Home
Unlabelled
vodacom miss tz 2009 akabidhiwa ndinga lake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamni kaka Mithupu Miss katokea mwanza why akabidhiwe Dar ?Angekabidhiwa Mwanza au mabedeshee wataka hela zao zirudi kwa kumtumia?Tanzania Bila Ukimwi.....?Wizi Mtupu........
ReplyDeleteKakaka kaka Miss Tanzania katokea mwanza kwa nini akabidhiwe Dar sio Mwanza?JamniDar traffic jam ni nyingi aende jijini kwake .....
ReplyDelete....akimuelezea Vodacom Miss Tanzania Miriam Gerald wa pili toka kulia namna ya kutumia funguo za gari lake - MAKUBWA TENA HAYA
ReplyDeleteKUWA MAKINI MDOGO WANGU......UKIMWI UNAUA
ReplyDeleteGari zuri kuliko miss ha ha haha
ReplyDeleteKwani Shindo lilifanyika Mwanza au Dar? Kwanza gari alitakiwa apewe siku ile ile baada ya kutangazwa mshindi.
ReplyDeleteSasa gari lazima liwe na rangi ya Vodacom. Rangi yenyewe blue. Kama mtu apendi blue??
ReplyDeleteKaka Michu,
ReplyDeleteMimi nina shida kidogo ya kufahamu sisi wabongo "priority" zetu ziko wapi. Nashindwa kuelewa vipi tanahamasisha na kuwatunukia hawa warembo magari na mamilioni ya pesa wakati hatuoni juhudi zo zote za kuwahamasisha na kuwatunukia vijana wanaojitahidi sana na kufanya vizuri kuliko wote katika masomo !! Sijawahi kusikia hata kijana kupewa ka-Laptop kwa kuwa mwanafunzi bora wa mwaka wa Sayansi au hesabati bongo !!
Hivi huyo msichana amefanya kipi kikubwa ukilinganisha na mtu anayepoteza miaka mingi kusomea fani fulani na kufanya mambo makubwa katika fani yake. Hivi kutoa motisha na kuuhamasisha U-miss TZ ndiyo utakaotutoa sisi wabongo katika umasikini na kutuletea maendeleo?
Naomba usinitupe kapuni Kaka.
Jamani kwani U miss si kaupata Dar na ndio maana kakabidhiwa gari hapa Dar, hata hivyo sponsors wako Dar jamani....
ReplyDeleteMIMI NAULIZA KITU KIMOJA, HIVI HIZI BODI ZA MAMISS WAKO SERIOUS AU NDIO KAZI YAO KUJITAJIRISHA FOR THE EXPENSE YA MABINTI ZA WATU. HAWA MABINTI WAKISHAPEWA HAYO MAGARI KINACHOFUATA NI NINI? WHAT ABOUT THEIR FUTURE? JE WANAPATIWA SCHOLARSHIPS ZA KWENDA KUJIENDELEZA KIELIMU?, JE WANASAIDIWAJE KUPATA KAZI NA KUTENGENEZA FUTURE ZAO, JE WANATAFUTIWA AGENTS ILI WAWEZE KUENDELEA NA HIZO CAREER ZAO ZA UMODO AU WANAPEWA MAGARI TU HA KUPIGWA PICHA, HALAFU WANAACHIWA TU KAMA KUKU WAKAJIJUE WENYEWE, HIVI HIZI TAMAA ZA PESA ZITAISHA LINI. MIMI NAONA BORA HATA WAKA WAINVESTIA KWENYE ELIMU NA KAZI KULIKO KUWAPA VIGARI HIVYO HALAFU BAADA YA MWAKA MMOJA WAKO MITAANI WANAFANYA GOD KNOWS WHAT! HAWA BADO NI VIJANA WADOGO, WAPEWE MUONGOZO NA PESA ZITENGWE ILI KUWASAIDIA VIPAJI VYAO NA SI KUPIGA PICHA NA VIGARI HIVYO KUMBE HAWAJUI WAKIMALIZA HAPO WATAISHIJE. HII NI EXPLOITATION YA MABINTI HAWA WAKATI WANABODI WANAJITAJIRISHA NA KUJINENEPESHA WENYEWE, UMISS UMEKUWA HAUNA MAANA KABISA SIKU HIZI, KILA LEO MISS SIJUI SISIMIZI, MISS SIAFU,ETC, WATU AMKENI, NA HAWA WAANDAAJI NEED TO BE HELD RESPONSIBLE AT TIMES, THIS IS RIDICULOUS. -Mdau Canada-
ReplyDeleteana leseni ya kuendesha gari?
