Haihitaji elimu kubwa ya Uchumi kuelewa kuwa, hakuna taifa linaloweza kuendelea kiuchumi bila ya kuwa na uhakika wa umeme au nishati, hususan katika karne hii. Zaidi ya asilimia tisini ya watanzania hawana huduma ya umeme na hakuna juhudi madhubuti zinazochukuliwa kumaliza tatizo hili sugu la mgao wa umeme, zaidi ya baadhi ya viongozi wetu kuzidi kijinufaisha na kujineemesha kupitia matatizo na jasho ya walipa kodi ambayo kwa lugha nyingine tunaweza kulitamka kwamba, Tatizo la mtanzania, neema kwa mafisadi
Viongozi wetu wanakazania kuwa uchumi wetu unakua kwa kiasi kikubwa ilhali hatuna cha kuonyeshea maendeleo yet zaidi ya kuendelea kuishi gizani! Hawa viongozi, wanaendelea kuzijaribu subira na uvumilivu wa wananchi ukizingatia ukweli kwamba, waliohusika na kashfa za Dowans na Richmond wapo huru uraiani na huku kukiwa hakuna dalili zozote za kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria, na wabunge wetu wanaliona na kuliogopa suala hili kama ugonjwa wa ukoma
Mwananchi wa kawaida, masikini asiye na sauti wala uwezo wa kununua jenereta, na asiye ishi maeneo ya wakubwa na wateule ambako umeme haukatiki, amebakia kucheza muziki wa mgao wa umeme miaka nenda miaka rudi. Ni fedheha kwa taifa lililojaliwa kuwa na mito mingi mikubwa, vyanzo vya kuzalisha nishati vya kulitosha taifa kwa miaka mingi inayokuja, lakini watu wake wamepoteza matumaini ya kuwa na umeme matokeo yake wamebakia kuishi gizani. Kama kisiwa kidogo cha Ushelisheli au nchi ndogo kama Lebanon zinaweza kujitosheleza ki nishati, kwanini sisi tushindwe?
Viongozi wa Tanzania mara nyingi wanatoa takwimu mabalimbali kuonyesha tulivyopiga hatua katika maendeleo, huwa naduwaa ni maendeleo gani hasa wanayoyazungumzia. Nashindwa kukielewa wanachokizungumzia, Je wanazungumzia kusonga mbele au kurudii nyuma kwenye zama za kale za mawe? Zaidi ya asilimia tisini ya watanzania hawana huduma ya umeme huku viongozi wetu wanakazania tusadiki kuwa mahitaji yetu ya umeme ni kama megawati 800. Ni kweli wanazungumzia IPTL ambayo ni suluhisho la muda tu! Itakuwaje baada ya miaka hamsini toka sasa? Tuna mipango gani endelevu ya kuwa na vyanzo vya uhakika vya nishati baada ya hivi vya sasa kuisha?
Itakuwa hatari na aghali kupindukia kuweka bomba la kusafirisha gesi kutoka Kilwa - Songo-Songo- mpaka Dar-es-salaam kwenye kituo cha umeme cha Ubungo, sehemu ndogo iliyozungukwa na wakazi wengi mabao maisha yao yatakua hatarini kutokana na athari za kuweza kuwepo mlipuko wa aina yoyote. Mradi kama huo ungeweza kufanywa Kilwa ( kwenye chanzo cha nishati ambako kuna nafasi kubwa hasa ya ardhi) na kusafirisha umeme sehemu unakohitajika nchini, badala ya kuhatarisha maisha ya wananchi na kuliingiza taifa katika gharama kubwa ili tu kuwanufaisha wachache wajanja walioshinda zabuni ya kutandaza mabomba ya kusafirisha gesi mapema kabla mradi haujagunduliwa
Vituo vyetu vya utafiti, vya mawasiliano, viwanda na biashara nyingine, vyote vinahitaji umeme wa uhakika kwa ajili ya kufikia malengo yao ya kiuzalishaji na mahitaji yao muhimu kujiendesha kibisahara, kuweza kuwa na rasilimali watu, kuwalipa wafanyakazi, na kikubwa zaidi, kuweza kushindana katika soko la ndani na la kimataifa. Kwa mwendo huu wa kuwa na umeme kwa masaa mawili mpaka manne kwa siku, uchumi wetu hauwezi kukua, na juhudi za makusudi kutatua tatizo hili sugu zilitakiwa zifanyike miongo iliyopita na si leo au kesho!.Nchi inahitaji kuwa na umeme wa uhakika na si vinginevyo.
Siyo kwamba Tanzania ina ukosefu wa rasilimali au fedha za kushindwa kujitosheleza kinishati,la hasha. Mabilioni ya pesa yaliyotumika katika kununua magari ya kifahari kama Land-cruisers, manunuzi ya rada mtumba ambalo pengine lisingetumika, hela zilizochotwa na wana EPA, Richmond na matapeli ya Dowans yangetosha kabisa kuleta suluhisho la kudumu la tatizo hili sugu la umeme. Tatizo letu kubwa watanzania, ni uongozi. Tumebarikiwa na viongozi wasiojali wananchi wao, wenye upeo hafifu, viongozi waliofilisika kifikra , wanaoshindwa kuangalia kizazi kijacho na kubaki kushughulika na mambo ya leo ya kujinufaisha. Hiki ndiyo kiini cha matatizo yetu ya sasa. Ni viongozi waliolewa madaraka wanaojiona kama wao ni mabwana na watumikiwa na siyo watumishi!
