anko akiwa na mdau julius palacio, mmbongo anayeendesha klabu cha usiku cha palacio mjini bujumbura ambapo usipokanyaga baada ya kutua katika mji mkuu huu wa burundi utakuwa hujitendei haki. maana nyama choma, vilaji na muziki wa nyumbani ni pake
bendi ya palacio ikitumbuiza kwenye kiota hicho
anko alibahatika kukutana na wadau toka bongo ambao walimzungusha mji wa bujumbura. hapa ni katika kiota cha maraha cha havana akiwa na (toka shoto) sam, mzee lyimo na wajina wake anko lyimo. bahati mbaya usiku huo huo tukapata habari ya msiba ambapo mdau sam ilibidi aondoke kuja dar kwenye msiba wa dada yake. pole sana mdau sam kwa msiba huo mzito.

hehhehe ahhh julia naona umefika mbali man dah tumekumiss ile mbaya,tupo india now wote yani.from masesa'z familly,mod lov man and keep t happenin in bujumbura hahaha
ReplyDeletePOINT YA KIPUMBAVU: hawa watanzania warudi nyumbani kuendeleza taifa badala ya kuwekeza nchi za nje .BONGO KILA KITU KIPO .
ReplyDeleteNimesikitishwa sana na habari za msiba wa dadake Sam.Poleni sana Rehema,Sam,Pele na familia Shelukindo kwa jumla.
ReplyDeleteMdau Ughaibuni.