leo anko nanihii ametembelea Kinukamori waterfalls mitaa ya marangu huko moshi vijijini, mkoa wa kilimanjaro, na amejifunza mambo kibao kuhusu ndugu zetu wapendwa wachagga. hivi sasa anaandaa ripoti ya vekesheni yake huko marangu. kaa chonjo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Uncle Michuuu.... umenikumbusha kule kwetu Kiwoso sasa aaaaggghhhh! Ule mtori uko wapi dada Manka? Na baridi hili mbona ninge enjoy!!
    Wasalimie wote huko kwetu uncle.
    Nakofo mbeeeeeee!!!

    ReplyDelete
  2. shimbonyi mae usirudi bongo bila kunywa mtori na kiburu

    ReplyDelete
  3. wakati umefika wa wachaga kwenda kuhesabiwa utaona mji utakavyo poa ndo utajua kweli wachaga wapo wengi mji huu. Hapa njia ya moshi arusha fujo za gari kila mtu anataka akaonyesha kagari kake ka mtumba wa japan kule kijijini apate heshima. wenye pick up haya wenye vits haya ilimradi ni fujo tuu. mwezi huu ndo baa zinaongoza kwa mauzo kule kijijini. Na mapadri wanakiri kua kipindi hichi ndio sadaka inakua nyingi huko kijijini na hata sh 10,000 elfu 5,000 zinaonekana kwenye vikapu vya sadaka. ngoja niwahi nikafanye service na mimi ka mkweche changu niwahi nikahesabiwe naondoka next week naende kula ndafu. anko mithupu tupo pamoja maana sikuhizi mambo ya 3G modem internet kila sehemu hata ukiwa mgombani

    Mdau Bongo forever

    ReplyDelete
  4. Michuzi tunaomba kabla hujarudi ujaribu kufanya interview na yule DJ wa moshi ambaye alizusha maswali mengi kutoka kwa wadau!!

    ReplyDelete
  5. Aise babaangu usisahau kuniletea mbege na kisusio.

    Shimboni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...