Bado sijaweza kuelewa shuguli kubwa anayoifanya waziri wa nishati wakati taifa lipo gizani, na pia ninashindwa kutafakari sababu kubwa ya kuibeba TANESCO, kwa sababu uongozi wake ni ule ule wa miaka nenda rudi inayoambatana na ubadhirifu na ufujaji wa mali ya umma, unaolitia taifa aibu. Mabilioni ya walipa kodi yametumika katika kuunda tume ambazo mapendekezo yake hayajafanyiwa kazi, hasa ukizingatia kwamba, matapeli makubwa yaliyoiletea taifa hasara bado yako huru, wakati wafanya biashara ndogo ndogo wamekuwa wakinyanyaswa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kila kukicha. haya ni matusi makubwa kwa walipa kodi, kwani ingekuwa nchi nyingine, TANESCO ingevunjwa zamani sana, na viongozi wake mafisadi kukabiliana na haki
Hakuna haja ya kuunda tume au kikosi kazi, tume nyingi zimekwisha undwa na ripoti zake hazijafanyiwa kazi. TANESCO inahitaji kuvunjwa, maofisa wa wizara ya nishati waliohusika na kulihujumu na kuifikisha Taifa katika hatua hii wanapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Vile vile, mapendekezo ya ripoti zote zinazohusika na kutafuta suluhisho la matatizo ya umeme yatekelezwe na wahusika wachukuliwe hatua maana ni tishio kwa usalama wa Taifa na kuduwazwa kwa ukuaji wa uchumi na maendeleo ya taifa..
Tuachane na posho kubwa za mikutano (vikao), na mafunzo ikiwa tunahitaji nchi yetu iendelee na kutoka katika giza iliyomo sasa hivi, kwani hizi ni gharama ambazo yeyote mwenye akili timamu atashangaa kuvisikia. Katika nchi za Magharibi ambazo tunazitegemea kutupa misaada, makampuni na hata idara za serikali zinalipa ili waweze kuhudhuria mafunzo na hata vikao na hata mikutano. Kwa viongozi wetu bila kulipwa hakuna kuhudhuria vikao na mafunzo!
kazi zetu zinatuwezesha kuwatembelea wateja wetu Karibu dunia nzima, lakini hatujawahi kulipwa hata dola moja zaidi ya gharama za chakula na malazi kwasababu ni sehemu ya majukumu ya kazi.Nchini kwetu viongozi wanalipwa zaidi ya milioni arobaini kuhudhuria mikutano nje ya nchi. Ikiwa kampuni yenye thamani ya dola trilioni, haiwezi kuwalipa wafanyakazi wake kuhudhuria mafunzo, Ikiwa nchi tajiri kuliko zote duniani haiwezi kuwalipa wafanyakazi wake kuhudhuria vikao ndani na nje ya nchi, kwanini nchi yenye uchumi mdogo kama Tanzania iwalipe wafanyakazi wake kuhudhuria mikutano na mafunzo huku tunarudi kuomba misaada? Hii ni sawa kumlipa mwanfunzi ili aingie darasani. Hapa akili iko wapi? Hapana shaka ndiyo maana bado tunaishi gizani
Uchumi na usalama wa nchi unategemea ni jinsi gani linaweza kujitosheleza na kuwa huru kinishati. Na Huu ndio wakati muafaka kulitambua hilo, na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wale wote wanaochezea usalama wa Taifa letu; hususan wahusika wa Dowans na Richmond. Bunge letu lililopewa madaraka ya kulinda katiba, huu ni wakati wa kuonyesha uzalendo wenu, maana Taifa haliwezi kuwa mateka wa watu wachache wanaoleta mateso kwa raia walio wengi. Lazima mpitishe bila kusita, miswada yote ya kuwafikisha mafisadi waliolifikisha Taifa katika matatizo haya ya ukosefu wa umeme katika vyombo vya sheria
Mheshimiwa Sitta na wabunge wote, nafasi mlizo nazo ni ridhaa na dhamana kubwa mliyopewa na wananchi katika kuwaletea maendeleo, na si kwa manufaa yenu binafsi. Dhamana hiyo ni pamoja na kuleta usawa katika uchumi, siasa na jamii. Tusiwe Taifa la kuwakumbatia wahalifu na mafisadi wakati tunawahukumu kifo vibaka na kuwanyanyasa vijana wanaojitafutia ajira kwa kuuza maji Kariakoo ili wapate kutunza familia zao. Mkumbuke kuwa mlikula kiapo cha kuwatumikia wananchi wote wa Tanzania kwa haki na usawa.
Msiweke rehani utu na utashi wenu kwa upepo wa msimu wa kisiasa, uadilifu uwe kipaumbele kwenu. Bunge linapaswa kuwa sehemu takatifu yenye kutoa maamuzi sahihi na kuleta nuru kwa watanzania, vinginevyo tunahuzunika kusema kuwa Taifa litaendelea kugubikwa na mgao wa umeme na kuzidi kuleta utata kwenye ukuaji wa uchumi wake.
Ikiwa ufisadi utazidi kushamiri na wananchi kuendelea kuishi gizani, basi bila shaka, uvumilivu, subira na hasira za wananchi zitaipeleka taifa pabaya, hasa wananchi watakapolazimika kujichukulia sheria mikononi mwao na pia kujichukulia maamuzi ya kujiwashia umeme. Na juhudi zozote za kurekebisha mtafaruku huu hazitakuwa na mafanikio yeyote.
Aghalabu, upepo wa kisiasa hauna ukweli na unapotosha. Wanasiasa wetu wenye masikio na macho wanapaswa kusoma na kuzitazama alama za nyakati ambazo zinaashiria waziwazi kuwa Taifa linarudi nyuma kwa mwendo wa kasi kuelekea zama za mawe/giza, huku sauti za walipa kodi zinazoowaneemesha viongozi wetu katika nafasi zao zikipiga kelele kuwa

TUNATAKA MWANGA/MABADILIKO
Mungu Ibariki Tanzania
John Mashaka
Mashaka.john@yahoo.com
NB: Kwa heshima na taadhima, natoa shukrani kwa wote waliojitolea kutafsiri hii makala, kadhalika shukrani zangu za dhati kwa wadau wote ambao tumeshirikiana siku za nyuma. Nimejifunza mengi kutoka kwenu, na panapo majaliwa, tutashirkiana tena hapo baadae, lakini kwa sasa nasitisha kuandika kwa muda kutokana na majukumu mengine ambayo yapo nje ya uwezo wangu.

