

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Oga tutafutane nipe number!
ReplyDeletemhhh Misupu naona una uzi mpya,baada ya wadau kukupigia domo sana na ule uzi wa ngazi ngazi blue na kijivu,maana ule uzi ulipigwa sana na jua mpaka ukawa umepauka sana,ila huo ulioutinga ,mwana umelipukaa sana ,
ReplyDeleteAaah mzee Oganigwe uko "vekeshen". Haya kula bata kwa kwenda mbele, halafu karibu tena kwenye winter!
ReplyDeleteDUH mzee wa libeneke unapenda sana hizo fulana za ngazi ngazi, basi ndugu yangu nunua japo tatu au nne zingine lakini wewe ukianza kuisakama hiyo mpaka kipauke, usitutie aibu mzee wa libeneke.
ReplyDeletebwana Misupu wala huna haja ya kutoelezea mdau wa bongo ni nani na wa ughaibuni ni yupi kati ya hao wawili kwani hali zao tu unajaza yupi ni yupi..kazi njema
ReplyDeletekesha piga box sana sasa matanuzi karibu bongo land ukishangaa hata ticket utaiweka dhamana na wanakupa visa ya kifo vile vile (mawaya)
ReplyDeleteOga , sema babake?, hebu tutaftane unakuja kimya kimya , njoo tukuonyeshe raha ya Dar ,maana najua huko kiwanja mnatesekaga sana.
ReplyDeleteMtoto wa Kishua
Michu, mtambulishe jamaa kwa Maximo labda atamchukuwa kufanya majaribio sababu Bongo 2naitaji wa2 kama hao
ReplyDeleteMaximo anamtambua jamaa. Alituwakilisha kwenye challenge miaka miwili iliyopita na kupiga bao moja au mawili.
ReplyDelete