ReplyDelete"gari yenye thamani ya shilingi milioni 53" mwisho wa kunukuuu.Nyie mnaoandaa miss Vodacom, jifunzeni kuwa wakweli.
ReplyDeletePia mjifunze kubadilika kutokana na life demand jamani, tangu eeeeenzi za mwalimu nyie mnawapa watoto wa watu migari ten yenye nembo kuuuubwa na mirangi kibao, sijui fuel costs and maintanance inakuwaje hapo. lakini kwa binti kama huyu ni vizuri mkampa kitu kingine kinachoweza kubeba thamani ya kudumu katika maisha, for a car,ikipata breakdown inakuwa mwisho wa story, but what if mngewatafutia kitu cha maana zaidi ambacho she can rely on it for her future life, mnaweza kumpa hata nyumba, or otherwise mkamtafutia a good education channel na kumlipia ada and all needs ili in her future awe amesimama kimaisha.Lakini kwa kuendelea kuwapa gari, mnanitania kabisa, Lundenga badili muelekeo sasa, na sijui cost nyingine za kumanage hiyo gari inakuwaje, kama hamwapatii hiyo support, oooooh kweli mnawapa nafasi mapedegeee kuendelea kuwamaliza mabinti hawa. na swali la uzushi, hivi ni kwa nini mamisss hawaolewiiiiiii??? nawasilisha!
AISEE...U LUK ZE HAIR STYLE,DRESSING,POZI..MMMH U LOOK SIMPLE DADA..ZATS VERY VERY GUUUUD! DAH..AND DESENT AS WELL...VERY NICE!!..DUU AND BEUTY.. APRECIATED!!! JUST WATCH OUT UMAARUFU USIKU'WEMA SEPETU"
ReplyDeleteHII SI ZAWADI, NIJUAVYO MIMI ZAWADI HAITAKIWI IWE NA MASHARTI LAKINI HII INAYODAIWA KUWA NI ZAWADI INA SHARTI LA KUITANGAZA VODACOM NA WASIOJUWA KUWA HUYO NI MSHINDI WATAJUWA KUWA NI MFANYAKAZI WA VODACOM, NA WENGINE WATAMBEZA KWA GARI LA BURE, RANGI NA MAANDISHI. TOENI ZAWADI AU ACHENI HIZO ZAWADI PIA WASHINDI WASIKUBALI KUWA WATUMWA WA WATOA ZAWADI KWA KUWATANGAZIA BIASHARA ZAO BILA KULIPWA, WAGOME NI BORA KUFA MASIKINI KULIKO KUWA MTUMWA WA MTU.
ReplyDeleteGARI SAWA KAPEWA JE MAISHA YAKE YA KILA SIKU VIPI YAMEWEKWA SAWA? KAMA MTU ANAENDESHA GARI YA HELA NYINGI ANABIDI PIA AWE NA HELA ZA KUENDESHA MAISHA YA KILA SIKU.
ReplyDeleteGARI LIKIARIBIKA AU KUISHIWA MAFUTA WAKATI HANA HELA ZA KUJIKIMU NDIO MWANZO WA KUSHAWISHIKA HUU.