US-Blogger)
ReplyDeleteNabii hajui kiswahili ona alivyojikanganya hapa, hana lolote. Mnishukuru nimemfukuza baada ya kugundua anadanganya umma wa kitanzania
Anajiona ni mtu mwenye akili sana ndo maana kaamua kung'atuka. Ila ameniachia uwanja ili niwafundishe watanzania mambo ya kweli toka OXFORD.
US-Blogger
bwana mashaka, tunataka wakupe uwaziri kabla ya 2015. ila ifikapo 2015 upewe nchi, tena tunakupeleka ikulu mabegani mwetu,
ReplyDelete,na wenzio january na shayo. kidumu chama cha mashaka kidugu,, mheshimiwa usitukimbie,,,tutabaki bila mwalimu,,endelea kutufundisha
Unajua waafrika bwana? Huyu Mashaka anajiitaga
ReplyDeleteJon Mwafrika Mweusi , kwenye facebook?
Je kwa nini asitumie majina yake kamili
Mheshimiwa unachosema ni sawa kabisa. Sasa kama sisi watu wa kawaida tunakiona je wenye kazi zao hawalioni hili--usalama wa taifa hawalioni hili, jeshi na watu wao wausalama hawalioni hili, economic advisors hawalioni hili? aaaaaaaaaaaaa lakini hawa si ndio wale wanaopanga foleni kwenda kumuaga mheshimiwa mtukufu raisi akiwa anaondoka na kumpokea akiwa anarudi---ndio mzee. Kwahiyo sio rahisi kumueleza mheshiwa na mtuku raisi wetu ukweli--inasikitisha kuwa sasa hadi jeshi(tegemeo la mwisho la wananchi linaingia kwenye siasa)halioni au linanyamazia hili. Hebu tuangalie kidogo, yule kijana anaeshi kwa kufanya kazi ya ukinyozi anaishi vipi kama hakuna umeme yule dada anaishi kwa kutengeneza na kuuza aisikilimu je?a(Da Maria Komakoma upo?)na wale wanaouza samaki wa kutoka mwanza je. Kwa kutaja hiyo mifano michache naomba tuelewe kuwa biashara ndondogo ndio walio wengi kuliko wale walioajiliwa na makampuni makubwa hii ni ukweli duniani kote. Wale mlio marekani nadhani mtakubaliana na mimi kuwa, "mom and pops' imeajili watu wengi kuliko wakina wal-mart, York,na other corporate companies.
ReplyDeleteViongozi wetu hawawezi kuliona hili kwa sababu wao hawana shida hizi. Kwao umeme hauzimi kwani either hauzimi au awana ma-geneleta ambayo yamenunuliwa na yanakuwa maintained na pesa ya mlipa kodi. Watoto wao wanasoma nnje, na sikuhizi naona imeanza trend ya watoto wa wakubwa wengi kutafuta makaratasi ya nchi za nnje---naona wazazi wao wanawaeleza kuwa kuna moto unakuja.
Sasa hivi tanzania tunaibiwa mchana. Kuna watu wanakusanya pesa mtaani ati za stika za fire. Wengine stika za nenda kwa usalama. Chinga kila leo hawalali kwani mara mgambo wamewanyang'anya kila kitu. Haya cheka na hii---wale walioambiwa kuwa kazi yao ya kukusanya kodi pale ubungo bus stand sasa wamepata tenda ya kukusanya kodi pale machinga comlex. Na hawa sio wengine bali familia ya kingunge---mzee pinda vipi kulikoni hapa?
Viongozi wakuu wanakemea mambo ambayo wao wenyewe wanayafanya. Tuangalie mfano wa magari ya kifahari. Siku ukipata bahati, angalia msafara wa mheshimiwa mtukufu waziri mkuu, hesabu na andika aina ya magari yalio kwenye msafara huo. Ukisha maliza hapo, cheki msafara wa mheshiwa mtukufu raisi. Lakini hawa wako mbele kukemea manunuzi ya hayo magari--ni sawa na baba anaekemea mtoto wake asiwe muizi, lakini akiiba akaleta ndani mzee unakula.
Mheshimiwa mtukufu raisi, tunasikia unakemea wanaviji kuuza mashamba yao kwa watu wanaokuja kutoka nnje, Naoma niulize, mbona kigamboni nasikia yote au sehemu kubwa yake imeuzwa, je nani kauza?
Na Je wale vijana wa mahenge nani kawauwa au walijipiga risasi wenyewe na wale waarusha je?
Wabunge wote, tumewatuma muweze kutuwakilisha kwani tukisimama watanzania wote kuiuliza swali serikali, itakuwa ni funjo. Wakati wa mwalimu tulikuwa masikini lakini tulikuwa matajiri, eh mwalimu, ammka uchungulie hata kidogo tu vijana wako wanachofanya hivi sasa.
Out of materials to copy and paste from huhh? I knew it...finito amigo,despedida y adiós.
ReplyDeleteJohn, it's my first time to comment after I have been heartly touched by your sinsible topic on power rationing. Congrats bro for that.
ReplyDeleteJust a piece of advice, don't be discouraged by the people like US blogger as all if not most of Tanzanias, we are benefiting from from your distant lectures.
However, if you don't mind tell us when will you come back so as we can exactly measure the extent we gonna miss your educative distant lectures.
It's me
K'dume.
Hii mada niliisoma ilipotoka kwa Kiingereza sikuona point, lakini hapa kwa Kiswahili hii mada imeshiba hekima na busara na maono mazuri...Thanks John
ReplyDeleteMashaka leo ndio umegundua kama nchi uchumi haukuwi naona unajichanganya mwenyewe si ulisema Ujamaa mbaya sasa unatwambia ubepari pia haufai.Kwenye ujamaa wa Nyerere tulikuwa hatuna tatizo la umeme.Karibu Ubepari na ukatwaji wa umeme........Kwakwakwakwa
ReplyDeleteKenge
a hungry man is an angry man....tusubiri moto tu bado makaa hayaja waka tunapulizia..
ReplyDeleteMheshimiwa Issa Michzui, tafadhali mwombe mashaka asitukimbie. akiondoka, nani atatuandikia busara kama zake?
