Jimmy Mfuru (kulia) akibonyeza kitufe cha kompyuta wakati wa droo ya kwanza ya kuwatafuta washindi wa akaunti ya wanafunzi ya benki ya NMB iliyochezeshwa Dar leo ambapo jumla ya washindi 95 walijishindia zawadi za Mabegi ya shule, Simu za mkononi na muda wa maongezi. Kushoto ni Meneja Mwandamizi wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Imani Kajula.


Meneja Mwandamizi wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Imani Kajula, akiongelea zawadi hizo akiwa na maafisa waandamizi wa benki hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. For God's sake you people instead of giving these students a computer you are giving them a cell phone? I can't believe this...for what. How can a cell phone help them academically other than developing spending habits on unnecessary items? Please re-think your decision..

    ReplyDelete
  2. Anon 09:36pm, NMB gave cellphones as a prize as a link to newly introduced NMB mobile service ( you can you mobile phone to bank: check balance, transfer money, purchase airtime, check account statement or purchase LUKU). Student Account service entitles holders to use NMB mobile service. Imagine, now students won't waste their time to check balance, or receive money transfer from parents or guardians!. Hope this post does elaborate why among the prizes students can win mobile phone. Further, this product is meant for college students who have reached age of majority (above 18 yrs).

    ReplyDelete
  3. Chief nakukubali sana kwenye kubadilisha mtazamo mzima wa NMB maana walikuwa wanatumia mapromo ya zamani sana, na Kajula naye anajitahidi! Mdau Rock City!!

    ReplyDelete
  4. Jamani hiyo picha ya Juu ni Chiku Shabani?Kama ni yeye duh..long time Kisutu Sec

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...