HAWA MAMISS KWELI WANAHITAJI KUBADILISHWA. WASOMESHENI HATA DEGREE YA MIAKA MITATU HAIWEZI KUCHUKUA ZAIDI YA MILIONI ISHIRINI KULIKO GARI LA MILIONI 53 WAKATI MATENGENEZO MTOTO HUYU HAJUI PESA ITATOKA WAPI!!!. KAMATI YA MISS TZ BADILIKENI NA MSOME ALAMA ZA NYAKATI. HIVI GARI IKIGONGWA SI NDIYO BASI LAKINI AKISOMA JE??. HII INAONYESHA MITAZAMO YA KAMATI ZA MAMISS TULIZONAZO. GARI HAIWASAIDII KITU LABDA MTOE GARI YA KIBIASHARA KWAMBA ITAMWINGIZIA FEDHA AU HATA NYUMBA ANAWEZA AKAPANGISHA AU AKAFANYA MAKAZI YAKE AU BASI ZAWADI YA ELIMU YA TAALUMA. I M REALLY SORRY KWA HIZO ZAWADI ZENU ZISIZO NA KICHWA WALA MIGUU
ReplyDeleteJamani tumtakie dada kila la heri. Japo mwaka huu UFISADI ulizidi sana, yaani nilishangaa pale mcheza taarabu alipokuwa Miss Talent, wakati mshiriki aliyetuma ujumbe mzuri kwa taifa hakuchaguliwa. Kweli inabidi Lundenga na kamati nzima wapunguze rushwa za kila namna. Inakatisha tamaa wazazi wenye watoto wazuri na wasomi kuwaruhusu kushiriki mashindano. Pia wazazi wanaohongo nao waache kuhonga jamnai, kuna mzazi mmoja mwaka huu kafanya hadi mwanae kawa miss Utalii amepiga kampeni sana na kuhonga wala siyo siri, hata Lundenda na kamati yake wanalijuwa hilo.
ReplyDeleteMdau wa miss Tanzania
NAKUBALINA NA MDAU HAPO JUU, NILIKUWEPO SIKU YA MISS TALENT SHOW, NA MAKOYE NA LUNDENGA WAKATANGAZA KWAMBA HAWATAFUNGUWA BAHASHA YA MAJIBU YA MISS TALENT MPAKA SIKU YA MISS TZ, SIAMINI KUWA HAWAKUFUNGUA NASEMA WALIIFUNGUWA HIYO BAHASHA. PIA HUYO MSHINDI WAO ALICHEZA MATUSI MABAYA SANAA YA TAARABU YAANI AIBU TUPU. KUCHEZA TAARABU SIYO TALENT, HATA MIMI NA WAMAMA WENGI WANACHEZA TAARABU HIYO SIYO TALENT - WIZI MTUPUU.
ReplyDeletePIA NILIONGEZA NA BAADHI YA MAJAJI JAMANI MWAKA HUU NI WIZI MTUPU, HATA WAO WALISHANGAA MAJINA YALIYOSOMWA HAYAKUWA MAJINA YAO, SIYO SIRI WENGI WAO WALIPENDELEWA SANA. KWELI LUNDENGA NA KAMATI YAKE INAKATISHA TAMAA SANA, NDIYO MAANA KWELI WAZAZI WENYE WATOTO WAO WENYE AKILI TIMAMU HUWA HAWAWATOI KUSHIRIKI, HAWATAKI WAKUTANE NA FATAKI KAMA LUNDENGA.
WADAU NIMEFURAHI MWAKA HUU MISS TANZANIA KAPELEKWA KUSOMA ENGLISH COURSE PALE ENGLISH FOUNTAIN, JAPO NI MUDA MFUPI LAKINI SI HABA. NATUMAINI ATAWEZA JAPO KUSALIMIA. KWANI ALIKUWA HAWEZI KITU.
HATA KUONGEA HAJUI, SIKU YA KUPOKEA ZAWADI ZAKE ALIKUWA ANAONGEA KAMA ANAONGEA NA WADOGO ZAKE CHUMBANI KWAKE NILIKUWEPO NA NILISIKITIKA SANA, NI MZURI SANA ILA KICHWANI MHHH SHUGHULI, TUJITAHIDI TUPATE WASHIRIKI WENYE AKILI, WAZURI, ELIMU, WENYE VIPAJI SIYO KUBABAISHA TUU.
UFISADI UONDOSHWE ILI TUFIKE MBALI.
LUNDENGA NA KAMATI YAKO JITAHIDINI MRUDISHE HESHIMA KWENYE MISS TANZANIA. INAONEKANA KAMA CHEAP THING, JAPO TUNAJUWA MNAPATA MAPESA KIBAOOOOO, LABDA NDIYO MAANA HAMJALI, SHIDA YENU NI PESA.
Mdau
Waendelezeni watoto watu kielimu au basi hata wajengeeni nyumba .... wasichana hawa wengine wanatoka uswazi watapark wapi hayo magari???? mafuta je?? matengenezo?? halafu wanapanda magari wanakwenda wapi??? au mnataka wawe chakula cha mapapa??? mnawapa magari ya kuwahi vidate vya waheshimiwa kule bagamoyo?? Guys you are spoiling our daughters!!!!
ReplyDelete