ReplyDeletenaomba tu kukutana na mashaka mara moja nimbusu mwaaaaaaaaaa
ReplyDeletenanukuuu hotuba ya rais mkapa zile za mwisho wa mwezi siku moja aulisikia Da-es-salaam watu wanaiita BONGO akasema dah sasa nchi hii watu sasa wanatumia akili baaadae mjanja mmoja akamwambia mhe,rais ukisikia bongo ni kwamba watz wanaishi wa ujanja ujanja tu yaani hata huo muhuri wako hapo ikulu watu wakitaka kwenye shughuli zao wanapata akasema duh hii ndio tanzania ya sasa au lah!
ReplyDeletemashaka nchi zote kwa mujibu zilizoendelea kwa sasa zilifanya MAPINDUZI ndio zikaendelea sasa hayo mapinduzi inategemea ni ya kilimo,kiungozi,kiuchumi au lah maana yakishatokea hayo mara nyingi kuna na mabadiliko kila sekta kwavile watu wanaheshimiana kuna kuwa akuna ujanja na watu wanafuta haki kwavile ukipata cheo serikalini kila mtu anakuangalia wewe tu ukifanya ufisadi adhabu wanapewa mpaka familia yako, km kufungwa au kuuwawa mbele ya jamii
so sisi kila kitu ni haki hasa kwa wakubwa acha umeme na mengine yatakuja
Mh. John Mashaka,kwa heshima kubali nikuite Rais Matarajiwa 2015. hii ni heshima ubwa kutoka kwa wenzio (wanamitandao) wanaokukubali kwa kiasi kikubwa sana. Mimi pia kama mwakilishi wa wananchi katika bunge letu tukufu, lazima nikiri kwamba wabunge wengi sana wanakukubali na kkuheshimu sana. Pengine hilo haulijui, lakini wengi wanajadili sana hoja zako, na hata makala zako wengine uchapisha kujisomea. Kwa maana hiyo unakubalika na kuitwa Rais siyo kwamba ni kejeli, bali ni heshima jamii yako inayokutunuku. Usikate tamaa na wala usiwakimbie washabiki wako, ambao wamekuwa wengi mno. Busara na hemika zako ni hadimu sana, kwa hiyo pengo utakalolihacha ni kubwa sana. Usifanye hivyo, endelea kuandika, kwani wananchi wanakukubali na kukupenda mno.naungana na wadau wengi kukusihi kuendelea kuhamasisha taifa. vijana wa aina yako ni wachache kwa hiyo usikate tamaa, taifa linakuhitaji na tutafurahi sana iwapo utajumuhika nasi bungeni 2010.
ReplyDeleteHon: Member of Parliament
Bunge La Jamhuri ya Muungano
La Tanzania
mashaka mie nipo tayari kukulipa kiasi chochote cha fedha ilimradi nisikose kusoma makala yako yenye busara. Usiondoke ulingoni
ReplyDeleteMASHAKA ANANG'ATUKA KWENDA KUANZA KAMPENI YAKE, MAKONGORO MAHANGA, NA SARUNGI UJUMBE NDO HUO. MESEGI DELIVAD
ReplyDeleteMashaka US blogger ni Jini wala usimjali Hana jipya zaidi ya majigambo yake. Wee ndiye kipenzi chetu na tunakuombea kola la kheri kwenye shuguli zako Ila Tanzania inakuhitaji zaidi ya marekani. Wee Kama msomi tafadhali tafakari
ReplyDeleteWee hacha umbea. Akijiita mwafrika mweusi inakuhisu nini?
ReplyDeleteMithupu, bro mashaka ndiyo moja ya vivutio vikubwa kwenye globu yetu ya jamii. Kwa nini tusifanye juu chini ili kumshawishi kuzidi kutumwagia busara? Huyu amekuwa chngamoto kubwa Dana kwetu na hili lineleweka kwa wengi wetu kwa nini tusimuandikie nabii asikate tamaa? Au ndo US Blogger kamfukuza moja kwa moja?
ReplyDeleteMashaka ikiwa unayasoma haya maoni, tafadhali usituki
bie mkuu. Tunakuhitaji, weee ni mpiganaji Mkubwa Sana na hata usipogombea ubunge, tunaomba chama cha mapinduzi kikuteue kuwa mbunge Viti maalum. Mada zako zinaamsha hata nyoka pangoni. Niaminie. Zinasomwa sana
na watu wa kila rangi na tabaka, kwani mara nyingi mashaka ni mtetezi wa watu wote. Mashaka tafakari sana swala lako la kung'atuka tunakuhitaji sana kuhimasisha jamii
Mwishowe umeondoka! Sincerly sikuwahi kupenda makala zako hata kidogo! You were acting like a school boy, seeking recognition. Na huyo jamaa yako mwingine Us-Blogger ndio psycho kabisa! sijui Mhaya, Oxford haiwezi dhalisha kiazi kama wewe! na ukisikia mtu anajaribu kujipigia debe mwenyewe ujue jamii haitambui alichonacho! either kwa sababu hana hiyo sifa! au hafanani na wenye sifa wenzake!
ReplyDeleteMASHAKA UMESEMA KWELI NOTHING IS IMPORTANT THAN ENERGY TANZANIA BAADA YA MIKA 10 ITAKUWA MASKINI ZAIDI YA UMASKINI ULIOPO SASA KWANI VIONGOZI WENGI NI WASANII TU
ReplyDeletepeter nalitolela wa chuo kikuu muzumbe uwapi tunakusubiri utoe maoni yako manake mi nikionaga atiko ya mashaka tu huwa naanza kutafuta komenti yako kwanza nicheke.
