tangazo la mgahawa zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. he he he he!this is funney,if that's the case women must be telling him often Hassan Dont kill me....... how lucky is the guy. teh teh teh teh mabvu sina.

    ReplyDelete
  2. hahaha haki ya Mungu english is a national epidemic...hata wewe mdau wa juu badala ya funny umeandika funney...sumu ya mchonga hiyo.

    ReplyDelete
  3. biashara matangazo, kwa lugha hiyo watalii watailewa na kumiminika restaurant na hassan atapata fedha za kigeni

    ReplyDelete
  4. why women?.
    Hassan ni mbunifu na tangazo ni zuri sana, kingereza hata chako kibovu vilevile, nimelipenda sana.

    ReplyDelete
  5. hehehehehehe hii mwanzo mwisho mbavu zangu ehheheheheh balaa hili

    ReplyDelete
  6. Very funny!! Well anajaribu ku-promote biashara yake, afadhali yake, na kwa level yake he is trying his best. Nadhani anahitaji kusaidiwa kuboresha tangazo lake, marketers please....... .

    ReplyDelete
  7. ha ha haa hili tangazo liko juu nimecheka kisawasawa duh watu bwana

    ReplyDelete
  8. Hii mgahawa unamilikiwa na John mashaka. Sasa kwa nn kaamdika kiingeleza kibovu? Wakati yeye ndo jiniasi

    ReplyDelete
  9. ...isn't the first post as "funney" as the commericial itself? Just like Hassan, whoever posted it is really "funney" and probably creative. Who would have thought, twenty years ago, that googling would come to mean whatever it means today (if anything)...

    ReplyDelete
  10. hahahaha, Hassan don't kill me kwa kucheka jamani!!

    ReplyDelete
  11. ha ha ha... huyu jamaa ni mbunifu sana na anastahili pongezi, ona alivo draw attention za watu hapa, nakwambia atatengeneza pesa yake ki ulaini kwa tangazo hilo, biashara ni ubunifu, ha ha ha..

    ReplyDelete
  12. mgahawa huu ndio wa hassan hafidh wa northampton? aliniambia anafunga duka northampton anaenda kufungua mgahawa zanzibar

    ReplyDelete
  13. Hasan hongera usibadili kitu acha hivyo hivyo italeta wateja zaidi kwani mwenye njaa ataelewa tu.

    ReplyDelete
  14. Hata mimi nimelipenda ile mbaya,keep it up

    ReplyDelete
  15. Hahahaaa,sio mchezo, nimeona namba yako ya sim muheshimiwa Hassan,nitakutafuta ili nijue ktk mgahawa wako kuna misosi gani,inaelekea patakua pametulia kinoma,hiyo ni lugha tu kila mtu amekuelewa vizuri umemaanisha nini.

    ReplyDelete
  16. au kakosea herufi or not lkn one thing he got it right,lugha iko simple and anybody who's the language ataelewa kiulani.big up Hassan an don't change it.hiyo "Hassan please don't kill me with food" will get peeps attention kiulaini.haha

    ReplyDelete
  17. This is too funny, yaani nimecheka mpaka naumwa mbavu!...LooooooooL! kweli tembea uone!

    ReplyDelete
  18. Safi sana, nimependa hiyo.

    ReplyDelete
  19. Oooooohh!Mama mbavu zangu!!Hassan you've made me cry with laughter!!!Yaaani...naona itabidi nije Zanzibar nipate huo mlo ili nije piga ndimi!!!Haaa haaa!!!Kwwiiiii kwiii!!!You've just made my day.Nimefurahishwa pia japo lugha haikuandikwa sawa ila ujumbe umetufikia.Keep it up.Mkubwa ...Mkuu wa wilaya ya nanihii hebu tupe full address ya pale kwa Village Reastaurant ya Hassan.Iko kipande ipi ya Zanzibar...na tunakata kona gani kuifikia??

    ReplyDelete
  20. Anon wa 04.25 kama kingereza kingekuwa kibovu wewe ungeelewa? Cha msingi ujumbe wa Hassan umefika na biashara yake inashamiri.

    ReplyDelete
  21. NAFIKIRI JAMAA ANAJUA SANA KAMA KAANDIKA KINGEREZA KIBOVU ILA NDIO KUSUDIO LAKE KUVUTIA WATU

    ReplyDelete
  22. Na hivi Hassan kabandika namba yake ya simu nahakika watu humu ndani watampigia. Na wale watakaotembelea visiwani watapatafuta kwa Hassan wakaonje hicho chakula chake..

    Jamaa nampongeza kwa kua mbunifu, anajua kua kisiwani biashara ya utalii ndio imeshamiri ndio maana kaandika kwa kingereza. Kwahiyo target yake sio kwa Waswahili pekee.

    ReplyDelete
  23. Kidhungu/ung'eng'e/yai/kimombo ni global issue hasa watz,huyu jamaa ni mbunifu,inawezakana anajua yai la kuonbea maji lakini aliamua kuteka hisia za watu,si mumeona hata mablogger tumeguswa!

    Check hii-Mzungu alifika ugenini,akamwomba mwenyeji amwelekeze alikokuwa anatakiwa kufika,

    Mswahili-You snake this way weeeeeeeee,then you bit corner,there there you will see the house,

    maana yake-Nyoosha njia barara hii,kisha kata,ndio utaona hiyo nyumba

    ReplyDelete
  24. Yahke huko kuna uroja wa kufa mtu!

    ReplyDelete
  25. asani yu hav leaaly made my dei!

    ReplyDelete
  26. Biznes is about marketing safi sana naipenda keep it up

    ReplyDelete
  27. ooooh i've foleni in lavu with this

    hassan thank yu,,,ntakuja mbona???
    simu nimeiona

    ReplyDelete
  28. Mithupu ngoja nikwambie kitu mmmh ! kule kuna waitaliano wengi wajapani, wachina, wakorea na wameoa wa zanzibari na kuslimu sasa unategemea nini jamani ? si kila kithungu kibovu kinatoka kwa mtzd eh mbona hawa wabeba mabox wanashoboka jamani ? rudi jumbanieeee kasalimie unguja aliimba Ali kibaka heee!! hawaelewi huyo ni muitaliano yewomiiiiii

    ReplyDelete
  29. Yakhee! Angeandika kwa lugha safi wala hiyo picha isingepigwa na kuletwa hapa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...