Home
Unlabelled
wanenguaji wanaotia fora twanga pepeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inamaana aisha madinda kafulia?
ReplyDeletemaskini alikuwa kinara kwelikweli
maisha hayaaaaaaaa
Bro michuzi nakuomba uwe unatuwekea clips za live shows hata sisi wa huku ughaibuni tuwe tunawaona hao maana imekuwa ni siku nyingi.
ReplyDeletefanya za twanga,Fm,akudo na wengineo
...lakini Michuzi ni kweli bwana, maana fleva zinaboa kishenzi, wimbo mmoja tu mtu umeshachoka kwani hakuna jipya. hatutaki masuala ya kujifanya black americans wakati wanatuchukia, tuwekee vitu vya nyumbani kama hao Twanga, msondo, Nginde, n.k....natunguliza shukrani!
ReplyDeleteOtilia Boniphace unatisha kwa kweli, kipaji unacho tangu ulivyokuwa mdogo na tabasamu la ukweli pia.
ReplyDeleteNakutakia mafanikio katika kazi yako.