ReplyDeletekwa mtazamoa wa haraka mashaka atakuwa mwenyekiti wa kijiji cha nyamhongo 2015
ReplyDeleteWatanzania tungekuwa na busara kidogo. Huyu kijana anajituma mno na kuandika vya maana kweli tumuunge mkono badala ya kuandika upupu Kama hui wa Us blogger
ReplyDeleteMashaka siyo ridhaa yako kuingia na kutoka , ni ridhaa ya wananchi. Nchi inakuhitaji
ReplyDeleteMh.Nijia nzuri ya kufanya wizi ni gizani maanayake ni vigumu kumuona mwizi hii ndio sera ya serikali yetu.giza ni mradi MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteHii habari John Mashaka angeandika kiingereza angeonekana "jiniaz"kweli kweli,kumbe akiandoka kwa kiswahili inaonekana kabisa kama kaandoka utumbo tu!Watz bana kw akuogopa kizungu hamjambo,na dhana kuwa mtu akiandika kizungu kizuri ndiye anajua mambo naona sasa mtaacha mkisoma habari hii!
ReplyDeleteNa hii issue ya John mashaka kuwashukuru watz eti wale waliomsadia kutafsiri article yake toka kizungu kuwa kiswahili imenichefua sana,ina maa huyu Majaluo Mashaka kasahahu kiswahili kiashi hicho?shame on you man!
HII MAKALA ILIANDIKWA NA ZITTO KWABWE ! COPY AND PASTE UNA LOLOTE, MBONA HUJA GUSIA SWALA LA CLIMATE CHANGE UNAJUA JINSI GANI TUNAHADHIRIKA NA CLIMATE CHANGE? NCHI MASKINI ZOTE; NENDA WEST AFRICA UKO BENIN; GUINEA ; TOGO KARIBU NCHI NZIMA INATUMIA UMEME WA DIESEL!
ReplyDeleteSOLUTION WE NEED NEW TECHNOLOGY
Mimi nilijua tu Mashaka kijana wa watu atamfuata jamaa yake wa kule London, Dr shayo ambaye yeye aliamua kutokuandika na kuamua kukaa kimya.
ReplyDeleteHivi ndivyo Taifa linapoteza vijana wao wenye upeo wa kuona mbambo kwa mapana, hata kama hawatakuwa na majibu lakini angalu wanatoa mwanga kwa wengine.
Je na January makamba naye atajitoa?
Brother michuzi, jinamizi gani limeikumba blog lako? Kuwakosa Mashaka, na Shayo na michango yao tukubali ukatae utakuwa umepata pigo kwa kiasi fulani.
Makala za hawa jamaa zilikuwa changamoto. Ndiyo wapo wale waliokuwa wanawaunga mkono na wale waliokuwa wanapinga mawazo yao, ila mwanga tuliupata.
Ninaweza tu kusema "michuzi blog" inaongoza "blog nyingine zinajikongoja"
Sasa tutapata tena wapi mawazo ya kizazi kipya cha vijana kama akina dr shayo na mashaka?
Kulikoni mashaka na Dr shayo? baada ya kuwa tanzania kwa shughuli zenu , ghafla mmeamua kukaa kimya KULIKONI?
mimi ningeshauri tumfanyie mashaka clonning kabla hajatokomea gizani. pengine ccm imeshamnnunua na hela kibao ili aache kelele, ni juzi sita alikuwa marekani, mtajuaje pengine alipewa hundi kubwa
ReplyDeleteDr. US Blogger sasa uwanja ni wako kwa kuwa Bw. Mashaka yuko likizo katika maswala ya mijadala.
ReplyDeleteLeta mambo ya Oxford:)
Mashaka, ukipata nafasi uwe unaikumbuka blogu ya jamii, usipotee moja kwa moja.
Mimi nafurahi kusom unayoandika na kuona responses za Dr. US Blogger, akina Peter Nalitolela na wengine.
us blogger na kundi lake la wapumbavu hata wasemeje, mashaka daima atakuwa juu ya hawa wauza sura wa kutumia picha hapa tz, sisi wala vumbi,, yeye anakujaga na kugawa mali zake na wewe us, buloga, kazi majivuno tu, kumbaff
ReplyDeleteUNABII HATIMAYE UMETIMIA.BWANA ALINENA KWAMBA SIKU ZA MWISHO WATU WANAOFANYA KAZI ZA KWELI WATAONEWA NA KUITWA MAJINA YOTE, LAKINI MTUMISHI WA KWELI ATABAKIA PALE PALE. NABII MASHAKA NI MTU JASIRI SANA, AMETUKANWA LAKINI HAJAJIBU KWA MATUSI, ALIGEUZA SHAVU LA PILI KWA MAKUSUDI YA KULIKOMBOA TAIFA LETU TUKUFU LA TANGANYIKA. WASOMI WOTE MAKINI WA MUZUMBE CHUO CHA UNIVESITY, THIS IS THE TIME TO SAY GOODBYE TO ZE ALL TIME ZE GREAT NABII MTUME YOHANNA MASHAKA AMBAYE AMEITUMIKIA TANZANIA KWA MOYO MKUNJUFU NA WA KUJITOLEA. NABII YOHANNA MASHAKA NI MFANO SANA WA KUIGWA KWANI AMEONYESHA UZALENDO WA HALI YA JUU. KWA KUTOKUJALI MAJUNGU YA WATZANIA WABEBA BOXI NA WALA VUMBI. NABII NI MTU MAKINI SANA, NA HII NDIO FAIDA YA KUWAPELEKA WATOTO WENU KUSOMA MUZUMBE CHUO CHA UNIVESITY COLLEGE KWA MAANA WATU WAKE WANATOKEAGA KUWA WATU MAKINI SANA KAMA ALIVYO NABII. KWA HIYO NABII KWA VILE MICHUZI HALIPI, TWENDE TUTAFUTE MASLAHI KWINGINE. MIMI NITAKUSINDIKIZA HADI DOODOMA KUCHUKUA FOMU ZA UBUNGE 2010 NA HATA URAIS 2015. USIWE NA SHAKA, TUKO NYUMA YAKO MHESHMIWA MASHAKA, TUMEKUPONDA SIYO KWA UBAYA, BALI KUKUKOMALIZA DHIDI YA MAADUI SHETANIA AMBAO WANAIBUKA. MIMI KAMA MSHABIKI NA MTU MAKINI SANA KWENYE HII BULOGU, NASEMA KWAMBA MH. MTUME MASHAKA AKAPUMZIKE TU HATA KULE TARIME ANYWE MAZIWA YA KUTOSHA KISHA ARUDI KUPAMBANA KATIKA BUNGE TUKUFU. IKIBIDI ACHINJE TAMBIKO LA KONDOO MWEUSI ILI MAMBO YAKE YARUDI SAFI HUKO WOLSTRITI YA MELEKANI. KWA HIYO NABII USIWE NA SHAKA, TANZANIA YOTE SASA HIVI INAKUKUBALI KWA WOSIA WAKO AMBAYO INAGUSA KILA SEHEMU YA NCHI YETU. MIMI NADHANI NITAJITAHIDI KUCHUKUA ULIPOACHIA, ILA MAKOMBORA YA MATUSI YALE KUSEMA KWELI SIWELI KUYASTAHIMILI, HAS AUKIZINGATIA KILE KIINGLISHI YA MALKIA SINA. KWA HIYO BWANA SHEKSPEAR MIMI NAPENDA KUKUPA HONGERA NA KUKUIMIZA KWAMBA UKINIITAJI KWENYE KAMPENI MIE NITAKUJA KUKUUNGA MKONO
ReplyDeleteMashaka naye bwana! Hivi unafikiri tukipata ufumbuzi wa kudumu wa matatizo ya umeme watu watachonga vipi madili kama ya IPTL, Richmond, Kiwira Coal and Power Ltd nk? Na bado madili ya uranium yanakuja.
