONT LIKE YA PEOPLE HOW CAN U
    PRETEND TO LIKE STRANGERS!!SHAME ON U HATERS!!!MOST OF THESE COMMENTS R BASED ON HATRED AND ITS CLEARLY 2 SEE THEY R FROM ONE PERSON!!!

    ReplyDelete
  9. Tanzania iliundwa rasmi 26/04/1964 baada ya mataifa huru mawili ya Tanganyika na Zanzibar kuungana na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Jina Tanzania ni vifupi vya TAN kwa Tanganyika na ZAN kwa Zanzibar. Hivyo Tan+Zan ikawa Tanzan iliyonyumbuliwa kwa IA = TAN+ZAN+IA

    Watu wengi walikaribishwa kati shindano maalum la kubuni jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo kuna mtu aliruka na zawadi nono baada ya jopo la wazee kukubali jina TANZANIA kutoka kwa mapendekezo lukuki ya majina yaliyofikiriwa yanafaa.

    Hivyo Tanzania ilizaliwa rasmi 26/04/1964, hivyo kabla ya tarehe 26/04/1964 Tanzania haikuwepo.

    Mdau
    Mdadisi

    ReplyDelete
  10. yote hiyo ni kuogopa kuwahudhi wazanzibar. mbona wao wanasherehekea mapinduzi? kwani mkisema uhuru wa tanganyika ni tusi? mimi ni mtanganyika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...