ReplyDeleteOK NAONA WATU WAMEANZA KUULIZA KABILA.BASI TAJENI KABILA ZENU TUANZIE HAPO.
ReplyDeleteKama wasomi, mbona wamejaa Tanzania. Angalia maofisa na mawaziri na wabunge, utakuta Ph.D nyingi tu, aidha za ukweli au feki.
ReplyDeleteTatizo sio kuandika ila kupewa nafasi kutumikia taifa. Tanzania bado haithamini wasomi wake ndio maana tunaishi nje. Kila ofisa wa serikali anajua matatizo yanayoikabili taifa.
Kwa maneno matamu tunayo, lakini mpaka hapo tunapoonyesha action, yaani mpaka Bwana Mashaka apewe jukumu la kujaribu kuendesha taifa basi itakuwa maneno tu Tanzania itazidi kudidimia. Tunahitaji wasomi wapewe nafasi ya kuendeleza taifa sio tu, wazee ya karne iliyopitwa. Vitu vidogo sana kama kuwapa wananchi maji safi na umeme bado serikali haijafanikiwa. Umasikini hautatutoka kutokana na maneno tu, yawe ya Mashaka au ya wasomi wengine. Kinachotakiwa ni kubdilisha jinsi serikali inavyojiendesha na kuifanya serikali iendeshwe na wananchi sio serikali kuwaendesha wananchi.Kwa mfano, ukitaka kujua kiasi gani inagharimu kumsafirisha karibu kila wiki sasa Raisi wetu, utaambiwa kuwa hio ni siri ya serikali, mwananchi haitaji kujua japokuwa ni fedha za mwananchi zinazotumika. Haya sio matatizo ya wananchiw a Tanzania peke yake, kwa ujumla ni matatizo ya Afrika na ndio maana tutazidi kudidimia kama hatujaamka.
Michuzi hata sisi wenye mitizamo tofauti huwa tunapewa nafasi:
ReplyDeleteMashaka kwa ujumla umeandika maneno mazuri ingawa baadhi ni ya kishabiki na kuanza kutupa lawama kila kona pasi ushahidi unaokubalika kisheria.
Maneno yako si mapya. Kilio cha nishati madhubuti Tz, kimeandikwa na kuelezwa na wengi sana kwenye makongamano, vikao, blogu, wesites, bungeni na hata katika vikao vya mitaa!
Wanaokusifu kupindukia na wewe ukakaa kimya ndio wanaokuondoa katika kundi la wasomi makini.
Yaani unaonekana ni mtafuta umaarufu hivi kupitia blogu.
Nasema kuwa wewe si mwandishi wa kutisha wala kiongozi wa kuvutia kiasi cha eti kukutafuta na kukulilia sijui ubaki, sijui tukutafute tukubusu, sijui tukuite nabii, sijui tukujaribu kukupa UENDESHE NCHI!
Kwanza nikusaidie kuwa leo nami nimekuwa mpole kwani angalau umesikia tulilokuwa tukikushauri ikabidi utafute watu watafsiri andiko lako kuliweka katika lugha ya Kiswahili.
Yaani hilo lenyewe linaku-knock out mita mia kustahili hata kuwa tu diwani wa kata Rorya maana sisi lugha yetu ya TAIFA ni Kiswahili ambacho wewe inabidi utafute Mfasiri na pengine Mkalimani ili tuelewane na lugha 'yako'ya Kiingereza unayodhani iko juu!
Pili, mada yako ilikuwa juu ya suala la upatikanaji wa umeme wa kutosha katika nchi yetu.
Ungekuwa mwandishi uliyetukuka ungejikita katika mada hiyo na au mada ndogo zile tu ambazo zina uhusiano wa moja kwa moja na mada kuu. Badala yake wewe umeelea na kutangatanga katika mada kibao k.m vile:- Posho kwenye Semina, safari za vigogo, eti magari ya kifahari (Land-Cruisers?), EPA na ufisadi kwa ujumla.
Hapo unakuwa huitendei haki mada; ndipo upojipa utambulisho wa Mbwabwaji badala ya Mwandishi makini.
Kama hujanipata mwambie alikuyekutafsiria kuwa kwa mada ya Nishati katika karne hii nashauri kuwa kwanza ungejikita kuongelea si tu umeme wa kutoleleza (sufficient electricity) bali Nishati endelevu (sustainable Energy).
Aidha katika nchi yetu leo, ungejikita katika kutueleza utafiti wako au wa wengine nini vyanzo au sababu kubwa za kukoswa umeme wa kutosha; Wananchi kuhangaika makazi/maeneo yao ya kazi kuunganishiwa umeme; gharama kubwa na zinazopanda kwa kasi kuliko ongezeko la pato la Mtanzania wa kawaida; Wananchi kutofidiwa ipaswavyo pindi hitilafu za umeme (zisizowahusu) zikitokea majumbani / maofisini mwao;Tanesco kuhodhi shughuli za ugavi wa umeme Tanzania (the monopolistic status) n.k
Kisha kama Msomi ndipo ungeshuka na mapendekezo yako mbadala kukabili vyanzo na visababishi vya kero hizo.
pliz dont go my baby boy?
ReplyDeleteur intelligence is needed here
i'll miss u,au mmepigwa mkwara na usalama wa taifa?????????
Micuzi mashaka kuondoka kwenye globu yetu tukufu itakuwa ni pigo kubwa sana. Jmaa ni kivutio kikubwa sana na mhamasishaji Mkubwa sana
ReplyDeleteWw us buloga na maeta wengine kumbaf zenu na wivu zenu,,,, mie Niko tayali kufaliki kwa ajili ya mashaka eti,,,,,
ReplyDeleteUsalama wa Taifa unashughulika na mambo ya muhumu ya Kitaifa na siyo usalama wa mtu anayeandika chini ya kiwango na kujiandikia comments, kujizulia wahasimu hewa na kujifanya eti hajui kiswahili.
ReplyDeleteFYI mikwara huwa ni ya akina US blogger na wenzao; UWT wao ni kuchukua hatua madhubuti kwa wakati muafaka.
Bw. Mashaka,
ReplyDeleteKama moja wa viongozi nchini Tanzania, lazima nikiri kwamba, umekuwa chachu na mwamsho mkubwa sana katika jamii ya kitanzania. Nimekuwa nikiyasoma makala yako mazuri sana kila ijumaa kwenye gazeti la Buziness Times.Na siyo mimi tu, viongozi wengi, na hata wenzangu kwenye baraza la mawaziri nao pia ni mashabiki wako wakubwa. Kama walivyosema wadau wengine na Mh. Mbunge hapo juu, naungana nao kupinga uamuzi wako wa kuwakimbia vijana wenzako au wazalendo wenzio ambao wameonyesha kunufaika kwao na maandishi yao. Usikate tamaa kutokana na wachache ambao siku zote ni wakosoaji lakini hawana jipya. hii ni kawaida katika kila jamii, penye wajenzi, kadhalika wapo wabomoaji Ni lazima utambue, hili. Ningekuomba utafakari maamuzi yako ya kusita kuandika.tunatambua kwamba umekomaa kohoja na kifikra na tunakutegemea kutumia kipaji chako kuwasaidia watanzania wenzako vinginevyo nakutakia kila la Kheri katika shuguli zako Wall-street, na Mungu akusaidie, ujumuike na wenzio hapo baadae katika kuliongoza taifa hili ambalo kesho tu, tutawaachieni
Mh. Waziri (anonymous)
Jamuhuri Ya muungano Wa Tanzania
Dar- es-salaam
MIE NAHISI KWAMBA, SERIKALI ZETU CHAFU ZA KIAFRIKA MARA NYINGI ZINAWAOGOPA VIJANA KAMA MASHAKA, NA WATAJARIBU KILA MBINU KUWANYAMAZISHA, KIFEDHA AU HATA KIUSALAMA. NADHANI WAMEMCHEZEA MASHAKA MCHEZO MCHAFU, NA KAMA NI HIVYO BASI HATUNA SERIKALI BALI MAFISADI TU
ReplyDeleteMashaka, Unaweza ukawa umeondoka Tanzania physically, but this technology thing is globally so still you can proceed writting to the Tanzanians through the same blog. This is my little advice.
ReplyDeleteThe 2015 Minister of Science & Technology
wewe Anti- Pharisees watu kama wewe ni muhimu katika kila jamii; watu wenye wivu na chuki binafsi wanaoshabikia pombe, na upumbavu wa umiss, haya basi tupe hoja zako, nadhani ni nyinyi mmemfukuza mashaka. nasikitika kusoma comments za watazania wenye chuki binafsi kama wewe, heri mimi nina urahia wa UK, watoto wagu kamwe hawakanyagi hiyo nchi yenu ya kifisadi inayoshabikia ulevi wa TBL starehe na urembo wa wakina nasreem.endeleeni na mafanikio ya kuwa gizani. mwenzenu kapinga nchi kuwa gizani hapo unamwenezea chuki binafsi ndugu yangu, haki iko wapo, yaani nyie mnafurahia kukaa gizani? nadhani yale majungu yaliyomfundisha Dr shayo yalikuwa ni yako, roho mbaya asiyetaka kushindwa na mtu mwingine, elimu yako haukuitumia vizuri ndio maana hauendi kokote. Mungu alikuona ungekuwa kero kwa binadamu wengine ndio maana amekunyima nafasi za wakina January, mashaka na shayo. Ungepewa pengine ungeichukua dunia nzima ukaipeleka nyumbani kwako, pole sana kaka, lakini umenisikitisha na comments zako ambazo zinamfanya hata zostam aziz kuwa afadhali, shabikia kwamba tupo gizani ili kila mtu akuone ulivyo mtu makini???
ReplyDeletemichuzi, niruhusu niandike mada kidogo kuhusu uyu jamaa na wakina us-bloga ambao kazi zao nikuponda? nimesikitika sana kuona jamaa wengine wanaponda na kuenneza chuki binafsi kuhusu mashaka wakati yeye anawatetea wanyonge wa kitanzania, naomba usinibanie, nitatuma mssaada tutani, tafadhali sana nibandike, kwa maana bulogu hya jamii nayo haijambo ka sensor
ReplyDeleteFolks, lets be serious who doesn't see the impact of not having infrastructure like Roads resources like Electricity, water, resources people etc? Mashaka was doing the role of any Tanzanian could do, now is there any one sees the role of Mashaka?. It is common having road traffic in dar where are the planners? the so called wakurugenzi wa miji, manispaa and economists why do they keep looking this stupidity continues? loosing money by keeping importing fuel finished buy road traffic, while we could have had flyovers at every round-about/keep-left. See our lettle money is changed to forex in order to import fuel which takes few days again we import; is there any one who doesn't see this???
ReplyDeleteThe 2015 Minister of Science & Technology
Michuzi umenibania comment yangu ya foleni na mafuta noma!
ReplyDeleteThe 2015 Minister of Science & Technology
MITHUPU,
ReplyDeleteTUNAMTAKA MASHAKA JOHN ARUDI
HAPA KWENYE GLOBU YA JAMII
hakuna wa kumtishia mtu mzima, ni yeye tu tanzania ndiye kijana ambye haogopi na wala kuonea upande wowote yeye NACHOKISEMA NI UKWELI TUNAOUONA KILA SIKU
tafadhali sana tunaomba mheshimwa john mashaka arudi kweneye bulogu yetu tukufu
Hana lolote huyo mashaka anataka kuchukua arqument zetu tuu, kusikia watu wana sema nini,
ReplyDeleteSwali umeshakuwa kiongozi?
Taifa haliwezi kujengwa kwa kunyosheana vidole ni mwanzo wa fitita. kama wewe mwanaume rudi nyumbani fanya kazi sio kukaa uko na kuandika tuu , anybody can write! action what needed!
ufiwalaghai watu na j´kuwapa hope zako hizo, fanya analysisi kwanza kabla ya kuanddika , source ni zipi na tatizo ni nini?
from now on your name is white nigga!
Minister wa Science and Technology, naungana na wewe. kwani mimi nitapewa kazi ya Utawala Bora 2015 chini ya utawala wa John Mashaka. Ila bwana, watanzania niwatu wa ajabu sana. Huyu ndugu anyejiita Anti-Pharesees, ni mbumbumbu sana, hajui kwamba kumvamia mashaka ni kama kuivamia globu nzima?
ReplyDeleteHuyu mtu ni kama wale mafundi wa Uchochoroni ambao waneletewa gari kutengeneza, gari ambalo mjapani ametengeneza vizuri, matokeo yake analichokonoa kujifanya yeye ndo babu kubwa na hitamaye kuliharibu kisawawa. Huyu mtu akiambiwa atupe hoja mbadala ya mashaka, hana lolote zaidi the, the, the lakini anasema mengi kweli kumhusu mashaka. Hawa watu ni feki sana, sioni hata haja ya kuwatilia maanani, ni watu wenye wivu wachovu ambao tumewazoea au yale mafisadi yanayoogopa kila mtu anayetishia maisha yao, au watu majasiri ambao wanakubalika na umma.Aache mambo yake ya kinafiki akatafute kazi, siyo kuja kuponda upupu wake kwenye bulogu letu tukufu.kumvamia mashaka ni sawa kuingiza mkono kwenye zinga la nyuki, chunga sana utang'olewa macho
Waziri wa Utawala Bora 2015
mashaka napenda sana makala yako, na tunakusihi usihache kuandika kutokana na wivu wa watu wachache waliopoteza mwelekeo. wewe ni shujaa wangu, na ninakuombea kila kukicha, mungu akuzidishie na akubariki. sina shaka ukiwa kiongozi, nchi yetu itapata umeme kila kata na kila kijiji
ReplyDeletemzee wa rock city
Let it be known to everyone that open criticism is better that duplicitous ovation.
ReplyDeleteI have the moral and professional courage to give a constructive critique and dismiss any outrageous poor exposé with wicked intent such as that of the rummage around for cheap popularity through the media.
Binafsi sijali wala hainitetemeshi endapo unaishi popote nje ya nchi yetu au kwamba Watoto wako wana Uraia wa kokote kule isipokuwa Mbinguni! Ninajali na kumkemea yeyote anayetaka kutumia chombo cha habari kujinyanyua na kupenda kujipachika nafasi ambazo huna sifa zake kama vile za Unabii, Urais na au Uwaziri.
Soma tena ‘comments’ zangu na ujifunze kuwa katika blogu kama hii wapo wengi wanaoelewa na wenye uzoefu wa kile unachoongelea pengine kuliko unavyodhani.
Wakikupa ushauri wa bure shukuru maana hao ndio rafiki zako; wanaokuambia au unapojiandikia kuwa oh sijui ‘nakutafuta nikubusu’, sijui ‘nataka niwe first lady mtarajiwa’ ni vituko na upuuzi usiovumilika; Hatishiwi nyau mtu hapa!
KWANINI VIONGOZI WETU HAWAJIFUNZI KUTOKANA NA SAFARI ZAO ZOTE WANAZOTEMBELEA NCHI ZA WATU???
ReplyDeleteNCHI KAMA INDIA IAN FLYOVERS HADI WILAYANI KAMA KAMJI KADOGO KAMA PUNE, ACHILIA MBALI MUMBAI, NA PALE PENYE HOSPITALI YA APOLLO. TUJUE HAWANA WIVU WA MAENDELEO?? HUWAWANAJIONAJE WANAPORUKA KATIKA KIWANJA CHA DAR UKIWA ULE USAWA WAKURUKA WA JUU YA JIJI LA DAR UKALINGANISHA NA USAWA HUO HUO WA MIJI YA SA MFANO J'BERG UTAONA VITU VIMEPANGWA VIKAPANGIKA BARABARA USIPIME, HAPA KWETU MITAA IMEKAA KAMA MANZESE AIRPORT?? VIONGOZI MBONA HAMNA WIVU WA MAENDELEO?? SAFARI ZOTE HIZO EHH?? NCHI NDOGO KAMA NAMIBIA TULOIKOMBOA WENYEWE IMETUACHA KWA INFRASTRUCTURE!! AIBU HII JAMANI...BADO MNAKUMBATIA MAFISADI NA KUWASAKAMA AKINA SIX!! AMKENI TUMECHOKA JAMANI!! SAFRI ZENU MAWAZIRI WABUNGE WA KAMATI ZA BUNGE ZIFANYE MUWE NA WIVU WA KUFNAY HIVYO HIVYO MANVYOONA HUKO KWENYE NCHI ZENU(TANZANIA).
The 2015 Minister of Science and Technology